MTANDAO wa miundombinu umekuwa ukifananishwa na mishipa ya damu katika mwili wa binadamu. Kama ambavyo mishipa ina kazi ya kupeleka damu katika kila kiungo cha mwili, miundombinu ina umuhimu...
Maendeleo ya ujenzi wa reli ya kisasa kwa kipande cha awamu ya pili Morogoro -Makutopora Singida wazidi kunoga umefikia zaidi ya 15% , ujenzi huu unaambatana na ujenzi wa Mahandaki 4 yatakayokuwa...
MABORESHO ya miradi ya reli ukiwamo wa Uboreshaji wa Reli ya Kati (TIRP) ya Dar es Salaam-Isaka wa kilometa 970 ni mikakati ya kufi kia malengo ya nchi kujitosheleza kwa miundombinu ya reli. Hivi...
Hii ndio design mpya ya flyover ya ubungo.
Chini kabisa.. magari yote yanayo badilisha njia.
Daraja la kwanza.. mavari yote yanayo toka kimara kwenda mjini pamoja na mwendokasi.
Daraja la pili...
Mradi wa Umeme wa maporomoko ya Mto Rusumo uliopo mpakani wa Tanzania na Rwanda, unazishirikisha Nchi tatu za Tanzania, Rwanda na Burundi unaendeshwa kwa mkopo Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo...
SERIKALI imeonyesha kuridhishwa na utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji uliogharimu shilingi bilioni 520 unaotekelezwa katika halmashauri ya jiji la Arusha kwa lengo la kuhudumia wananchi.
Hayo...
Tanzania has announced that financial deals for the construction of the second phase of the standard gauge railway (SGR) are close to be finalised. The Minister for Finance and Planning, Dr...
Benki ya Maendeleo ya Afrika – AfDB imeridhishwa na kasi ya maendeleo ya mradi wa Kituo cha kupoza umeme cha Zuzu kinachofadhiliwa na Benki hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la...
Nimepita pale mbezi naona pilika pilika ukuta unainuliwa. Watalaam wengi walishauri kwa kuwa mbezi kuna nafasi kubwa pangejengwa exchange kubwa itakayo saidia magari yote toka kwa msuguli , na...
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) wametia saini mikataba wa miradi mikubwa sita ya usambazaji maji kwa mkoa wa Dar es Salaam na Pwani wenye thamani ya Bilion 114.5. Utiaji huo...
Baadhi ya Watalaam wanaoshirika ujenzi wa Reli ya Kisasa, SGR kutoka Tanzania na Kampuni ya Ujenzi ya Yapi Merkezi wakishuhudia zoezi la uunganishwaji wa reli ya Kisasa katika ziara ya Wakuu wa...
Dar es Salaam (Dar) (from Arabic: دار السلام Dār as-Salām, "the house of peace"; formerly Mzizima) is the former capital as well as the most populouscity in Tanzania and a regionally important...
Wananchi walikuwa na matumaini ya kuingia mkataba wa kulipwa hela kila baada ya miezi mitatu kwa ajili ya kukodishia ardhi yao kwa kampuni ya JACANA/Strandline Resources inayotaka kufanya mradi...
Wote tunatambua kwamba serikali ina mpango wa kuacha kutumia mafuta kuzalisha Umeme na kuanza kutumia Maji na Gesi asilia ...kama wewe ni mfwatiliaji mzuri basi utakuwa unajua mitambo ya umeme ya...
JENGO la tatu la abiria (Terminal III) katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam linatarajiwa kutengeneza ajira lukuki, zikiwamo 245 za moja kwa moja...
Cruise terminal ...ni jengo liliojengwa pembezoni mwa bahari lenye uwezo wa kuhudumia cruise ship..hizi cruise ship husafirisha sana watalii kutoka maeneo mbali mbali duniani ..na hutia nanga...
TAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...
Huyu...
Kesho ni siku rasmi ya Wizara ya Nishati kuwakabidhi makampuni Arab Contractors na Elswedy Electrics eneo la Striegler's Goege kwaajili ya ujenzi wa bwawa la umeme litakalotoa MW 2115 kuanza rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.