A.aleikum wandugu wa jf. Nawakumbusha kwa wale wakazi wa arusha, na wangeni wanaokuja arusha. Karibuni katika restaurant, ilioko eneo la stadium ya mkoa wa arusha, karibu na geti kuu la kuingili...
Together we can contribute in the MDGs to eliminate poverty by donating a crank box to just one rural family.
Fuel prices have risen so high, so as other products cost.
This contributes alot...
A Suzuki Escudo, in an excellent running condition, is being sold at a starting price of TZS 5.5 million or USD 3,300 (with ample room for negotiation for a serious buyer). The car was originally...
Nyumba ya kupanga maili moja Kibaha mkoa wa Pwani karibu na Shule ya msingi maili moja nyuma ya Kanisa la KKKT. Ina vi tails,fani,maji, umeme na barabara ipo mpaka mlangoni. Madirisha yake ni sita...
UKIACHILIA mbali tukio la wizi wa vyandarua lililotokea mtaa wa Mwembe Madafu Kata ya Sandali, wilayani Temeke, kazi ya ugawaji wa vyandarua katika Jiji la Dar es Salaam imefanikiwa kwa asilimia...
Kwa kweli PEPSI nawapa heko kwa kutuletea kinywaji murua na kinachoburudisha cha Mountain Dew ama kwa hakika ni kinywaji kimbiliao la wengi hasa sie wpenzi wa vinywaji laini...
...ndugu zangu wapendwa,
Napenda kuwataarifu nilibahatika kupata mtoto wa kiume though he came early...but we are all doing fine and God is doing his wonders in our life. Asanteni kwa maombi...
Donate a crank box to your community school now and save a life!!
We have experienced and heard alot of fire accident cases which causes a lot of deaths to our beloved children in boarding schools...
Nimetafuta nimechoka. Ninaowapata wote wazuri wiki 2 - 4 za mwanzo baadae wanageuka wezi. Wameniibia miaka 2 yote nimekuwa na-invest shambani bila kupata kitu, mayai wanauza, kuku wanauza...
Imetumika for only two months . Owner is leaving country and would like to sell it . Any offers ?? USD 700 O.N.O
HP Compaq 6530s Notebook PC .
CPU:Intel Core 2 Duo T5870 (2.0GHz, 2 MBL2...
Naomba ushauri,kama mtu hakufanya vizuri form four akipata Div four,sasa amesoma kozi ndogo ndogo mpaka kufikia level ya Adv Dip,je hiki cheti cha form four kinatia aibu,je kwenye kuomba kazi...
wana jf
mimi siyo dalali,
namtafutia ndugu nyumba ya kununua,iwe daresalaam',nyumba iwe na uzio/fence.eneo kubwa la kutosha,maeneo mazuri,e.g kijitonyama,kinondoni,mwenge.bei isizidi millioni 129...
Baadhi ya ndugu, wakiangalia mabaki ya vitu mbalimbali katika ajali ya watu watano wa familia moja kuteketea kwa moto ndani ya nyumba yao eneo la Kisiwani Mkwajuni, Kata ya Vijibweni, Wilaya...
Inna Lillahi wa Inna ilayhi Raj'oon
Verily to Allah we belong & to him we shall return
Taarifa ya Msiba wa MwanaJF
Kwa niaba ya Familia ya Ndugu yetu na mwanachama mwenzetu Aliyekuwa...
Tired of changing batteries, buying kerosene and sniffing carbon emissions?
Try this new Product!
A New Product on renewable energy category has emerged.
A CRANK BOX is a hand power generator...
Hello all
I hope all is well with you wherever you are and in what you are trying to accomplish !!!
Jamani, kama kuna mtu anamjua nduguye/rafiki/jamaa ambaye kwa sasa yupo marekani na...
Kwa wale wadau wanaotaka kusaka Nondoz China,kuna chuo No.1 kwenye nyanja ya Pharmacy kwa mda mrefu sasa China,kinaitwa China Pharmaceutical University kinatoa kozi za Bachelor of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.