Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

1 Vote
Kitu kikubwa kinachofanya jamii isiendelee ni kulazimishana fani. Ni vema Kila mtu aachwe afanye kazi anayoipenda.
1 Reactions
0 Replies
470 Views
Upvote 1
2 Votes
KUCHELEWA KWA MAAMUZI YA KESI. Kuchelewa kwa kesi ni hali ambayo kesi inachukua muda mrefu Zaidi kuliko ule muda uliowekwa kisheria. Kwa Tanzania tatizo hili bado lipo kwa kesi za madai na jinai...
2 Reactions
0 Replies
546 Views
Upvote 2
1 Vote
Kwa mujibu wa Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Mtoto, Mkataba wa Afrika kuhusu Haki na Ustawi wa Mtoto, Sera ya Maendeleo ya Mtoto na Sheria ya Mtoto Na. 21 ya 2009; inaeleza kuwa, Mtoto ni mtu...
1 Reactions
0 Replies
858 Views
Upvote 1
9 Votes
1: UTANGULIZI. Tanzania katika miaka ya hivi karibuni imepata maendeleo mazuri katika nyanja za kisiasa kiuchumi na katika ustawi wa jamii. Ingawa bado nchi inakumbana na changamoto kubwa za...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Upvote 9
2 Votes
Maisha yako kasi sana na kila kitu kipo ndani ya muda unaweza kulala mchana ukashtuka ni usiku,ukalala usiku ukajashtuka jioni ya siku ya pili yaani dunia inazunguka kwa kasi ukizubaa inakuacha...
2 Reactions
5 Replies
841 Views
Upvote 2
1 Vote
Demokrasia ni mfumo wa utawala ambao watu wana sauti ya juu kabisa katika kuisimamia serikali yao wakati inatekeleza majukumu ambayo muhimiri wa madaraka unabebwa na nguvu ya umma kupitia...
1 Reactions
1 Replies
837 Views
Upvote 1
1 Vote
Habari zenu wapambanaji, hii ni salamu kwa wote wanaopambana kuhakikisha hawafi kwakukosa kitu tumboni ila kwa mapenzi ya Mungu. Salamu hii ni kwa wale wanaotoka jasho (hata lisiloonekana) katika...
1 Reactions
0 Replies
705 Views
Upvote 1
1 Vote
Nyanja: Demokrasia. Muundo wa majimbo haya uwepo kwenye nafasi za ubunge na udiwani pia ambapo watakao kuwa na uhalali wa kugombea wawe ni wanajumuiya za vyuo husika na siyo wanafunzi...
1 Reactions
0 Replies
731 Views
Upvote 1
1 Vote
Maendeleo ya jamii hutokana na jamii kwa kushirikiana na serikali kuhakikisha huduma za jamii zinapatikana kwa urahisi kutokana na demokrasia imara pamoja na utawala bora ambao utaongozwa na...
1 Reactions
1 Replies
445 Views
Upvote 1
1 Vote
I KNOW THIS IS HARD TO UNDERSTAND. REAL CHANGE COMES FROM INSIDE A 1500 story by Michael Ntunga. PROLOGUE (ONE); SOMETHING IS WRONG. Three nights, three nights was when Mulenga last...
1 Reactions
1 Replies
433 Views
Upvote 1
1 Vote
Nyanja: Haki za Binadamu Taswira kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Mabadiliko ya sera ya elimu ya Feb 2015 yanalenga matumizi ya lugha ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
1 Vote
Bila kujali wazee, vilema, watoto, akina mama wenye mimba, watu hupigana vikumbo kila siku kugombea viti kwenye daladala na mabasi ya mwendokasi. Adha hii inayowawakabili wakazi wa jijini la Dar...
1 Reactions
0 Replies
465 Views
Upvote 1
1 Vote
Maendeleo ya jamii hutokana na jamii kwa kushirikiana na serikali kuhakikisha huduma za jamii zinapatikana kwa urahisi kutokana na demokrasia imara pamoja na utawala bora ambao utaongozwa na...
1 Reactions
0 Replies
370 Views
Upvote 1
1 Vote
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litalenga zaidi kuzuia UPOTOSHWAJI WA TAARIFA MITANDAONI na UDUKUZI...
1 Reactions
0 Replies
555 Views
Upvote 1
1 Vote
Nyanja: Haki za Binadamu Kama sehemu ya maboresho ya kudumu ya sekta ya sheria nchini ili kuipa jamii ya kitanzania huduma maridhawa zenye viwango vya kisheria kwa kutafsiri na kutoa haki kwa...
1 Reactions
0 Replies
664 Views
Upvote 1
1 Vote
Elimu ni ukombozi wa umaskini, hii nukuu kutoka kwa baba wa Taifa mwalim Nyerere, kutokana na kwamba Elimu iwe lazima na bure kwa kila mmoja awe na haki ya kuipata ili ajikomboe kiuchumi na...
1 Reactions
0 Replies
564 Views
Upvote 1
2 Votes
Vyombo vya habari au kwa jina maarufu la fourth estate katika lugha ya malkia vina mchango mkubwa na wa kipekee katika kuchochea maendeleo, demokrasia na uwajibikaji endapo tu vikiwa huru na...
2 Reactions
0 Replies
555 Views
Upvote 2
3 Votes
Najua unajihisi mkosaji au unamikosi wakatimwingine pia marafiki wanakukatisha tamaa, wanakwambi kweli wewe hunabahati hata hili pia limekupita, ngoja nikwambie hayo upitiayo kuna wanadamu wenzako...
2 Reactions
3 Replies
818 Views
Upvote 3
1 Vote
Tanzania ni nchi huru ambayo inaongozwa kwa utawala wa Sheria kwa kuzingatia demokrasia ,ambapo viongozi hupatikana kwa kuchaguliwa na wananchi kila baada ya miaka mitano,akiwemo raisi,wabunge,na...
1 Reactions
0 Replies
590 Views
Upvote 1
1 Vote
I know there is a lot of things running in our heads when we hear or see the two terms Girls/ladies/women and Technology.. I will tell you what comes in so many People's minds and it's probably a...
1 Reactions
0 Replies
329 Views
Upvote 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…