Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

- Kuna tetesi mpya na nzito sana kwamba yule mfanyabiashara maarufu wa jijini Dar, aliyekuwa mume wa marehemu mbunge Amina Chifupa, amefariki dunia leo mjini Dar. - Bado tunazifuatilia kwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mwanachama mwenzetu anayejiita MwenyeNeema amenitumia email hii: Hi Familia ya Jamii Forums, Ninajisikia kuwashirikisha katika msiba wa mwanangu binti yangu mpendwa Mary, aliyefariki kwa...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Mabaki ya nyumba iliyobomolewa na lori la mizigo Friday, September 11, 2009 6:59 AM Jinamizi la malori makubwa ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamii, Ninatafuta kazi ya Marketer (freelance au full employment) katika kampuni za kibiashara. Nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hii na nina mahusiano mazuri na sekta binafsi pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ipo kimara Temboni Dar es Salaam, Tanzania. Ina vyumba vitatu vya kulala, (kimojawapo kikiwa masta), ina study room, dinning room, sitting room kubwa, chumba cha kulala kikubwa. Ipo katika uwanja...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
BAADHI ya akina dada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao katika sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam wamelalamikia kuwa mwezi huu umezorota kibiashara kwa kuhisi huenda mwezi huu wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu Pokeeni Salaamu za Upendo, Naomba msaada wa kupatiwa orodha rasmi ya wilaya (zikionyesha Mikoa yake pia )zote za Tanzania Bara na Visiwani ikiusisha zile mpya Kama Nkenge, kilindi...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
WanaJF and IT/Telecoms Professionals, Tutandae Technologies Limited and DigitalBrain Co.Ltd in collaboration with African eDevelopment Resource Center, Nairobi,Kenya inawatangazia kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Old house situated on 2970sqm Plot at OsterBay,Haile Selasie Road Dar es Salaam, Tanzania. Ideal for property development of shopping centre, office park or apartment. Easy to renovate or...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Jamani hii kali yaani kuwa wholesaler ni 5million tsh au distributor ni 10million tshs just for only one product of Manji Biscuits? Wazalendo itakuwa ngumu kuendelea jamani, nilifikiri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunatengeneza milango ya aina mbalimbali kwa kutumia mbao ngumu mninga na mkongo,garama ya mlango mmoja ni kati ya 150,000-200,000 kutegemeana na aina ya mlango na finishing yake.Tutembelee katika...
0 Reactions
3 Replies
19K Views
nauza autocad 2010 na revit 2010 kwa yeyote nayehitaji aawasiliane na mm kwney email hii hapa roughtee@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni hakika nimekuwa nikiota ndoto nyingi na tofauti na asubuhi yake kuzipuuza lakini hii nilioota , hapana nahisi ina maana kubwa. Ni ndoto ambayo inanitia hamu kufahamu ina maanisha nini ,maana...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Ninauza Toyota Noah, imetembea 125,000kms. Its actually a very very nice Car, Am selling at a throw away price of 9.5m. If you want a look at it hook me at 0713266800. The earlier the better...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Plot for Sale Salasala Kinzudi: 5299sq meter kina Offer Kilomita 6 kutoka main road, kutoka Mwenge 14kms Bei 60m. Kinaweza kugawanywa mara nne kila robo ni 17m
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza laptops brand new! Compaq Presario 15.6" AMD Athlon X2 QL-62 2.0GHz Laptop (CQ60-215DX) - -RAM 3G -HARD DRIVE 250G -BUILT IN CAMERA ANAYEHITAJI TUWASILIANE ZIMEBAKI CHACHE NA BEI NI NZURI
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Imetembea kilometa 125583 n manufactured 1987. Ipo kwenye mazingira mazuri na injini bado nzima. Bei ni kuanzia Millioni kumi (10,000,000) mpaka millioni nane na nusu mwisho (8,500,000) n mwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Monday, August 31, 2009 3:12 AM Mwanaume mmoja wa nchini Marekani amepoteza kipande cha ulimi wake baada ya mwanamke aliyekuwa akimbaka na kumlazimisha wanyonyane ndimi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
The Nova Series is an all-purpose portable lamp that can provide direct and indirect lighting. The Nova is our flagship product and is designed to provide better, brighter, safer and more...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta ng'ombe wa maziwa hapa Bongo. Specie iwe yenye kutoa atleast lita nane kwa mkamuo. Asiwe ng'ombe mzee. wasiliana nami kwa email: mrbwire@yahoo.com
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom