Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

0 Votes
Katika hali isiyo ya kawaida maisha ya mwanadamu hasa mtanzania yanazidi kuwa magumu sana. Huku anadaiwa kodi ya nyumba na kuiendeleza familia na ndugu zake, huku anatakiwa kushiriki michango...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Upvote 0
2 Votes
Tanzania ni nchi ambayo pato lake bado lipo katika ukuaji japokuwa tupo katika uchumi wa kati ila tunasafari ndefu ya kufika pato la juu. Hili tutaweza kulifikia endapo nchi na wananchi wake...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 2
7 Votes
Habari za muda ndugu zangu Watanzania,ni matumaini yangu tuko salama na tunaendelea kupambana kuijenga nchi yetu. Sote ni mashahidi kwamba katika miaka ya hivi karibuni tangu kuingia kwa...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Upvote 7
7 Votes
AJIRA kwa vijana inaendelea kuwa tatizo kubwa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kila kukicha idadi ya vijana inaendelea kukua na mahitaji ya namna bora ya kupata ajira yanazidi kupungua. Ni...
2 Reactions
0 Replies
957 Views
Upvote 7
6 Votes
UTANGULIZI. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na changamoto kubwa ya watu wengi kupata maumivu ya viungo sehemu mbalimbali za mwili. Zipo sababu nyingi zinazosababisha watu kupata...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Upvote 6
0 Votes
TUENZI YA WAASISI WETU KWA USTAWI WA JAMII ZETU. Na Nkurumah wa Karne ya 21. Ni hudhuni, ni majonzi, ni machozi na taharuki kubwa kwa kijana, mwana wa Afrika Mwenye uzalendo na fikra chanya kwa...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Upvote 0
3 Votes
Kifungo ni moja ya hatua za kumuwajibisha mkosaji ili atambue kosa lake na aweze kujirekebisha kwa kutokufanya tena kosa hilo na hata makosa mengine. Mtu anapofanya kosa na kupewa kifungo au...
3 Reactions
5 Replies
924 Views
Upvote 3
1 Vote
TEGEMEO LA MKULIMA WA JEMBE LA MKONO Ni zama hizi hizi za karne ya 21 ambayo bado mkulima anatumia jembe la mkono katika kipande cha ardhi alichobakisha baada ya unyanganyi wa mabavu wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 1
1 Vote
Hebu fikiria, umepata nafasi ya kuzungumza ana kwa ana na Mh Samia Suluhu (Raisi wa JMT) na una dakika tatu tu za kueleza nini ungetamani afanye ambacho kitakufaidi wewe (Kijana) na vijana...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Upvote 1
1 Vote
Na Ibrahim Rojala Ondoka,nenda kwenu,mwanamke gani wewe,beba mizigo yako na watoto wako,sipendi ujinga! Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
4 Votes
Katika vitu vinawatatiza wa mama wengi mtaani ni kupata shuguli itakayowaingizia kipato cha kutosha. Na kila wanapofikiria wazo la kuanzisha biashara basi wanakwazwa na ughali wa mtaji...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 4
0 Votes
In the remote village of Emuoba, there lived a family considered to be of low class because apparently, they were cursed. They lived being ostracized by the rest of the village. They weren't...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Upvote 0
0 Votes
Hebu fikiria, umepata nafasi ya kuzungumza ana kwa ana na Mh Samia Suluhu (Rais wa JMT) na una dakika tatu tu za kueleza nini ungetamani afanye ambacho kitakufaidi wewe (Kijana) na vijana wengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
1 Vote
UKOSEFU WA AJIRA Ukosefu wa ajira ni miongoni mwa matatizo ambayo yamekua yakijitokeza miongoni mwa vijana katika jamii ya Tanzania na Afrika.Ukosefu wa ajira umekua ukipelekea Ongezeko la ajira...
1 Reactions
1 Replies
674 Views
Upvote 1
2 Votes
Chuma usipokitumia kwa muda kinaota kutu Kwa wale ambao wamesoma chemistry japo kidato cha kwanza watakuwa wanaijua hii sentesi, hivyo ndivyo ilivyo na maisha ndivyo yalivyo.Tatizo sio mshahara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
2 Votes
PAMOJA TUNASHINDA Kumekuwa na mapambano na vita dhidi ya umasikini, nchi imekua ikibadilisha sera na kauli mbiu kila utawala mpya ukiingia, Licha ya jitihada zote hizo takwimu zinaonyesha ya kuwa...
1 Reactions
0 Replies
792 Views
Upvote 2
0 Votes
“UONGOZI BORA KWA MAENDELEO YA TAIFA” Wengi tunajua sifa mbalimbali za viongozi bora waliopo na hata waliopita, basi sasa naend kueleza vitu vichache kwa upana zaidi juu ya viongozi ama uongozi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 0
8 Votes
Vijana ndio nguvu kazi ya jamii na taifa kwa ujumla, kundi hili la vijana ndilo linategemewa katika uzalishaji mali na nguvu kazi katika jamii. Ni kwanini tunasema vijana ndio nguvu kazi namba...
4 Reactions
4 Replies
4K Views
Upvote 8
3 Votes
Katika Maisha yangu huwa kuna wakati nawalamu mno wazazi wangu , Walimu wangu na Serikali pia kwa Mfumo wa hovyo sana, Katika Maisha yangu nilikuwa na Kipaji kikubwa sana cha kucheza Mpira...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 3
17 Votes
Kila mtu ana lake la kusimulia maishani mwake. Laweza kuwa jema au baya; la kufurahisha au la kusikitisha na kuhuzunisha. Langu ni la kufurahisha na kufundisha. Lahusu maisha yangu binafsi...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Upvote 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…