Kwa wale ambao waasumbuliwa na magojwa sugu kama kisukari, kansa, Hiv na kadharika wanahitaji kwenda kwa Babu usafiri kutoka Dar Loliondo hupo! Piga simu hizo nawe utahudumiwa.
Sio kwamba siimini tiba ya Loliondo.
Ninaamini kama ninamojawapo ya hayo magonjwa nikipata kikombe nitapona.
Wasi wasi ni mambo yanayoendelea huku mikoani.
watu sasa wameamini tiba ya...
Natafuta nyumba yenye vyumba viwili, sebule,jiko na choo popote DAR ES SALAAM. Iwe ndani ya fensi na sehemu ya kupaki gari.
KODI YA MWEZI ISIZIDI LAKI MOJA NA NUSU ( 150,000/=)
Kwa sasa mchakato wa kuwasaka wanachama (ambao asilimia kubwa ya walengwa ni wanafunzi wanaosoma katika chuo kikuu cha Lumumba-Moscow) unaendelea huku maandalizi ya vikao vya ufunguzi wa tawi...
Kampuni ya Yecco(T)Ltd inakuarifu kuwa sasa utapata modem za kisasa za internet ambapo utakuwa unalipa elfu mbili miatano tu kwa mwezi! Contact 0715865544
Ndugu wana JF ninauza kiwanja changu maeneo ya salasala kinzudi karibu kabisa na shule ya rightway nursery and primary school, kipo karibu na barabara na kuna majirani wameshamaliza kujenga na...
viwanja vinauzwa mbezi luis vya bei nafuu sana.
mita 35*25 3milion, 25*25 mita 2milion, 20*20 mita 1.5milion.
viko eneo la makazi. Dalali hatakiwi.
(kwa taarifa zaidi piga: 0718334726)
Happy Birthday LilyFlower!
Nakupongeza sana kwa kufanya maamuzi sahihi ya kutoka tumboni mwa Mama yetu siku kama ya leo miaka kadha iliyopita!
Mungu akujaalie dazani za miaka ya ziada, na...
WAKUU HESHIMA MBELE
Natafuta Shule ambayo inafundisha Kifaransa hapa JIJINI DAR au kwingineko. Nursery na pia Gradi 1 mpka 7. na pia hapo baadaye secondary
Please kwa kupoteza muda wenu kunipa...
Eneo hilo lipo sambamba na shule ya international St.Marry. Inauzwa kwa garama ya sh.milion 250/= tu. hati ya makazi na biashara. kwa kupaona tuwasiliane kwa 0713 852 625.
Wakuu, natafuta shamba Loliondo kule kwa Babu lenye ukubwa wa kuanzia ekari 300. Mtu yeyote anaye juwa nani anauza au kama ni Serikali inauza, please PM me.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.