Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Naomba mtu aniunganishe na mtu mwenye jambo lolote, linaloweza kuvutia watu na kuwakusanya nikatangaza biashara yangu. Sarakasi Ngongoti . N.k Malipo maelewano. Please njoo pm Sent using Jamii...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Salaam, tunatengeneza mifuko kwa ajili ya matumizi tofauti tofauti kama vile - Kuhifadhia bites za kwenye shughuli mbalimbali kama vile harusi, kitchen party nk - kuwekea bidhaa mbali mbali za...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
MATUNZO KWA KUKU WA NYAMA (BROILER) kuku hawa kiasili ni kuku ambao wana uwezo wa kukua haraka ndani ya wiki 3.5 mpaka 4 kutegemea na aina ya chakula unachowapa na matunzo. Kuku hawa hukua na...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Kitu freeeeeeesh kutoka shamba!!Karanga mbichi hizo za maganda zinapatikana.Zinauzwa kwa kipimo cha kisado na debe/ndoo. Kisado tsh.3500 Ndoo tsh.16000 Kwa wale wa Mwanza ukichukua kuanzia visado...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Nauza iphone 6s GB 128 RAM 2 Battery 100 Napatikana magomen kagera Bei yake 450000 Karibuni
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Wakuu, kwanza poleni na majukumu ya hapa na pale, lakini ni suala la kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kuendelea kuwa nasi katika kazi za hapa na pale. Naomba kusema yaliyonileta...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanabodi, Kichwa cha habari hapo juu chahusika,nahitaji nondo takribani 85 kwa mchanganuo wa 12mm idadi 60 na 16mm idadi 25,napatikana bahari beach near budget restaurant ,ledger plaza...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
DStv -Jiunge na tasnia ya burudani kwa kununua dish na dekoda kwa sh.99,000 na upewe buree kifurushi cha kuangalia mwezi mzima,kifurushi chenye thamani ya sh.69,000 buree,,kifurushi hiki kina...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Naomba mwenye mkanda wa kioo wa mwanga yan lcd cable ya acer 5210 anichek pm tufanye biashara au kama unaona ambao unafanana nao anichek pm Note :ni laptop sio desktop Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Habari wakuu, Naomba mnisaidie nataka kununua iphone 6+, kuna uzi nimeona wanasema simu za makumbusho ni refurbished au kama kuna mtu anauza 7+ anakaribishwa PM, Bei za mlimani city nimeshindwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Salamu!! Jamani natafuta mahali au chuo au hata mtu binafsi anaweza kunifundisha namna ya kusindika maziwa. Nimejaribu SIDO wanasema wao wanafundisha usindikaji wa vyakula na milolongo kibao na...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu, lile shamba nilisema nauza 10m nimepunguza bei sasa ni 7.3m. Nimeanza na Kujenga kibanda cha mfanyakazi badi kuezeka. Lipo Mbeya.Mbarali. Ni hekari 2.75.
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Year : 2005 Capacity :2490cc Full AC Full Documents Full Options Excellent Conditions Location: Mikocheni Price : 10.7M Call : 0717436363/0711600998 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasalimu kutoka hapa jijini Mwanza, Kama maada inavyosema mimi ni muuzaji wa spare used za magari aina zote niko jijini Mwanza, Nawakaribisha nyote mnaotafuta spare na ntafurahi kutatua...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
[]Kalibuni wateja ujipatie vigani vya kisasa kabisa kwa bei mafuu sana,nichek kupitia 0789334071 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza adsense account ambayo imetoa pesa mara 3 inauzwa bei 500000 kama unahitaji piga simu no:0756855563
1 Reactions
2 Replies
766 Views
Wakuu Leo nimeamua kuwarahishia kazi ya kuzunguka mjini kariakoo kila kukicha kutafuta bidhaa Bora. Jipatie photo copy machine mpya kabisa na maganda yake kwa tsh 2M. Bila usumbufu wowote. Piga...
0 Reactions
6 Replies
866 Views
Jipatie laptop na ipad zilizo imara na vizuri kila idara zimetumika USA zipo tano zikiwa katika hali nzuri NUNUA KILICHO BORA USISMBUKE KUNUNUA VIBOVU KILA SIKU FUNDI BATTERY ZIPO IMARA NA...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Namba C Ipo Temeke Kwa mawsiliano 0714306015
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Wapi nitapata hizi TV kwa maeneo ya Dar, huku mitandaoni wasije kuniliza bure, Budget ni mil 2.5. Pia kama yoyote anatumia aniambie juu ya ubora wake pia alinunua bei gani maduka ya bongo. Thanks.
0 Reactions
5 Replies
961 Views
Back
Top Bottom