Ni jambo lisilofichika sasa kuwa mfumo wetu wa elimu uko dhoofu li hali, kama sio hoi bin taabani. Haumuandai mhitimu kujiajiri au kuweza kutengeneza ajira, hali ni mbaya sana, wahitimu wengi wa...
TUSIJIDANGANYE kutaka Kiswahili kuenea fumba na kufumbua duniani. Tutosheke na kukiona Kiswahili kinatawala Afrika hatua kwa hatua.
KOKOTE Afrika viongozi, wanasiasa, wasomi na jamii kwa ujumla...
Anaitwa Bahati, tangu akiwa mdogo alishaamua atapambana na maisha na kuboresha maisha ya familia yao. Baba yake alikua Mchungaji wa kanisa, mama mwalimu. Wakizaliwa sita na kati ya hao wa kike...
UTANGULIZI
Kila sifa njema anastahiki Mwenyezi. Ama baada, ningependa kuzibainisha nukta 03 zitakazo chambuliwa katika mnakasha huu.
01) Mapinduzi ya Viwanda kwa ujumla wake.
02) Hali ya...
Kwa miaka takriban mitatu niliishi mjini Tokyo, Japan. Ukiachilia mbali maajabu katika mifumo ya usafiri hasa treni katika mji huo, jambo ambalo lilinistaajabisha kila siku ni jinsi mji huo ulivyo...
Ni muda sasa tangu Taifa letu lianze kulalamika juu ya ukosefu wa ajira kwa vijana na wanajamii nzima kwa ujumla.
Tatizo hili linaonekana kuwa changamoto inayo ongezeka kwa kasi, siyo tu ndani ya...
Kiuhalisia kabisa jamii nyingi za kitanzania kuanzia wananchi wa kawaida mpaka viongozi wa maeneo husika wakiserikali na hata wale wasio wa kiserikali imekuwa ni kawaida sana kutumia muda mwingi...
YUPI MKE BORA/MUME BORA (NDOA NA MAHUSIANO)
Lengo kuu la andiko hili ni kwenda kuibadilisha jamii ya watanzania hususan vijana wa kizazi cha leo ilo kuweza kutambua vema dhana halisi ya...
Personally ntawaongelea wenye nacho hatuwezi kuokoa wote but wanaowezekana tuwaokoe
To the government and graduates,.tangazo la bodi ya mikopo linasema litawafadhili wanafunzi 160,000.
wazo...
Kwa wale waliosoma vizuri somo la Kingereza, watakuwa wamekutana na huo usemi, a hungry man is an angry man – mwenye njaa ni mwenye hasira. Huenda ni kweli na hili linaweza elezewa vizuri na mtu...
Habari wana jamiiforum,
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya njema hadi muda huu, natumai na ninyi ni wazima, kama ni mgonjwa mungu akupe nafuu uweze kupona.
Nimeamua kuchukua nafasi...
Andiko hili linaelezea suala la ukombozi wa kifikra kwa Watanzania na Waafrika kwa ujumla kama nyenzo ya kujikomboa kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni.
Jamii ya watu wasiojiamini, wenye...
Naitwa Teju nikijana wa kitanzania nilisoma shule ya sekondari Ivumwe Secondary school nilipata ufaulu wa Diraja II (Division Two) na ALevel Mbalizi Secondary school nilipata ufaulu wa Daraja I...
Habari ya wachezaji wa Simba Clatous Chota Chama raia wa Zambia ambaye amenunuliwa na klabu RS Berkane ya Morocco na Jose Luis Miquissone raia wa Msumbiji ambaye amenunuliwa na Klabu bingwa ya...
Rafiki yangu mpendwa,
Ule ushauri maarufu kabisa wa nenda shule, soma kwa bidii, faulu vizuri na utapata kazi ya uhahika, inayolipa vizuri na kukuwezesha kuwa na maisha mazuri, haufanyi tena...
Je ulishawahi kujiuliza familia inayoibiwa mtoto inaishi katika mateso ya namna gani? Usiombe yakukute! Ukiweza yaepuke kwa kuchukua tahadhari zote. Sisi tulinusurika kubadilishiwa mtoto akiwa...
Inclusive and sustainable development stipulated in Agenda 2063: The Africa We Want, will be illusory if we don’t effectively mitigate violent extremism which is gaining momentum in sub-Saharan...
GEREZA NI SHULE YA UCHUMI
Gereza ni sehemu au makazi ambapo wakosefu wa sheria za nchi Fulani wamekua wakiishi kwa ulinzi na uangalizi mkali. Inafahamika kua gereza ni sehemu ya kuadhibu watu...
MITAJI / MIKOPO
a) Wakopaji
Kuna wadau wengi katika Jamvi letu wanakuwa na uhitaji wa pesa kwa wakati Fulani lakini hawana pa kuzipata. Pia sababu watu hatujuani ni vigumu kuaminiana ila JF...
Chapisho hili limegawanyika katika sehemu kuu nne;
1. Utangulizi
2. Mapendekezo
3. Hitimisho
UTANGULIZI
Serikali kupitia wizara ya fedha ina jukumu kubwa la kuhakikisha pato la Taifa linaongezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.