Mega Projects in Tanzania

Kama bonde la Rusumo litazalisha Megawat 80 kwa gharama ya ujenzi ys dolla 400,000,000 je Megawati 2100 zitazalishwa kwa uwekezaji kiasi gani? Kwa hesabu za mlinganisho ni kuwa Rufiji inabidi...
4 Reactions
54 Replies
6K Views
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali imedhamiria kwa dhati kukamilisha mradi mkubwa wa Reli kwa kiwango cha Kimataifa (SGR), ambapo tayari kiasi cha zaidi ya...
9 Reactions
60 Replies
17K Views
Serikali imekabidhi rasmi mkandarasi eneo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa bwawa la kuzalisha umeme ‘’Stiegler’s Gorge’’. Hii inatoa njia kwa mkandarasi kuanza kazi rasmi ambayo itaongeza zaidi ya...
16 Reactions
57 Replies
8K Views
**mod masahihisho heading isomeke mataruma Mungu mkubwa ule mradi tuliombiwa hatuuwezi leo wanatandanza mataruma ya reli ,yaani ni kama ndoto eti baada ya mwaka mmoja watu watakuwa wanaenda...
8 Reactions
85 Replies
9K Views
MIRADI MIKUBWA YA MAENDELEO NCHINI TANZANIA ILIYOWEKWA ILI KUFIKIA UCHUMI WA KATI IFIKAPO 2025 Serikali ya Rais John Magufuli imeanzisha Miradi ya kuhakikisha kuwa Tanzania inapata uchumi wa...
6 Reactions
7 Replies
5K Views
Terminal ya BRT (mwendokasi) huko Mbagala inatarajiwa kuwa na muonekano huu. Na ile tabia ya kupitia dirishani itapotea kweli?
9 Reactions
58 Replies
13K Views
Dr Magufuli awataka NSSF kuanza ujenzi wa daraja la Kigamboni mwaka huu By admin– March 25, 2011Posted in: Habari Mchanganyiko Na Tiganya Vincent_MAELEZO-Dar es salam Serikali imeliagiza...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wana jamvi, Kuna mradi mkubwa wa ujenzi wa magorofa unaendelea Kigamboni. Ni Kigamboni ndandani mbele Zoo na naambiwa unaitwa "Dege Eco Village". Wengi wa wafanyakazi ni wazungu wenye asili...
15 Reactions
194 Replies
65K Views
By THISDAY REPORTER Dar es Salaam THE Chief Secretary, Philemon Luhanjo, has intervened to help convince Mlimani Holdings Limited carry on with the multi-billion shillings Mlimani City project...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Tanzania na Rwanda zips katika hatua ya mwisho ya makubaliano ya kupanua mradi wa reli ya kisasa 'SGR' itokayo Isaka, Tanzania hadi Kigali , Rwanda na sasa itaongezwa hadi Rubavu mpakani mwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Huu mradi uliwahi kujadiliwa humu jamvini siku za nyuma lakini ilwekwa jukwaa la Siasa na ilijadiliwa kisiasa zaidi na uzi ukapoteza mwelekeo. Hivi sasa dalili zinaonyesha kuelekea kwenye...
4 Reactions
42 Replies
17K Views
Kwa uelewa wangu maana ya Fly-over Interchange ni makutano ya barabara nyingi za juu na zenye mizunguko mingi inayo ifanya magari kubadilisha barabara na kuendelea na safari bila kusababisha...
1 Reactions
3 Replies
10K Views
Habari Comrades, Naomba wale wenye updates za wapi ujenzi wa SGR umefikia kwa hivi sasa watuonyeshe maana hizi ni pesa zetu walipa kodi wa Nchi hii. Hii ni kwa segments zote za Dar-Moro...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
An ambitious ‘safari city’ project aimed at promoting satellite towns around the fast-growing Arusha has taken off.The National Housing Corporation (NHC) project begins with the construction of...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
MeTL to Start Tanzanian Bank After Abandoning Barclays Plans Tanzania’s MeTL Group, one of the country’s largest privately owned diversified manufacturing companies, plans to open a commercial...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni takriban miaka 10 sasa huduma hii ilikuwa imesimama, ila kwa sasa imerejea kwa kasi, maelezo yote yapo kwenye video yao ya TRC reli TV
2 Reactions
12 Replies
7K Views
The East African oil pipeline (or the Uganda-Tanzania pipeline is the talk of the town now. Not only in East Africa but all over the globe. The construction of this pipeline is officially on...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Timu ya Wataalam wa Wizara ya Nishati pamoja na TANESCO wakiongozwa na Kamishna wa Umeme na Nishati Mbadala, Mhandisi Innocent Luoga imefanya ziara ya kukagua Ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ujenzi wa awamu ya kwanza wa reli ya kisasa (Standard Gorge) umefikia asilimia 16 na unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 30 ifikapo Novemba 2019. Reli hiyo ya kisasa itakuwa ya treni yenye kasi...
4 Reactions
55 Replies
14K Views
Back
Top Bottom