Changamoto tunazokabiliana nazo mpaka kufikia ndoto zetu, Ni vitu vingi sana tunakumbana navyo katika hazarakati/safari zetu za Maisha mpaka kufikia ndoto tulizokuwa tunaishi nazo kwenye fikra...
KUCHAGUA CHA KUPANGA NA KUPANGA KIMNUFAISHEJE MNYOGE
Kwa wale wenye umri kama wa kwangu, watakumbuka ule mgawanyo wa dunia kiuchumi kuwa kuna nchi zilizoendelea, za uchumi wa kati na...
Biashara za network marketing zipo nyingi sana, makampuni haya yapo mengi sio tu Tanzania, duniani kote. Wanashawishi watu watafutaji, wenye nia ya kufanikiwa kwenye maisha kujiunga na hivyo wao...
All over the world, organizations have embarked on a digital transformation journey in order to remain relevant in the fast-changing business environment catalyzed by possibilities that technology...
POMBE~Ni kinywaji kinachotengenezwa kwa kutumia mimea Kama ngano, mahindi, ndizi na mimea nyingine yenye sukari asilia ndani yake kwa njia ya uchachu ( fermentation process).
DAWA ZA KULEVYA~ Ni...
Jioni baada ya kutoka shule, Faraja* aliingia ndani na kuona jinsi vyombo vilivyokuwa vimevurugwa na kuvunjwa. Maumivu ya kumbukumbu za ugomvi wa wazazi wake usiku kucha wa jana yalimfanya...
Na Nkuruma wa Karne ya 21.
Imekuwa kawaida kwa mataifa ya Afrika kuongozwa na Chama kimoja mfululizo huku chaguzi zikifanyika kuwahalalishia watawala mipango yao ya kudumu madarakani na kuachiana...
JF
Katika jamii kuna makundi ya watu mbalimbali, wapo watu wanaojiweza kumudu mahitaji yao yote lakini pia kuna makundi ya watu hawajiwezi kumudu mahitaji yao ya kila siku katika maisha
Mahitaji...
USIMAMIZI WA HAKI ZA DIJITI/DIGITALI; NINI KIFANYIKE?
Ni ukweli usiofichika teknolojia imekuza uchumi wa nchi hii kwa kasi mno. Kampuni na watu binafsi hasa wafanyabiashara hutumia ulimwengu wa...
Utangulizi
Kwa muda mrefu kumekuwapo na changamoto ya wananchi wengi waishio katika maeneo yanayozunguka bahari, maziwa na mito kufanya shughuli za uvuvi bila kufuata sheria na taratibu...
Habarini,
Leo nazungumza juu ya biashara haramu ya binadamu (human trafficking) naielezea, lengo kuu ni wote tuifahamu tujilinde na tulinde ndugu zetu. Ndio maana naomba sana kama una mchango wa...
Habari mpendwa msomaji wa kiunzi hiki...
Ni kauli iliyojengeka inayosema kwamba "Maisha ni mafupi acha nile ujana" hususani kwa vijana ambao ni chipukizi wakiwa kati ya umri wa kuanzia miaka 20...
Mambo mengi na vitu vingi malimbali ambavyo tumekua tukivifanya binadamu na kutaka kuvifanikisha , mara nyingi huwa na mwanzo mgumu na wa kitofauti. Hii ni kutokana na matarajio makubwa sana...
Na Nkuruma wa Karne ya 21.
Maisha ya Mwanadamu yamesimama katika misingi ya Sheria ambazo zinakuwa kama kanuni ya matendo na kauli za kila mwanajamii wa jamii husika.
Sheria ndiyo huweka misingi...
Kwa kawaida ponografia si jambo geni kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kuingia mtandaoni mara kwa mara lakini kwa ufupi, ponografia ni uwakilishi wa ngono kwa njia ya picha, vitabu, vinyago, sanamu...
Katika mawazo ya biashara ya kufanya, weka mawazo yako katika kutoa huduma katika jamii inayokuzunguka. Mawazo yako yakijikita hapa ni rahisi kugundua kitu kinachohitajika sana katika jamii yako...
Je umewahi kujiuliza Furaha ni nini? Je umewahi kuwa na furaha? Ilikuaje ukawa na furaha? Je unakumbuka nini siku ile ulipopata matokeo yako ya kidato cha nne ? Bila shaka ulihabarishwa kuwa...
Maendeleo ni chachu ya kila mtanzania hapa nchini ikiwemo maendeleo kwenye nyanja mbalimbali za kiuchumi, biashara, utawala Bora, uwajibikaji, afya, haki za binaadamu, demokrasia na kadhalika...
Kama kichwa cha habari kinavyosema ni wakati sasa kwa serikali yetu kupitia wizara ya Afya kuweka hiari ya kujitolea viungo vya mwili tena kisheria ili viweze kutolewa kwa wahitaji mara baada ya...
Mfungwa anapomaliza kifungo na kurudi uraiani anakuwa kama mtoto. Hana kazi, hana mali na wakati mwingine hata utu wake huonekana tofauti. Anaweza kuonekana kama mhalifu kama wengine wengi ambao...