Wajameni,
Jana nilikuwa naangalia TBC habari nikamuona Magufuli anakagua kazi ya ujenzi wa daraja la Kigamboni ambayo imeshaanza. Nimefarijika sana maana safari ya kivuko siku za wkend huwa ni...
Wasaidizi wa JK hawatufahamishi juu ya miradi hii, wacha tujifahamishe wenyewe.
Hii mambo inakuja karibuni. Nadhani itakuwa ni maeneo ya Tanganyika Peckers.
Kuna mwenye kujua progress ya hii...
Read this story,
The East African: *- Business*|Russian firm back in Tanzania uranium project
Note From the story:
Capital cost for construction of the mining plant including all...
Wednesday, 27 September 2006, 08:38
C O N F I D E N T I A L DAR ES SALAAM 001593
SIPDIS
SIPDIS
AF/E FOR BYODER, AF/RSA FOR MBITTRICK
ALSO VCI FOR HHEINTZELMAN AND KWALKIN
EO 12958 DECL...
Tanzania’s Magufuli pushes for quick start to Uganda oil pipeline as Kenya tries to salvage deal
TOTAL SA has funds to build a pipeline linking oil fields in landlocked Uganda with a port on...
Dar es Salaam Tanzania - The Alliance for a Green Revolution in Africa (AGRA) has launched a new initiative, the Inclusive Green Growth of the Smallholder Agriculture (IGGSAS) Programme in the...
PRESIDENT John Magufuli's reputation as a man who likes to get things done were among key reasons behind the country’s success in concluding a lucrative crude oil pipeline agreement with Uganda...
Nimeona picha ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta (Nairobi) nikaona kuna tofauti kubwa sana na upanuzi unaoendelea wa kiwanja cha Julius Nyerere (Dar).
Utafauti huu ni wa kimipango au...
The Kigamboni new city master plan is designed to build a core for accommodating new land demand such as residential, commercial, trade and business, industrial, educational and recreational...
Nimeona kwenye TV kuna mwekezaji anatuonyesha tena mapicha ya train za kisasa, sana anasema kuanzia mwakani zitaanza kufanya kazi.
Kuna wawekezaji fulani nimewaona wengine wana sura za kihindi...
Nimesikia kuwa maelfu ya wakazi wa vijiji vya Nduli na Igingilanyi watahamishwa ili kupisha ujenzi wa uwanja mkubwa wa ndege wa kimataifa. Uhamishaji huu utahusu kulipa fidia makazi, mashamba na...
Viongozi, hivyo tuliwa sikia kituo cha mabasi yaendayo Kaskazini ya nchi yetu hususani mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na nchi jirani ya Kenya kitahamia eneo la Boko Basi Haya. Mradi huu umeishia...
Habari zenu wanandugu.....hivi ule mradi wa kuzalisha over 2000MW za umeme kwenye stiegler gorge iliyoko mto rufiji umefikia wapi? kulikuwa na wakati everyone was so excited and talking about it...
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakiangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam unaoratibiwa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati wa ziara ya...
Wakuu,
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia documentation - authentic (ukiachilia Google docs), inayohusu miradi mikubwa ya maji nchini Tanzania, naomba msaada wake.
Napenda kuishukuru serikali kwa kujaribu kufikiri jinsi ya kutatua tatizo la msongamano ila kuna mambo ambayo ukiwa unapita unajiuliza kweli wataalamu wetu mwisho wao wa kufikiri ni hapa...
The discovery of oil and gas in the Mtwara and Lindi regions in Tanzania is the main reason for the upgrade process Mtwara port is to undergo. MORE DETAILS ON EXPANSION SEE HERE: Mtwara Port in...
The reason for postponement is need to finding a more suitable contractor via vetting, and the completion of the design of the project. Please read more on this here for details
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.