Je umewahi kutamani kuacha au kupenda kuwa na tabia zifuatazo?
Unachukia sana kunywa pombe lakini hujui jinsi ya kuacha kunywa pombe
Unachukia sana tabia ya kuvuta sigara lakini hujui utaachaje...
Asiye kujua hakuthamini, lakini vile vile uchungu wa mwana aujuaye mzazi, hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anateseka au anaishia kuwa na maisha duni,
kila mzazi anashughuli...
Utangulizi
Dunia nzima imekumbwa na janga zito la ugonjwa wa UVIKO-19 lililoanza mwaka 2019 huko nchini China bara la Asia na kutokana na uzito wa janga hilo kila nchi imejitahidi kufanya kila...
Namna nzuri ya kuitumia mitandao ya kijamii kupambana na soko la ajira pia kufumania fursa mbalimbali kutokana na uhitaji wako.
Vijana waliohitimu vyuo vikuu wanalalamika hakuna ajira hii makala...
Utangulizi
Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume/vijana ni tatizo ambalo limekua likizidi kukua hasa kwa watu walizaliwa miaka ya 80, 90 na 2000. Wahenga wanasema kwamba vita vingi...
Udini ni tatizo ambalo lipo sana kwenye jamii yetu ya Tanzania na linatutafuna. Hatuna vita vya mapanga na risasi lakini kisaikolojia tuna vita kubwa sana! Nimeshududia mitafaruku katika ndoa,koo...
July 30th 2021
MUSTAKABALI WA JAMII
Ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwanza kwa kunipa pumzi na fahamu za kuweza kuweka mada hii mbele ya jamii. Naomba aniwezeshe ili niweze kufikia jamii...
c
NA ISMAIL MAYUMBA
Dunia kiganjani ni msemo wenye kumaanisha kuwa unaweza kuimiliki dunia na kuiona yote kiganjani mwako kutokana na ukuaji wa utandawazi duniani na kuzidi kupunguza ukubwa wa...
ISMAIL MAYUMBA
Watu wawili wakiwa wameianza safari ya baharini, wakiwa kwenye jahazi na safari yao ikigharimu miaka yao tisa katika kuishi. Sio kama awali bali saivi bahari ina machafuko na...
Dunia ya leo imesheheni mataifa mengi na jamii nyingi kutoka kila pande ambazo kila moja ya jamii hizo iko na desturi na utamaduni wake wa pekee. Tamaduni na desturi hizo zinaweza kuwa chanzo cha...
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la matumizi ya pikipiki kama njia ya usafirishaji kuanzia mijini hadi vijijini hapa kwetu Tanzania. Matumizi ya pikipiki maarufu kama Bodaboda...
DEMOKRASIA
Ni aina ya utawala ambayomaamuzi huamuriwa na watu. Pia demokrasia huruhusu maamuzi mbalimbali kufanyika kupitia nguvu ya watu. Demokrasia huruhusu uhuru wa watu, vyama vingi vya...
Kama mwanafunzi hana utindio wa ubongo huyo anafundishika na akafanya vizuri kabisa katika masomo yake.
Wanafunzi wamegawanyika katika makundi makuu matatu;-
Ni wanafunzi ambao wana uwezo...
Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima.
Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla...
Nianzie mkoani Kigoma
Mzee Kamachi ni Muha mzaliwa wa Kigoma Mjini Gungu
Kamachi alizaliwa miaka ya 1960 mkoani kigoma alikuwa mtoto wa kwanza kwenye familia ya Saidy Kumachi
Mzee Saidy alimzaa...
Changes in Tanzania can be made by the Tanzanians them selves, including the governmental sector and non governmental sectors. Changes in economic status, society development, good governance and...
Februari 6 kila mwaka, dunia nzima huadhimisha siku ya kupinga Ukeketaji wa wanawake baada ya Baraza la Umoja wa Mataifa kuipitisha mnamo mwaka 2003.
Je, ukeketaji ni nini?
Ni kitendo cha kukata...
Na
Kasale Maleton Mwaana (Mwenyeji wa Ngorongoro)
NINI KIFANYIKE KUBORESHA UHIFADHI NA MAISHA YA WENYEJI!?
Mamlaka ya hifadhi kwa kusaidiana na wizara ya maliasili na utalii pamoja na serikali...
Wosia ni kauli ya hiari inayotolewa na mtu wakati wa uhai wake ikionyesha mgawanyiko wa mali/mirathi pamoja na muongozo wa familia yake baada ya kifo chake. (tafsiri ya kisheria)
Katika jamii ya...
Habari za saa wana JamiiForums,
Kwanza kabisa niingie moja kwa moja kwenye maada husika inayomuhusu mama/mwanamke wa kiafrika anayepitia changamoto mbalimbali,Ni kujaribu kujua jamii ya afrika ni...