Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

0 Votes
SIRI YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YA BINADAMU NA: NESTER REUBEN 'Unazo nguvu za kujidhuru au kutojidhuru mwenyewe kama utachagua kutokuwa na furaha hakuna mtu anayeweza kukufanya ufurahi''...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Upvote 0
23 Votes
Nilifiliwa na tukaenda kuzika Makaburini. Baada ya Maziko nilijikuta nikipata hamu na kiu ya ajabu sana ya kutaka kutalii Makaburini.Basi nilianza mzunguko wangu taratibu huku nikisoma mawe ya...
17 Reactions
18 Replies
2K Views
Upvote 23
1 Vote
Nawasalimu ndugu pamoja na wadau wote wa JF. Natumai ni wazima. Hili ni andiko langu lililojikita katika nyanja ya teknolojia. Tunatarajia kupatikana mambo yasiyopungua matatu kutoka katika andiko...
1 Reactions
0 Replies
557 Views
Upvote 1
1 Vote
Habari wana JamiiForums? Bila shaka sekta na taasisi mbalimbali zimekumbana na mabadiliko makubwa na ni bila kuficha ni kwamba sio nchi yetu tu ila dunia nzima inapitia wakati mgumu tangu kuibuka...
1 Reactions
0 Replies
891 Views
Upvote 1
12 Votes
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Leo napenda kuzungumzia juu ya afya, na katika afya nitajikita kwenye eneo la kufanya mazoezi ya mwili. Nimechagua eneo hili, kwani kuna vitu vingi...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Upvote 12
1 Vote
Habari wana jf. Ni matumaini yangu kila mmoja wetu anaendeleza harakati za kutengeneza maisha bora kwake na familia yake na taifa kwa ujumla. Kwa takwimu zilizopo Tanzania ni moja ya nchi...
1 Reactions
2 Replies
786 Views
Upvote 1
2 Votes
Hii imenigusa niliongelee hili ampapo Kutoka mkoani Mbeya yupo kijana aitwaye Jackson ni kijana ambaye alizaliwa akiwa na matatizo mbalimbali hata hivyo kijana huyo anaeishi na wazazi wake akiwa...
2 Reactions
0 Replies
759 Views
Upvote 2
1 Vote
Tukizungumzia afya ni jumla ya mambo muhimu ambayo yanamgusa kila mmoja wetu kwa ukaribu sana. Kimsingi ni kwamba afya zetu zinatutegemea tufanye kitu au vitu ambavyo vitaweza kuiboresha ambapo...
1 Reactions
0 Replies
641 Views
Upvote 1
1 Vote
Habari zenu wadau wangu naamini sote tuwazima wa afya. Leo tutazungumzia kwa kifupi kwa mzazi /mlezi/ndugu jamaa au rafiki kwa jinsi ambavyo unaweza kuboresha au kustawisha afya ya akili ya...
1 Reactions
0 Replies
806 Views
Upvote 1
1 Vote
Uongozi ni uhusiano uliopo baina ya pande mbili; upande unaoongoza na upande unaoongozwa (Prof. Rev. Fr. Magesa, 2003). Uhusiano huo unajengwa na imani ya wanaoongozwa kwa kiongozi wao...
1 Reactions
0 Replies
655 Views
Upvote 1
1 Vote
Miundombinu ni daraja la maendeleo. kama tunavyoelewa kwamba Miundombinu Ni jumla ya nyenzo kuu ambazo zinaleta maendeleo katika jamii nzima tunapizungumzia miundombinu tunagusia vitu mbalimbali...
1 Reactions
0 Replies
477 Views
Upvote 1
2 Votes
Habari ya kwako ewe mfuatiliaji wa makala hii natumaini langu sote tuwazima wa afya. Leo nimekuja kwenu tuliweke bayana swala linalohusu kwamba ni kwa namna gani tunaweza kuwanusuru mabinti...
2 Reactions
2 Replies
503 Views
Upvote 2
1 Vote
Kama tujuavyo kila kitu kina sababu ya kuumbwa je? haudhani kwamba wewe ni sababu bora na ndio maana unaishi hadi kufikia hivi sasa, hebu jaribu kufikiria kitu. Katika jamii zetu kitu kinachotupa...
1 Reactions
0 Replies
461 Views
Upvote 1
65 Votes
Mtoa mada ##JURUDYIZA## Wapendwa hakuna jipya chini ya jua asilimia kubwa ni ubatili mtupu. Kwa sasa watu wengi wanajikita kutafuta utajiri wa haraka bila kujua harakaharaka haina baraka Na ujue...
39 Reactions
198 Replies
18K Views
Upvote 65
4 Votes
Habarini wana Jamii Forums Leo ningependa kuzungumza Pamoja na wanajamii wenzangu juu ya jambo moja ambalo limekuwepo katika jamii yetu siku nyingi na namna ambavyo linaweza kuwa pingu katika...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Upvote 4
2 Votes
Mashabiki wengi kipenzi wa mpira wapo hatarini kufa au kuathiri afya zao kutokana na magonjwa ya moyo, Kiharusi na matatizo ya kisaikolojia kwa mjibu wa utafiti uliochapishwa katika jarida la...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
3 Votes
Nikiwa nazungumza na Mama mmoja aliyekuwa akijushughurisha na usafi nilipokuwapo, (Mama huyu nilimkuta mahala hapo nilipo ripoti mwaka wa kwanza: nilikuwa mwaka wanne katika eneo hilo wakati...
3 Reactions
2 Replies
424 Views
Upvote 3
13 Votes
UTANGULIZI Kwa muda mrefu tumekuwa tunajiuliza nini hasa muarobaini wa ajira kwa wahitimu nchini? Kwanini wasomi hawaajiriwi au kuajirika? Upatikanaji wa ajira ni suala mtambuka ambalo watanzania...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Upvote 13
3 Votes
Nilibahatika kuitwa kwenye usaili wa kazi, kielimu nimehitimu mafunzo ya Udaktari mwaka 2018, na endapo ningefaulu usaili ule basi ningekuwa mkuu wa kitengo cha afya kwenye taasisi hiyo. Nilifanya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Upvote 3
3 Votes
"Amenikosea sana | nimekasirika mno kwa sababu yake | amenikwaza kwa kweli | sikutarajia kama angalinihuzunisha namna hii | amenivunja moyo kabisa | ameniondolea amani yangu" Katika mkoa mmoja...
2 Reactions
1 Replies
828 Views
Upvote 3
Back
Top Bottom