Je, uliwahi pata shida yoyote ulipokwenda kufuatilia mafao yako kwenye mifuko ya Hifadhi ya jamii, iwe PSSSF, WCF au NSSF. Tupe Experience yako kidogo.
Kwa wale wenzetu ambao mnakuwa na uwanja mpana katika soko la ajira, ni vitu gani hasa mnakuwa navyo mpaka mnaweza kubadili kazi mnavyotaka. Yaani unakuta mtu leo yuko kampuni hii, kesho ile. Sawa...
Habari za wakati huu ndugu zangu,
Samahanini sana kwa nitakao wakela kwa mimi kuleta uzi huu hapa jukwaani.
Nilikuwa naomba kwa ambao wamewahi kufanya interview utumishi ajira za TRC department...
Naomba kujuzwa juu ya viwango vya mishahara kwa watu wanaofanya kazi migodini wale wenye certificate ,diploma na bachelor katika mining ,mineral exploration kuwa mishahara yao inarange wapi
Tunapofanya kazi na biashara mbalimbali za kuajiriwa, na kwakweli hata za kujiajiri wenyewe, kuna wakati tunaweza kuamua kuacha kwa sababu mbalimbali!!
Kuna wakati tunatamani kupata kazi na...
Habari wakuu.
Natafuta kazi ama kibarua ujuzi wangu wa gari ndogo na pia ni operator wa mashine aina forklift elimu yangu kidato cha 4 na Umri wangu wa miaka 25.
Pia kama kuna kazi au kibarua...
VACANCIES AVAILABLE
1. HOTEL MANAGER
2. HOTEL SUPERVISOR
3. HOTEL MARKETING MANAGER
4. HOTEL RECEPTIONIST (3 Posts)
5. HOTEL CHEF (3 Posts)
QUALIFICATIONS
1.
Fluent in English & Swahili...
Msaada wana JF,
Kuna mdogo wangu,alituma maombi ya kazi polisi, kwa kutumia cheti cha kidato cha nne (IV) waliambiwa wapeleke kwa makamanda wao wa mikoa, tofauti na wale weneye elimu kuanzia...
Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania...
Habari wana jukwaa.
Kuna binti anahitaji kazi za ndani (nyumbani)
Sifa:
Umri miaka 30
Dini mkristo
Mwenyeji wa Tanga
Pia kuna kijana anahitaji kazi ndogondogo. Kwa anayehitaji tuwasiliane.
Asante
Prospective suppliers are invited to submit tenders for the provision of maize to The School of St Jude, Sisia Campus, Arusha. All interested parties are welcome to participate in the bidding...
Kuna mtoto wa mdogo wangu amechaguliwa kwenye oral ya pccb, sasa ananiuliza baba mkubwa maswali ni yapi wanatoa nimemuambia ngoja nimuulizie kwa watu.
Kwaiyo naomba mwenye uelewa kwenye maswali...
Habari ya muda huu, matumaini yangu nyote ni wazima.
Binafsi namshukuru mungu ni mzima wa afya.
Lengo kuu la uzi huu ni nahitaji mtu mwenye pikipiki au mwenye uwezo wa kununua pikipiki tufanye...
Habari zenu wadau,
Mimi nimesomea mambo ya masoko na mahusiano natafuta ajira nina diploma. Kama kuna mdau mwenye connection au kama alisikia kuna mahali ofisini kuna mchongo tafadhali naomba...
Mheshimiwa Jenista Mhagama hivi karibuni alinukuliwa akiuleza Umma kuwa wata Ajiri kupiti mfumo hifadhi wa Utumishi takribani nafasi 1769 zitatumika kua Ajiri kupitia Data base ya utumishi mwezi...
Kama kichwa kinavyojieleza,
Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria.
Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.