Binadamu kama viumbe wengine duniani ni kiumbe ambaye msingi wa uwepo wake ni mabadiliko au ukuaji, zaidi ya viumbe wengine baadhi ya ukuaji wake lazima aufanye kwa hiyari yake. Ni katika...
UTANGULIZI
"Changia Damu,Okoa Maisha"hii ni kauli mbiu ya mpango wa taifa wa damu salama inayotumika kuhamasisha uchangiaji wa damu ili kuokoa maisha.
Watu wengi,watoto kwa watu wazima wanahitaji...
Maji ni sehemu ya kundi la chakula na yana umuhimu mkubwa sana kiafya katika kufanikisha kazi mbalimbali mwilini .
Viungo vingi vya mwili ili viweze kufanya kazi vizuri vinahitaji maji , zaidi...
THE PODIUM
A fictious truth.
Horror is the hallmark of any war zone. Smoke and the smell of blood piercing the air. The tension was getting high as the army had one target to their gun points...
Niwasalimu woote kwa niaba ya Jamii Forums.
Leo naomba tuelekee kwa wakuu wetu waliopo kutuwakilisha na kuamua hatma ya nchi ( Wawakilishi/ Viongozi ) .
FIKRA ZANGU:
Afrika kwa ujumla hatuna...
Bidhaa zinazotengenezwa viwandani huwa na viambata mbalimbali ambavyo huzifanya kuwa na ubora na kudumu kwa muda ambao umekusudiwa bila kuharibika.
Pindi ule muda uliokusudiwa utakapovuka...
Hapa nchini kumekuwa na mauaji mengi na kujeruhiana kati ya wapenzi .Taarifa ya kufunga mwaka ya 2020 ya Jeshi la polisi nchini inaeleza kwamba idadi kubwa ya matukio ya mauaji kwa mwaka 2020...
Pima ➡️ Jitambue ➡️ Ishi
Unaweza kuishi na maambukizi ya VVU lakini usiwe na UKIMWI;
Inawezekanaje?
VVU ni Virusi Vinavyosababisha UKIMWI.
UKIMWI ni Upungufu wa Kinga Mwilini.
Mtu huambukizwa...
Huduma ya dharura katika hospitali zetu imekuwa sio dharura tena badala yake kumfanya mgonjwa asubiri hali ambayo ni hatari kwa afya na usalama wa mgonjwa anayehitaji huduma hiyo
Binafsi mara...
In order to achieve industrialized economy, for African countries including Tanzania,our economy must be one which supports financial inclusion.
Tanzania economy rely much on trade, especially...
Uchumi na Biashara
kama tutatengeneza mifumo bora dhidi ya wafanya biashara wadogo (Machinga na mama ntilie) tunaweza kukuza uchumi wetu pamoja na biashara. Mfano Serikali inapo anzisha miji inapo...
Baada ya kukumbuka kuwa kesho ni siku yake ya kuzaliwa; alikopa pesa, akafanya sherehe (birthday party) na baada ya sherehe hakuna alichowaza kingine zaidi ya namna ya atakavyolipa deni...
ULAJI UNAOFAA ni kula chakula chenye mchanganyilo wa angalau chakula kimoja kutoka katika makundi matano ya chakula.Chakula hicho kinatakiwa kiwe cha kutosha kukidhi mahitaji ya mwili.
Ulaji...
Tunaendelea na mada zetu za afya ya akili ambapo leo tutaangalia jinsi simu zinavyoathiri mfumo mzima wa akili na jinsi jamii inavyopeteza uwezo taratibu bila yenyewe kujijua na nini kinaweza...
Jamani ili demokrasia iwepo lazima udikteta uwepo maana kama kwenye kuna demokrasia sasa tunakuwa tunadai nini?
Udikteta au maendeleo. Na ubaya wa waafrika tunadai demokrasia badala ya kudai...
Why do students differ so much in their academic performance in Higher Learning Institutions (HLIs)?
I will elaborate much on non-universities institutions.
Students are most essential asset for...
Moja kati ya mijadala ambayo imezua ugomvi mkubwa duniani na kusababisha vifo kwa watu wengi ni katika suala zima la kuwepo au kuto kuwepo kwa Mungu mmoja.kila imani imejaribu kueleza kivyake...
Moja ya tafiti ambazo zimefanywa na baadhi ya watu waliofanikiwa duniani iligundua kuwa watu wengi sana duniani wanashindwa kufikia MALENGO na NDOTO walizonazo kwa sababu zifuatazo;-
1: Watu...
I often had encounted myself in a trap of hard choices in my life.so I had to make a right decision that won't amaze on its impacts, because we don't live the decision that happens for asingle...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.