Mega Projects in Tanzania

Mlima Nyaishozi changamoto yake kubwa kuwa historia Ujenzi Barabara ya kiwango cha lami ya kutoka Bugene hadi Bugiri Chato mkoa wa Kagera urefu wa kilometa 60 kuifikia CHATO NATIONAL PARK...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanzania ya Samia inazidi kupata Neema Kila siku na hivi punde ni habari za kugundulika kwa Gesi asilia eneo la Ruvu-Kibaha Mkoa wa Pwani. Ugunduzi umefanywa na kampuni ya Wazawa ya Dodsol...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Tanzania, nchi iliyobarikiwa na utajiri wa maliasili, ikiwemo gesi asilia ambayo kwa ujumla wake ni futi trilioni 57.25 za ujazo wa gesi . Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya nishati kwa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani sisi wageni tuweke wapi mabegi yetu
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Nimejikuta kua mjanja mno lakini hii TV imenifanya niwe mshamba hakika naombeni msaada kwa yeyote mtaalam wakuchezea /mjanja waktumia hii Tv nisaidie Tv inaukubwa wa nchi 43 nimeharibu kuweka...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Licha ya mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta (EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga, Tanzania kuendelea kupingwa na Watetezi wa Masuala ya Mazingira, uchimbaji wa Visima vya Mafuta Ghafi umeanza...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
BRT (BUS RAPID TRANSIT) ya jiji la Dar yatajulikana kama DART dar es salaam rapid transit, yanajulikana kama mabasi yaendayo kasi kwa kuwa yanakua na barabara zao maalumu na pekee, na sio yana...
27 Reactions
414 Replies
208K Views
looks like all set,I was heading to the airport today and more than 6 new cars getting out at 6 AM, looks busy, they have put flag and new board with all the information, You now know the...
2 Reactions
61 Replies
32K Views
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amesema kwamba neema ya Maji kutoka Ziwa Victoria sasa imewafikia wananchi wa Jimbo la Kaliua kwani Kampuni ya Megha Construction and...
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema maendeleo ya Ujenzi reli ya kisasa (SGR) kwa vipande vyote vitano unaendelea vizuri ambapo kwa kipande cha Dares Salaam hadi Morogoro ujenzi wake umefikia...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati Dk Medard Kalemani amewaondoa hofu Watanzania kuwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya mto Rufiji wa Julius Nyerere haujawahi kusimama na hautasimama...
4 Reactions
19 Replies
5K Views
Barabara Muhimu ya kimkakati. Matokeo Chanya yatokanayo na Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu. Nidhamu kwenye ukusanyaji wa Kodi. Sera nzuri za Kizalendo pongezi kubwa kwa Mhe Rais wetu Na...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35. Mradi huu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) unafaida nyingi kwa watanzania ikiwemo: 1. Utoaji wa ajira, mpaka sasa mradi huu wa SGR umetoa ajira za moja kwa moja zaidi ya elfu 20 na kulipa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
UFAHAMU MRADI WA ’STRIEGLER'S GORGE Mradi wa umeme wa ‘’STRIEGLER'S GORGE’’ uliasisiwa na marehemu baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere miaka 1970. Mwalimu Nyerere alianzisha wazo la kujenga mradi...
10 Reactions
6 Replies
6K Views
Wakuu, Mtakubaliana Nami kuwa Bagamoyo Road Kwa kipindi kifupi imebadilika sana kutoka kuwa kibarabara kimoja mpaka kuwa barabara kubwa iliyosheheni makao makuu ya makampuni makubwa ya...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamaa wameshinda bid aisee, Bora Hawa kuliko Chinese === Hyundai Rotem has won a 335.4 billion won ($296 million) contract to supply 80 electric multiple units (EMUs) and 17 electric locomotives...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
MAENDELEO YA UJENZI WA SGR: "Vituo vya Reli hii ni vya kisasa na siyo kwaajili ya kushusha na kupandisha abiria pekee bali itakua ni sehemu ya biashara na huduma za kijamii zikiwemo za kibenki na...
15 Reactions
141 Replies
18K Views
SGR ni ufupisho wa maneno ya lugha ya kiingereza ambayo ni Standard Gauge Railway. Hii ni reli ya kisasa ambayo ina upana wa sentimeta 1,435, inayotumika katika mataifa mengi duniani kwa zaidi ya...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Jirani maumivu yakizidi kaonane na Magufuli === Australia-based Magnis Energy Technologies announced yesterday that it reached an agreement with Metallurgical Corporation of China to build a...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…