Habari za wakati huu; ndugu wadau;
Je wewe ni mfanyabiashara ndogo ndogo?Je unahangaika na namna ya kukuza na kusimamia biashara yako?
Je wewe ni mtu unayetamani kuanzisha biashara Je unakwamba...
Habari za muda huu ndugu zangu,
Mimi ni mkazi wa mkoa wa Geita,
Nahitaji kifaa tajwa hapo juu kwa ajili ya kurahisisha kazi ya kuseti madishi ,
Bajeti yangu ni 170000/=
Wakuu,
Natafuta chumba self contained maeneo ya kijitonyama na Sinza. Kiwe ndani ya uzio. Bajeti yangu ni 120,000 lakini pia nipo tayari kwa mazungumzo.
Karibuni.
Habari,
Natafuta fremu kibaha eneo moja wapo kati ya haya
Kwa matiasi
Kwa mfipa
Kongowe
Iwe sehemu nzuri sio ndani ndani.
Kama unayo pls nicheki 0757854660.
Ofa yangu 70,80, mwisho 100 kwa...
inaweza kusaidia, kuponya, kutibu au kuzuia ...
Kuuma Misuli
Ugonjwa wa Asidi Reflux (Reflux Acid)
Ugonjwa wa Arthritis
Pumu
Fizi za Kutokwa na damu
Majipu
Ugonjwa wa utumbo
Saratani...
Habri!! Muda si mrefu ninaingia hapo jijini, kuanza Kazi. Kituo cha kazi kipo Upanga, Sasa nauliza wazoefu wa mjini vyumba maeneo hyo vinapatikana kwa sh ngapi?? Mfano chumba na sebule au chumba...
[emoji254] Hutibu maambukizi ya fangasi
[emoji254] Yanaotesha nywele
[emoji254] Yanaondoa mba kichwani
[emoji254] Mafuta bora zaidi kwa ngozi yako
[emoji254] Yanalinda ngozi yako dhidi ya miale ya...
Saa za kike na kiume 13000
named bracelets 9000
Tunapatikana Dar na unaletewa popote ulipo ,mikoani tunatuma kuanzia pc 3 (zote nauli ni juu ya mteja)
Piga/WhatsApp no +255(0)744741596
Webcam for video conferencing , Streaming, video calls ( YouTube, Zoom meetings, Skype,etc.)
1080p Full HD
Condition : used ( just 1 year)
Delivery : From Dar es Salaam to any region in TZ...
Aina - Ayrshire
Amezaa Mara mbili teyar, Hana mimba ni WA kupandisha ndama wa mwisho ana mwaka 1.
Amekamuliwa mwaka mzima. Ko sahiv maziw yapo kidogo . Sema akizaa ni ngombe mwenye maziwa sana...
Tanlands real estate tunauza shule ya sekondari iliyokamilika yenye majengo ya madarasa ya maghorofa Mbezi Luguruni karibu na hospitali ya mloganzila bei: tshs. 1.8/= bilioni tu mapatano yapo...
Wakuu nauza home theater yangu,
Watts 800
Haina blootuth
Inahitaji marekebisho kidogo upande wa cd
Zaidi ya hapo kila kitu kinafanya kazi, bei 350,000
Picha na mawasiliano zaidi 0658644485
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.