Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wengi wetu ni mashuhuda wa kushuka kwa maadili miongoni mwa vijana na watoto wa sasa .Vijana wengi wamekosa nidhamu si kutowaheshimu...
Na Nkuruma wa Karne ya 21.
Utawala bora unaoheshimu haki, Uhuru wa wote, haki sawa na furaha kwa wote hutokana na siasa safi inayosimamiwa na jamii chini ya mifumo Safi ya kisheria kupitia katiba...
Wanasiasa wote Duniani muda wote hufikiria madaraka,kwenye madaraka hawana mchezo wanaweza kufanya lolote ili kupata madaraka au kukumbatia madaraka yao.Ni siasa za kuchumia tumbo,wanataka au...
Maendeleo ya taifa yanachangiwa na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mifumo na sera zilizopo kwenye nyanja mbalimbali kama uchumi na biashara, afya, maendeleo ya jamii, utawala bora, demokrasia...
Ajali za moto katika jamii yetu zimekuwa ni majanga yanayohitaji mjadala makini kutokana na athari kubwa yanazosababisha pindi yanapozuka katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika taasis za umma...
UTANGULIZI
Viongozi wanaojitambua na kuzitambua vizuri kazi na majukumu yao ndilo jicho bora katika kutengeneza nchi yenye maono na muelekeo wa kujenga msingi mzuri wa maendeleo kwa ajili ya...
Utangulizi
Tanzania kiuhalisia bado ni nchi ambayo inategemea uchumi wake kukua kupitia vijiji vyake ambavyo shughuli za watu wake wengi hutegemea kilimo. Mbali na kutegemea kilimo zaidi na...
Mzunguko wa fedha ni kiwango cha fedha ambacho kipo katika jamii kupitia matumizi mbalimbali ya serikali. Mzunguko wa fedha hutokana na sera mbalimbali ambazo ni zimewekwa na Bank kuu katika...
Nadhani makala hii haitawahusu vijana wavivu ambao wao wanawaza kuamka nakukaa vijiweni wakipeana mbinu za kupora nakuiba mali za watu.
Hii itawahusu vijana na watu wazima ambao bado wangali...
Karibu katika makala hii:
UHUSISHWAJI WA AFYA YA AKILI KATIKA UTOAJI A HUDUMA YA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI.
Uzingatiwaji wa afya ya akili katika jamii ya Tanzania uko katika kiwango kidogo...
1.Kila mtu anajua,
Kiloikumba dunia,
Huruma itakujia,
Habari ukisikia,
Kwa kubwa asilimia,
Wengi wakiangamia,
Tuwaze na kuwazua, Corona kuizuia.
2.Vifo vinavyotokea,
Afrika na eshiaa,
Italia na...
Sera ya vijana ya mwaka 2007 nchini Tanzania inatambua kwamba vijana ni watu wote wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 35, ambapo kulingana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 ni asilimia 34.7 ya...
UKIMWI ulikuwapo, upo na bado utaendelea kuwepo mpaka hapo mkono wa heri utakapofanyika tiba ili kukomesha janga hili. Kiufupi Ukimwi bado unayachukua maisha ya ndugu zetu makundi kwa makundi. Kwa...
Salaam wakuu.
Nchi hii ni yetu sote, matatizo yetu tunaweza kuyatatua kwa rasimali kidogo tulizonazo. Hapa Tanzania suala la Ambulance hata hatuelewi linafanyaje kazi. Mara nyingi ambulance...
Salaamu wakuu.
Taasisi za kiserikali ni muhimu sana kwenye kuchangia upatikanaji wa maendeleo kupitia utoaji huduma ambao utawezesha kufikia malengo ikiwamo kupunguza rushwa, urasmu na...
UTANGULIZI:
Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania 2015-2016, umebaini kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu kabla ya utafiti huo, wanawake wa Tanzania wanazaa wastani wa...
Salamu,
Kwa ujumla ndoa ni jambo kubwa lenye wigo mpana na mambo mengi ndani yake ambayo si siku moja wala mwaka utatosha kuyaelezea yote.
Hakuna ndoa iliyo kamilika kwa 100% wala binadamu aliye...
Na Nkuruma wa Karne ya 21.
KATIKA Namna zote za kutafuta suluhu ya changamoto za watu, maridhiano na amani, mbinu iliyofeli ni Vita/ matumizi ya nguvu na ubabe.
Wengi huamini hili pindi wawapo...
Ni jioni tulivu ,jumapili ya tarehe 14/7/2021 ni siku niliyoamua kwenda kumtembelea mjasiliamali anayejihusisha na ufugaji wa kuku wa kisasa , ilikuwa safari nzuri sana toka maeneo ya iringa mjini...
Ni Vema tungeanza kwa kutambua maana halisi ya neno MAENDELEO.
"Maendeleo ni mabadiliko yanayo onekana kuboresha hali ya binadamu na mazingira kwa ujumla".Kuna ngazi tatu za kimaendeleo...