Katika jumla ya watu wote dunia nzima inasemekana kuwa asilimia 10 ni walemavu. Ulemavu unaweza kutokana na MTU kuzaliwa nao ajali , magonjwa yanaopeleka kiungo cha mwili kukatwa au kushindwa...
Magonjwa ya kitropiki yaliyosahaulika (Neglected Tropical Diseases au NTDs) ni magonjwa yanayosababishwa na bakteria na vimilea ambukizi ambavyo hupatikana katika nchi 149 ambazo huhesabika...
JINSI DHANA YA MFUMO DUME INAVYOWATAFUNA WANAUME
Wahenga walipata kusema kikulacho kinguoni mwako na hivi ndivyo ninavyoweza kuamua na kuhawilisha tafakuri yangu katika maisha ya mfumo...
Love and relationship
During our parents era, love and relationship was a one sided agreement.
A man was the one who were considered to start a relationship, his interests where what was given...
Science and Technology
According to oxford reference science encompasses the systematic study of the structure and behavior of the physical and natural world through observation and experiment...
INTRODUCTION
In a world of 7.9 billion people, there are about 4.48 billion social media users around the world in July 2021, equating to almost 57 percent of the total global population. That...
Inashauriwa kuwa mara tu mwanamke apatapo mimba [ujauzito] aanze kuhudhuria kliniki kwa ajili ya kupatiwa vipimo, ushauri pamoja na kujua maendeleo ya mimba [ujauzito] wake kwa kuendelea...
Kumekuwa na mabadiliko makubwa katika huduma mbalimbali kabla na baada ya uhuru, kabla ya uhuru huduma zilikuwa zikitolewa zaidi kwenye maeneo ya shughuli za kiuchumi kama miji na mashamba...
Katika lugha ya Kiswahili cha mitaani kitu kuoza maana yake ni kupitiliza mda wake wa matumizi au kupitwa na wakati. Katika makala hii mwandishi ametumia neno “elimu yetu imeoza” kuonyesha elimu...
Mkuu wa wilaya ni kiongozi mkuu wa serikali katika wilaya na jukumu lake la kiutawala ni kuhakikisha mifumo ya utawala katika eneo lake inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi.Kiongozi huyu huteuliwa...
UNAWEZA KUFANYA HICHO UNACHOKITAMANI KIFANYIKE ILA FUMBIA MACHO HICHO UNACHOONA NI KIKWAZO KWAKO.
Watu wengi wamekuwa wakitamani kufanya vitu vikubwa na vizuri na pia huenda ni vipya lakini...
MAENDELEO KATIKA TAIFA LA TANZANIA
Katika mtazamo wa kawaida, maendeleo ni hali ya kuwa na mabadiliko chanya kukoka hatua moja hadi nyingine katika nyanja za kijamii, kiuchumi, kisiasa na...
Kujilinda dhidi ya mpenzi ya uongo kwa watoto wa kike
=====
KUJILINDA DHIDI YA MAPENZI YA UONGO KWA WATOTO WA KIKE
Na: Nester Reuben
Kwa muda mrefu sana kumekuwa na changamoto ya sisi...
ELIMU NA MAENDELEO
Maendeleo ya nchi huitaji uwepo wa watu wenye uwezo wa kuleta mabadiliko katika jamii. Rasilimali watu inahusisha uwepo wa watu wenye ELIMU bora, afya bora na mitazamo chanya...
Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira!
kwaweli nilikosa jibu kwa muda...
VITA YA JIRANI NA UTALII TANZANIA
Lazima tuingie gharama ili kuitangaza Tanzania na kuwavutia watalii Tanzania. Pamoja nan chi yetu kuwa na vivutio vingi vya utalii, yani vingi sana na nikivitaja...
“Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima”.
Habari zenu, ndugu wana Jamii Forums, haswa jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu sote tu wazima wa afya.
Andiko hili litaangazia...
JE, TUFUMBE MACHO AU TUTAFUTE SULUHU LA MACHINGA?
Labda niseme kwamba mimi ni machinga kwa style yangu ya biashara, na niseme wazi kwamba nimefanya umachinga tangu nikiwa shule ya msingi au...
Nina mashaka juu ya haya ambayo sisi binaadamu tunavyozidi kukua,kubadilika,kughadhabika na utu pia kututoka.
UBINAAMU
Tunaishi katika hali ambazo jamii ndio tunayo-iogopa zaidi kuliko hali zetu...
Kuna vitu ni vigumu kuvisahau kwenye maisha yangu, vipo vyenye kufurahisha na vile vyenye kuleta maumivu moyoni mwetu. Jambo la kushukuru ni namna Mungu ameweka kitu kusahau ili maisha yaendelee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.