Katika hali ya kawaida, kila mtu mwenye kipato lazima kwa njia moja au nyingine ajikute analipa kodi. Kodi inaweza kulipwa kupitia manunuzi/matumizi, mshahara, biashara, au uwekezaji.Kwa...
Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Namueleza mchumi kama mtaalamu ambaye kesho atajua kwanini vitu alivyotabiri jana havijatokea leo. Mjasiriamali...
Kutokana na makusanyo mapya ya kodi ya uzalendo kupitia miamala ya simu,serikali iandae system ya wazi kutrack hizi tozo na kuonyesha kila mchangiaji.
Itapendeza sana kama watanzania tutaona...
1.1 Utangulizi
Katika muingiliano unaotabirika na usiotabirika wa mambo mchanganyiko ambayo yanaathiri dunia katika upande chanya na hasi hasa katika nchi zinazoendelea kama Tanzania, kufanikiwa...
Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention)
Afya ya msingi inayoanzia katika jamii ni muhimu sana na...
Niende moja kwa Moja kuelezea utawala Bora Ni Ni kitu gani.
Utawala Bora Ni ile Hali ya serikali,shirika au taasisi kuongoza Kwa kufuata misingi ya Haki,uwazi na uwajibikaji .
Katika nchi nyingi...
Mbezi, Dar Es Salaam ---- Are you seduced by products that claim to enlarge the male genital? Discover the truth about male enhancement pills, pumps, exercises, and surgeries.
The...
Habari za uzima ndugu zangu wana JF.
Hii ni story ya ukweli kabisa, na ilinifunza kitu flani kwenye maisha.
Sasa sio mbaya kama tutajifunza wote kupitia story hii.
Katika jaribio la utafiti...
SEKTA: MAENDELEO NA TEKNOLOJIA
Historia Fupi yakweli:
Mnamo Sept 6 2017 saa 6 kasoro mchana, Mimi mwandishi nilipata janga la moto. Ilikuwa ni safari ya Dar Es Salam kwenda Arusha kwa basi la...
Seriously, why???
Someone might say but I don't even bother thinking about that, I am still celebrating the win of Italy against England, I cashed in big on Xbet. Whoop whoop! Well good for you...
Na Chu Joe
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu ni methali tuliyoachiwa na wahenga ikimaanisha asiyefuata ushauri wa wakuu wake, mabaya humpata, hii inasadifu hali ya watanzania wengi kwasababu...
Ili tuweze kutengemaa katika nyanja mbalimbali za kijamii,uchumi,siasa elimu,kilimo, biashara,utawala bora inabidi tuangalie kile ambacho ndio msingi wa kutengemaa. kwa maana hiyo ni lazima...
Taifa kuwa na elimu bora ni pamoja na kuwa na walimu mahiri wenye misingi ya ualimu na maadili ya kazi hiyo. Mbali na kazi ya kufundisha lakini pia mwalimu ni mlezi. Hivyo tunatarajia watoto wetu...
Utangulizi
Kwa mtazamo chanya wa swali hilo tunaweza kujibu ni kweli, lakini tukiangazia mtazamo hasi tunaweza kutumia tatizo hilo kama fursa ya maendeleo ya kiuchumi. Je tunawezaje na kwa njia...
Awali ya yote nimshukuru Mungu aliyetupatia uzima na afya mpaka tulipofika sasa. Pia, niwapongeze wanajamii kwa kuendelea kufuatilia machapisho mbalimbali katika ukurasa wetu huu pendwa...
Nitaanza na maana ya kilimo mtandao.
KILIMO MTANDAO, hii ni huduma ya kilimo ambayo inatoa taarifa na kupokea taarifa kuhusu hali ya klimo, masoko ya mazao, hali ya hewa na mabadiliko ya...
Haki za binadamu ni swala ambalo haliwezi kukwepwa na binadamu yeyote yule Duniani. Ni haki ambazo kimsingi zina manufaa makubwa katika ustawi wa jamii nzima. Katika nchi yetu ya Tanzania haki...
Uboreshaji Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention)
Afya ya msingi inayoanzia katika jamii ni...
*Hii ni mbali na DNA....
Miaka ya karibuni, kumekuwepo na madai kwamba, asilimia kubwa ya wanaume (na wanawake kwa uchache) wanalea watoto wasiyokuwa damu yao (biological father).
Iliwahi...
Madhara ya Wamachinga/Wachuuzi Mijini na nini kifanyike.
Kwa Miaka ya hivi Karibuni hasa kipindi cha awamu ya 5 kumetokea wimbi kubwa sana la Vijana/Wamachinga/Wanyonge ambao wameamua kujiajiri...