"Ni hatari mno kuukabidhi uongozi wa kitu nyeti kama nchi mikononi mwa mtu mwenye uchu, ujivuni na ubinafsi unaoweza kumfanya aamini yeye anapaswa kuwa juu ya kila kitu bila kujali misingi na...
Kwa kuwa Serikali ina mpango wa kutoa bima ya afya kwa kila Mtanzania nimepata wazo la namna bima hyo inavyoweza kufanyika kwa kutumia TOZO ZA MUDA WA MAONGEZI,kwa kuwa idadi kubwa ya watanzania...
Je, wangapi unawajua wametimiza ndoto zao '?, Na wewe kama wewe ulishiliki vipi kuzitimiza '? ,Na pia ni wangapi unawafaham hawajatimiza ndoto zao na wameshakata tamaa katika kutimia kwa ndoto...
Dunia iko kwenye kasi ya kutisha ya mapunduzi ya sayansi ambapo kwa miaka ya hivi karibuni kasi ya mapinduzi ya Sayansi imekuwa kubwa sana ukilinganisha na kipindi cha nyuma.
Mapinduzi haya...
Habari wadau wa mtandao wa JF na karibu kupata chakula cha ubongo na mada ni kuhusu tabia za kujiwekea akiba.
Changamoto ya watu wengi kushindwa kujiwekea akiba, imekuwa ikiwakumba watu wengi...
KWANINI FURSA YA UFADHILI WAKIMASOMO NJE YA NCHI NI KWA NGAZI ZA JUU TU ZA ELIMU?
UTANGULIZI.
Katika nchi yetu ya Tanzania na afrika kuna wimbi kubwa la wasomi ambao wanawaza kwenda nje ya nchi...
MAZOEA YANAVYOONGEZA MIGOGORO YA ARDHI TANZANIA
Ni siku nyengine tena napata wasaa wa kutembelea ndani ya viunga vya mahakama ya Ardhi ndani ya mkoa wa Morogoro kikubwa kinachonileta hapa ni kuja...
UTANGULIZI
Vijana wengi zaidi ya laki moja toka mwaka 2015 wamemaliza vyuo vikuu na vyuo vya Kati ngazi ya shahada, stashahada na astashahada katika fani tofauti tofauti ikiwemo ualimu, ( wa...
BADO TUNAFANYA MAONESHO KATIKA KUWAJENGEA VIJANA UJUZI WA TEHAMA
Miaka michache nyuma kabla ya kuingia kwenye karne ya 21 kauli mbiu ya Karne ya 21 kuwa ni karne ya sayansi na teknolojia...
Kila mwaka, vyuo vyote Tanzania vinatema kontena la Vijana wenye Diploma,Digirii na Masters zao nzuri tu. Vijana zaidi ya 200,000 wanabaki mtaani hawana kitu cha kufanya, Ajira hakuna. Mtaani huku...
Mitandao ya kijamii imeleta faida kubwa sana katika maisha yetu ya sasa. Miongoni mwa faida zake lukuki ni kuwakutanisha watu kutoka sehemu mbalimbali za dunia na kuwa ndugu wa ukoo mmoja. Mimi ni...
Saalamu wanaJF,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika
Zahanati hapa Tanzania nyingi zimekuwa zikijengwa sehemu ambazo ni karibu tunapoishi . Hii ni nzuri kwa sababu ya ‘easy access’...
KOMPYUTA NI NINI?
Kompyuta ni kifaa cha kielectroniki kinacho pokea Data ,kuzi hifadhi ,kuzichakata na kutupa majibu au taarifa,
MFUMO WA KOMPYUTA NINI?
Mfumo wa kompyuta ni muunganiko wa vifaa...
Moja ya sababu inayofanya wabunge kushangaa sheria au bajeti walizopitisha wao wenyewe ni kwasababu ubunge haujakaa kama taasisi.
Ibara 67 ya katiba ya Tanzania inaeleza sifa za mbunge ni kujua...
Soka ( ama mpila wa miguu ) ni moja kati ya michezo inayopendwa na kufuatiliwa sana ulimwenguni kote, Mchezo huu una wafuasi wengi zaidi ya michezo mingine duniani, Vijana mbali mbali duniani...
Inadequate and unequally distributed health services are a key impediment to Tanzania's development and have a detrimental influence on the population's health. These shortfalls have the greatest...
SABABU ZA TATIZO LA AJIRA KWA WASOMI, MADHARA NA UFUMBUZI WAKE TANZANIA.
Utangulizi
Tatizo la ajira kwa wasomi ni janga la dunia mzima lakini limeathiri zaidi katika nchi zilizo kusini mwa...
Habari zenu wanafamilia na waheshimiwa wa mtandao wa Jamii forums? Ni matumaini yangu kwamba mu wazima wa afya njema kabisa na mnaendelea vyema katika ujenzi wa taifa letu.
Napenda kuchukua wasaa...
Kilichonifanya niandike ujumbe huu ni baada ya kukutana na kisa kimoja kilichonitoa machozi. Ilikuwa kama mida ya saa saba mchana rafiki yangu (jina nalihifadhi) alinifata nyumbani kwangu...
THE SUICIDE NOTE THAT NO ONE READ
“I am trying to be strong and fight these demons but no matter how hard I try, their voices are stronger and my pace is nothing compared to theirs. Why do I feel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.