Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

5 Votes
Je umewahi kutamani kuacha au kupenda kuwa na tabia zifuatazo? Unachukia sana kunywa pombe lakini hujui jinsi ya kuacha kunywa pombe Unachukia sana tabia ya kuvuta sigara lakini hujui utaachaje...
5 Reactions
0 Replies
3K Views
Upvote 5
3 Votes
Asiye kujua hakuthamini, lakini vile vile uchungu wa mwana aujuaye mzazi, hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anateseka au anaishia kuwa na maisha duni, kila mzazi anashughuli...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 3
0 Votes
Utangulizi Dunia nzima imekumbwa na janga zito la ugonjwa wa UVIKO-19 lililoanza mwaka 2019 huko nchini China bara la Asia na kutokana na uzito wa janga hilo kila nchi imejitahidi kufanya kila...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Upvote 0
0 Votes
Namna nzuri ya kuitumia mitandao ya kijamii kupambana na soko la ajira pia kufumania fursa mbalimbali kutokana na uhitaji wako. Vijana waliohitimu vyuo vikuu wanalalamika hakuna ajira hii makala...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Upvote 0
38 Votes
Utangulizi Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume/vijana ni tatizo ambalo limekua likizidi kukua hasa kwa watu walizaliwa miaka ya 80, 90 na 2000. Wahenga wanasema kwamba vita vingi...
17 Reactions
54 Replies
8K Views
Upvote 38
2 Votes
Udini ni tatizo ambalo lipo sana kwenye jamii yetu ya Tanzania na linatutafuna. Hatuna vita vya mapanga na risasi lakini kisaikolojia tuna vita kubwa sana! Nimeshududia mitafaruku katika ndoa,koo...
1 Reactions
2 Replies
920 Views
Upvote 2
1 Vote
July 30th 2021 MUSTAKABALI WA JAMII Ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwanza kwa kunipa pumzi na fahamu za kuweza kuweka mada hii mbele ya jamii. Naomba aniwezeshe ili niweze kufikia jamii...
1 Reactions
0 Replies
998 Views
Upvote 1
2 Votes
c NA ISMAIL MAYUMBA Dunia kiganjani ni msemo wenye kumaanisha kuwa unaweza kuimiliki dunia na kuiona yote kiganjani mwako kutokana na ukuaji wa utandawazi duniani na kuzidi kupunguza ukubwa wa...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Upvote 2
2 Votes
ISMAIL MAYUMBA Watu wawili wakiwa wameianza safari ya baharini, wakiwa kwenye jahazi na safari yao ikigharimu miaka yao tisa katika kuishi. Sio kama awali bali saivi bahari ina machafuko na...
1 Reactions
2 Replies
728 Views
Upvote 2
1 Vote
Dunia ya leo imesheheni mataifa mengi na jamii nyingi kutoka kila pande ambazo kila moja ya jamii hizo iko na desturi na utamaduni wake wa pekee. Tamaduni na desturi hizo zinaweza kuwa chanzo cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
0 Votes
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la matumizi ya pikipiki kama njia ya usafirishaji kuanzia mijini hadi vijijini hapa kwetu Tanzania. Matumizi ya pikipiki maarufu kama Bodaboda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
DEMOKRASIA Ni aina ya utawala ambayomaamuzi huamuriwa na watu. Pia demokrasia huruhusu maamuzi mbalimbali kufanyika kupitia nguvu ya watu. Demokrasia huruhusu uhuru wa watu, vyama vingi vya...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Upvote 0
1 Vote
Kama mwanafunzi hana utindio wa ubongo huyo anafundishika na akafanya vizuri kabisa katika masomo yake. Wanafunzi wamegawanyika katika makundi makuu matatu;- Ni wanafunzi ambao wana uwezo...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Upvote 1
1 Vote
Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima. Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 1
1 Vote
Nianzie mkoani Kigoma Mzee Kamachi ni Muha mzaliwa wa Kigoma Mjini Gungu Kamachi alizaliwa miaka ya 1960 mkoani kigoma alikuwa mtoto wa kwanza kwenye familia ya Saidy Kumachi Mzee Saidy alimzaa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Upvote 1
0 Votes
Changes in Tanzania can be made by the Tanzanians them selves, including the governmental sector and non governmental sectors. Changes in economic status, society development, good governance and...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Upvote 0
1 Vote
Februari 6 kila mwaka, dunia nzima huadhimisha siku ya kupinga Ukeketaji wa wanawake baada ya Baraza la Umoja wa Mataifa kuipitisha mnamo mwaka 2003. Je, ukeketaji ni nini? Ni kitendo cha kukata...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Upvote 1
2 Votes
Na Kasale Maleton Mwaana (Mwenyeji wa Ngorongoro) NINI KIFANYIKE KUBORESHA UHIFADHI NA MAISHA YA WENYEJI!? Mamlaka ya hifadhi kwa kusaidiana na wizara ya maliasili na utalii pamoja na serikali...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Upvote 2
8 Votes
Wosia ni kauli ya hiari inayotolewa na mtu wakati wa uhai wake ikionyesha mgawanyiko wa mali/mirathi pamoja na muongozo wa familia yake baada ya kifo chake. (tafsiri ya kisheria) Katika jamii ya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Upvote 8
3 Votes
Habari za saa wana JamiiForums, Kwanza kabisa niingie moja kwa moja kwenye maada husika inayomuhusu mama/mwanamke wa kiafrika anayepitia changamoto mbalimbali,Ni kujaribu kujua jamii ya afrika ni...
2 Reactions
8 Replies
9K Views
Upvote 3
Back
Top Bottom