Tanzania ni miongoni mwa mataifa makubwa kijiografia katika uso wa dunia hii likiwa linashika nafasi ya 13 kwa ukubwa barani Afrika. Kulingana na kitabu cha rekodi za dunia (World Factbook)...
Serikali kupitia mapato ya halmashauri kumekuwepo na asilimia 10 ya mapato ya ndani kwaajili ya mikopo kwa vijana na watu wenye ulemavu.
Wimbi kubwa la vijana kulalamika ukosefu wa ajira na...
Haya ndiyo mengi yanayotawala katika vichwa vya watu wengi, kutokana na kila mtu anawaza kwa namna yake.
Tatizo la ajira limeifanya jamii itafute njia thabiti itakayoweza kuwakomboa watu katika...
Yatima kwa tafsiri ni mtoto aliyefiwa na wazazi wote wawili yaani baba na mama muda huo huo umri wake ukawa chini ya miaka 18.
Habari ndugu zangu, uzi wangu utaelezea hadha wapitiazo watoto...
PATA FAIDA KUBWA KUPITIA KILIMO CHA ALIZETI. KWA MTAJI WA LAKI MOJA NA AROBAINI (140,000) KWA HEKALI MOJA NA KUPATA ZAIDI YA MILLION MOJA NA LAKI NNE (1400,000/=) KWA SIKU TISINI (90).
Ndugu...
Kwenye taaluma ya ikolojia tumefundishwa kuwa, kukubali uwepo wa tatizo ni sehemu muhimu ya suluhisho ila kukana uwepo wa tatizo na kutafuta njia mbadala wa kutatua tatizo kanwa ni pata potea.
Ni...
Tatizo la ukosefu wa ajira ni janga ambalo lipo duniani kote, lakini ukubwa wa tatizo hili hutofautiana baina ya nchi moja na nyingine, mathalani nchi ambazo zimeendelea tatizo la ukosefu wa ajira...
Tabia ya Kupiga Wanawake Kwenye Mahusiano Ilaaniwe Kwa Nguvu Zote
Kupigana na mwanamke au kupiga wanawake kwenye mahusiano ni tabia inayokera, inayoashiria hatari na kuleta maumivu mengi ya...
Nakusalimu kwa sauti kubwa ukapate kunisikia sikioni mwako,sina ukamilifu wa kutosha ila moyo unaniuma sana kuhusiana na ghazabu wanazozipata watoto wa nje ya ndoa
Mtoto wa nje ndoa ni yupi...
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo kwa sasa imekumbwa na Wingi wa vijana ambao hawana Ajira hii inatokea kwa sababu ajira zilizopo ni chache na wasomi wanao tegemea ajira wao wakiwa wengi. Hivyo...
Ulimwengu umebadilika, hatuwezi kukataa kuwa teknolojia imebadilisha maisha yetu. Siku hizi vitu ambavyo wazazi wetu hawakuwahi kuota kuwa vingekuwa vyanzo vya fedha, vimekuwa vyanzo vya kipato...
Fedha za pensheni ni malipo anayopewa mwajiriwa (mfanyakazi) baada ya kustaafu kazi/ajira yake. Huwa ni fedha nyingi ukilinganisha na fedha ambazo huyo mfanyakazi/mwajiriwa aliwahi kumiliki hapo...
JE, UNASITA KUFANYA KITU TOKANA NA WASIWASI NDANI YAKO?
Hofu/mashaka/ wasiwasi unatufanya tusiendelee mbele na unatudumaza tunabaki vilevile tungali masikini na unaleta umaskini ndani yetu na...
Tanzania ni nchi ambayo elimu yake bado ipo level fulani ya chini ambapo inahitajika jitihada za nguvu ili kuweza kupandisha hiyo level ya elimu iwe juu haswa katika shule za Serikali za msingi...
UMASIKINI CHANZO CHA MASWAIBU.
Tarehe 21/07/2021 usiku wa sikukuu ya Eid-el-Hajj, ambapo baada ya shamra shamra za mchana katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Mnamo saa tano usiku...
1.0 INTRODUCTION
Health is a state of complete physical, mental and social well-being and not merely the absence of disease or infirmity. Health is a resource to support an individual’s function...
Ni kweli kwamba Dunia kwa Sasa ipo katika mapinduzi ya nne ya viwanda na sekta inayoongoza mapinduzi haya ni sekta ya teknologia na habari. Matajiri wakubwa wa Dunia kwa kiasi kikubwa ni Vijana na...
Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika...
Ndugu wana jamii forum. Leo niwape pongezi wale wote walioibuka washindi katika lile shindano la uandishi hapa jamii forum, na pongezi zingine pia kwa wale wote waliondika maandiko mbali.mbali...
“Vijana wenzangu tukalime, kilimo kinalipa sana” haya yalikua maneno ya rafiki yangu mmoja ambae aliacha kazi yake ya kupiga picha (Camera Man) na kuhamia shambani kulima.
Bwana Jenkeni ni rafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.