Bajaji Inauzwa bei Tshs.2,500,000/=. Bajaji ipo kwenye hali nzuri kabisa na inafanya kazi maeneo ya Africana. Usajiri wake ni kama Ifuatavyo:
Reg. No. T479 AXD
Coulour. RED
Accident History...
Bajaji Inauzwa Bei Tshs. 2,500,000/= Inafanya kazi Africana. Inahali njuri sana. Imetumika kwa muda wa Mwaka Mmoja tu mpaka sasa. Ilipata ajali mara moja, na ikafanyiwa ukarabati mkubwa so ipo...
Kipo Mbezi Kunguru karibu sana na shule maalufu nchini kwa kufaulisha watototo nchini iitwayo St Joseph Millenium Secondary. Unapitia njia ya Masaah Hospital kukiendea ukitokea Samaki wabichi...
Dally Estate specializes in selling and renting of commercial, residential, beach front property and retail premises.
We do this with an aim to provide a complete solution when buying Or...
Be a morden Lecturer by ditching the chalks and marker pens!!
Model:Clearco HD9000 Model-with latest LCD Technology.
Brightness: 1800 lumen!!
Resolution: compatible with 1024*768 with a 800*600...
Kiwanja kinauzwa kipo Tabata Segerea nyuma ya gereza la Segerea.Eneo wanita Bonyoko.
Ukubwa wake ni nusu heka. kipo sehemu nzuri sana.
bei ni Tshs. Mil. 15.8
kwa walio na nia ya kununua...
Hello Wanajamii,
Kama wewe upo Tanzania, sasa unaweza kupata tovuti BURE kabisa, tena tovuti ya kisasa kabisa (professional and static) itayotengenezwa kwa kujali misingi yote ya taaluma hii...
Habari za majukumu wanaJF, leo nimeletewa gari na ndugu yangu nikaambiwa inauzwa Tshs. 35m (Maelewano yanakaribishwa)
VX yenyewe ni used ya Japan, ni diesel engine, ina Cc 4553, ya mwaka 1995...
Ndugu Wadau wa elimu naomba nakala ya elektroniki ya Takwimu hizo ambazo zimekwishatoka. Kwenye mtandao huu wa Wizara ya Elimu zipo za mwaka 2008 na miaka ya nyuma tu...
Jee, Unaa Tengeneza nyumba ??
Unahitaji Milango na ma dirisha za sliding za kisasa na kwa bei poa ??
We deal in Sliding Windows / Doors and Partitions.
Special of UPVC (Rust Proof, Washable and...
[b]digital video camera (handycam,camcoder) inauzwa .
Ni mpya ya sony , latest model dsr-sr45
features:internal hard disk 30gb.inarekodi hadi masaa 30,touch screen,portable,documents,manual...
Mitsubishi Chariot yenye injini ya Toyota Rav 4....3s inauzwa. Ipo vizuri kama inavyoonekana katika picha. Ina muziki mzito. Ina nafasi kubwa ndani kiasi cha kubeba familia ya wastani. Rangi yake...
Wakuru habari za usubuh?
namalizia kujenga kabanda kangu sehemsehem, ili kukafanya kawe tundu zuri la kupumzika baada ya kazi ngumu za shamba, ningependa kufunga karuninga kabig kiasi na gagets...
Waheshiwa naomba msaada wa mawazo,
Tafadhali nielekeze ninapoweza kupata DVD au VCD za tuition za watoto wa kati ya miaka 3 hadi 8. Ziwe ni zenye maudhui ya shule, zenye kufundisha kiingereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.