kitope nauza maji safi kwa matumizi ya nyumbani, ujenzi na umwagiliaji n.k.
napatikana maeneo ya kigamboni
bei kwa ndoo ya 20lts. ni Tsh. 110
inapungua kwa wanunuzi wa matenki
kwa maelezo na...
Ipo maeneo ya town-magomeni mapipa. Njoo uiangalie ilivyo, tuzungumze na kukubaliana ili ifanyike biashara. Nyumba ipo katika eneo zuri la kibiashara, ni hatua chache tu toka barabara ya morogoro...
Heshima waheshimiwa!!,
Kuna mabingwa flani huwa wanauza maji kwa wananchi, huzunguka na Pick Up zao na matenki ya 1000lt. Nawahitaji
kama wamo humu ama unawajua naomba kontakt zao.
Ni vizuri kama...
KWA MNAO HITAJI KUNUNUA NYUMBA ZINAPATIKA UTARATIBU UNAZINGATIWA. PIA WANAOHITAJI VYUMBA AMA NYUMBA ZA KUPANGA VINAPATIKANA, MAENEO YA MAKUMBUSHO, KIJITONYAMA,TANDALE,MAGOMENI MWANANYAMA NA...
Natafuta nyumba yenye vyumba vitatu, atleast kimoja kiwe master, iwe katika hali nzuri, umeme na maji, iwe na nafasi ya kupaki magari mawili, na fence, iwe maeneo ya kinondoni, survey, au...
Habari wadau,
Nahitaji nyumba ya kupanga hapa Dar,iwe maeneo ya Sinza,K'nyama,Mikocheni,Mwenge,Survey,Kinondoni,Makumbusho,M/nyamala..kwa ufupi isiwe baada ya Nujoma road,ukitokea mjini Posta,bei...
Zinahatajika Gari 4 (Refrigerated Trucks) za kukodi kwa miezi kadhaa, kila gari iwe na uwezo wa kubeba tani 4.
Mwenye nazo awasiliane na Eric, kwa namba 0712 787939
Techbiz is an appointed IBM Business Partner and provides support for all PCD/x Series servers throughout the region. Other brand names on offer are HP, Acer, Dell, Cisco, Microsoft and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.