Introduction
I am writing this article from a beach front in Kimbiji overlooking the indian ocean and the beautiful view of Kigamboni Beach front.Its a beautiful place to be with mild sunlight...
I always get excited whenever I am on duty to perform pharmacy practice in any dispensing outlet. And today was not different from any other day.
“Ms. Eli-Ukende, you are here so early today”...
Ni kitu ambacho nimejiuliza kwa muda mrefu Sana. Ni watu wengi Sana wanafanya hizi biashara ndogo ndogo kama kuuza nyanya, duka, kuuza samaki,kushona nguo, na biashara nyinginezo za kijasiriamali...
Habari zenu wakuu wa JF.
Kwenye andiko hili nitaelezea baadhi ya maboresho yanayohitajikika au yanayo paswa kutekelezwa ili kutuletea maendeleo na pia kuendana na ukuaji wa uchumi duniani...
Habari yako mwanajamii.
Kwa wasaa mwingine tena kuyajua haya :
Ujangili ni shughuli ya kiharamia ambayo hufanywa na baadhi ya watu katika kuwinda wanyamapori ambao pia ni rasilimali kubwa kwa...
Dunia inaenda kasi wala haifanani na ya miaka 200+ iliyopita. Kila taifa linajitafutia njia za kujipatia mapato na kurahisisha huduma zake kuendana na kasi ya teknolojia inakua na kutanuka kila...
Sekta ya habari ipewe kipaumbele Kwa kuwa ndiyo sauti ya jamii kwasababu kwa miaka mingi sasa imeendeleza jukumu lake la kuwasilisha taarifa mbalimbali kwa umma na katika kutoa elimu katika jamii...
Habari yako mdau unaefwatilia makala hii
Siku ya leo karibu tuangazie mambo yanayolenga ukatili wa kijinsia katika maeneo ya kazi
Karibu
Mdau wangu kama unavyofahamu kwamba kwa hivi sasa kuna...
Utguanlizi:
Machinga ni jina maarufu wanaloitwa wafanya biashara ndogondogo wa mijini na vijijini kote nchini. Wafanyabiashara wa kundi hili wanatabia ya kuhamahama kutembea huku na kule...
My name is Villain. I am a soldier by profession. I fight for my people with whatever cost. There is a threat globally. It threatens my people and I can’t just sit and watch. Younger children, men...
KUFAHAMIANA (CONNECTIONS) KATIKA KUPATA KAZI.
Kuna tabia imezuka sana katika jamii zetu na kadri tunavyosonga mbele inaelekea kuwa sugu, si nyingine tabia hii ni kupeana kazi/ajira kwa...
Kama tujuavyo Maendeleo ya nchi yoyote duniani hutegemea kodi kutoka kwa raia wake ili kuweza kujiendesha na kujiimarisha kiuchumi, kama ambavyo pia nchi yetu imekuwa ikifanya jitihada zaidi...
Wahamiaji hao ambao hutokea nchi zenye machafuko ya kisiasa na hatimaye kufika nchini kwetu na kupokelewa na wenyeji wa hapa kwetu kwa sasa wimbi hili kubwa linalotokea kila mwaka ni tishio kwa...
Ili Maendeleo yawepo panahitajika amani, umoja na mshikamano katika kufanya shughuli hizo zenye kuleta maendeleo katika jamii.
Serikali imekuwa ikiweka jitihada nyingi katika kuhakikisha...
Kama tunavyofahamu kwa tafsiri kwamba mazingira ni jumla ya vitu vyote vinavyomzunguko mwanadamu ikihusisha vilivyo hai na visivyo hai, Anga hewa, Wadudu, Ndege wanyama mbalimbali na mimea na...
Hasa kumekuwa na wimbi kubwa la watu kutafuta ajira huku wengine wengi wakiambulia patupu
Pengine sababu inaweza kuwa tunasoma na kufundishwa kwamba tupate vyeti ili mwisho wa siku tuajiriwe na...
Je, Kwa mtazamo wako unalionaje hilo?
Katika mazingira yetu wengi tumezaliwa na kuikuta miti ambayo mwanzo tulijua tu ni kwa ajili ya kivuli na kutupatia kuni na mbao tu, Lakini mara baada ya...
Katika miaka kadhaa ya hivi karibuni tumeshuhudia kwa vile ambavyo mabadiliko hayo yanavyoathiri jamii yetu
Mara kadhaa kumekuwepo hali tofauti tofauti katika majira ambapo inaweza ikatokea mvua...
Habari za jioni wapendwa katika bwana,
Siku leo ningeliomba kugusia maswala yanayohusu kilimo ambapo kama tujuavyo kwamba kilimo ni uti wa mgongo katika kuchochea ongezeko kwa pato la taifa...