Nawasalimu ndugu pamoja na wadau wote wa JF. Natumai ni wazima. Hili ni andiko langu lililojikita katika nyanja ya teknolojia. Tunatarajia kupatikana mambo yasiyopungua matatu kutoka katika andiko...
Habari wana JamiiForums?
Bila shaka sekta na taasisi mbalimbali zimekumbana na mabadiliko makubwa na ni bila kuficha ni kwamba sio nchi yetu tu ila dunia nzima inapitia wakati mgumu tangu kuibuka...
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Leo napenda kuzungumzia juu ya afya, na katika afya nitajikita kwenye eneo la kufanya mazoezi ya mwili. Nimechagua eneo hili, kwani kuna vitu vingi...
Habari wana jf. Ni matumaini yangu kila mmoja wetu anaendeleza harakati za kutengeneza maisha bora kwake na familia yake na taifa kwa ujumla.
Kwa takwimu zilizopo Tanzania ni moja ya nchi...
Hii imenigusa niliongelee hili ampapo Kutoka mkoani Mbeya yupo kijana aitwaye Jackson ni kijana ambaye alizaliwa akiwa na matatizo mbalimbali hata hivyo kijana huyo anaeishi na wazazi wake akiwa...
Tukizungumzia afya ni jumla ya mambo muhimu ambayo yanamgusa kila mmoja wetu kwa ukaribu sana. Kimsingi ni kwamba afya zetu zinatutegemea tufanye kitu au vitu ambavyo vitaweza kuiboresha ambapo...
Habari zenu wadau wangu naamini sote tuwazima wa afya.
Leo tutazungumzia kwa kifupi kwa mzazi /mlezi/ndugu jamaa au rafiki kwa jinsi ambavyo unaweza kuboresha au kustawisha afya ya akili ya...
Uongozi ni uhusiano uliopo baina ya pande mbili; upande unaoongoza na upande unaoongozwa (Prof. Rev. Fr. Magesa, 2003). Uhusiano huo unajengwa na imani ya wanaoongozwa kwa kiongozi wao...
Miundombinu ni daraja la maendeleo.
kama tunavyoelewa kwamba Miundombinu Ni jumla ya nyenzo kuu ambazo zinaleta maendeleo katika jamii nzima tunapizungumzia miundombinu tunagusia vitu mbalimbali...
Habari ya kwako ewe mfuatiliaji wa makala hii natumaini langu sote tuwazima wa afya.
Leo nimekuja kwenu tuliweke bayana swala linalohusu kwamba ni kwa namna gani tunaweza kuwanusuru mabinti...
Kama tujuavyo kila kitu kina sababu ya kuumbwa je? haudhani kwamba wewe ni sababu bora na ndio maana unaishi hadi kufikia hivi sasa, hebu jaribu kufikiria kitu.
Katika jamii zetu kitu kinachotupa...
Mtoa mada ##JURUDYIZA##
Wapendwa hakuna jipya chini ya jua asilimia kubwa ni ubatili mtupu.
Kwa sasa watu wengi wanajikita kutafuta utajiri wa haraka bila kujua harakaharaka haina baraka Na ujue...
Habarini wana Jamii Forums
Leo ningependa kuzungumza Pamoja na wanajamii wenzangu juu ya jambo moja ambalo limekuwepo katika jamii yetu siku nyingi na namna ambavyo linaweza kuwa pingu katika...
Mashabiki wengi kipenzi wa mpira wapo hatarini kufa au kuathiri afya zao kutokana na magonjwa ya moyo, Kiharusi na matatizo ya kisaikolojia kwa mjibu wa utafiti uliochapishwa katika jarida la...
Nikiwa nazungumza na Mama mmoja aliyekuwa akijushughurisha na usafi nilipokuwapo, (Mama huyu nilimkuta mahala hapo nilipo ripoti mwaka wa kwanza: nilikuwa mwaka wanne katika eneo hilo wakati...
UTANGULIZI
Kwa muda mrefu tumekuwa tunajiuliza nini hasa muarobaini wa ajira kwa wahitimu nchini? Kwanini wasomi hawaajiriwi au kuajirika? Upatikanaji wa ajira ni suala mtambuka ambalo watanzania...
Nilibahatika kuitwa kwenye usaili wa kazi, kielimu nimehitimu mafunzo ya Udaktari mwaka 2018, na endapo ningefaulu usaili ule basi ningekuwa mkuu wa kitengo cha afya kwenye taasisi hiyo. Nilifanya...
"Amenikosea sana | nimekasirika mno kwa sababu yake | amenikwaza kwa kweli | sikutarajia kama angalinihuzunisha namna hii | amenivunja moyo kabisa | ameniondolea amani yangu"
Katika mkoa mmoja...
KUCHELEWA KWA MAAMUZI YA KESI.
Kuchelewa kwa kesi ni hali ambayo kesi inachukua muda mrefu Zaidi kuliko ule muda uliowekwa kisheria. Kwa Tanzania tatizo hili bado lipo kwa kesi za madai na jinai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.