Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

33 Votes
Thomas Edison ni mgunduzi na muasisi wa kanuni za msingi za umeme aliyeishi kati ya mwaka 1847-1931. Wakati Thomas akiwa shule ya msingi walimu wake walisema ni mjinga na hana uwezo wa kujifunza...
10 Reactions
1 Replies
3K Views
Upvote 33
2 Votes
Na Elivius Athanas. 0745937016. Nchi nyingi za Kiafrika zimeendelea kuwa tegemezi Barani Ulaya, Amerika, Asia na Mataifa mengine toka Mabara ya nje. Serikali nyingi za Afrika, zimeendelea...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 2
6 Votes
Kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na mabadiliko ya jamii kiujumla nilazima kuwepo na namna ya kubadili mfumo mzima wa elimu hasa katika kupunguza idadi ya miaka ambayo wanafunzi hutumia...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Upvote 6
2 Votes
Wasichana na wanawake, wamekuwa wakikosa fursa kulingana na kuogopa kwa sababu ya mifumo na mazingira ambayo wamekuzwa nayo na imani kwamba masomo au kazi zihusiabazo na Sayansi ni kwa ajili ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 2
23 Votes
Utimamu wa kiongozi bora ni kuwa na kichwa chenye ubongo wa hekima, unaowaza, unoainisha, unaochambua, na kuweza kufanya tathimini. Vile vile ukamilifu wa kiongozi ni awe na kinywa chenye ulimi wa...
13 Reactions
32 Replies
4K Views
Upvote 23
1 Vote
Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu bila ridhaa yake na kumletea madhara mbali mbali kimwili, kiakili au kisaikolojia. Na huweza kutokea kwa wanawake, wanaume, wavulana na wasichana...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 1
6 Votes
Utangulizi: Ndoa ni muunganiko wa hiari unaotokana na maridhiano baina ya mwanaume na mwanamke. Maridhiano haya hutoka moyoni kwa kila mmoja baada ya kuwa ameshawishika na kuridhika na mwenzake...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Upvote 6
9 Votes
Mimi ni mwanakijiji kutoka kijiji kile kilicho staarabika, naam ndio ustaarabu huu ambao vijiji vingi kama si vyote juu ya ardhi hii ya ulimwengu huutumia, nakiri kwamba kijiji nitokacho husifiwa...
9 Reactions
3 Replies
2K Views
Upvote 9
8 Votes
Kama umepata nafasi ya kuzaliwa , kusoma au kuishi katika mkoa wa Dar es Salaam, utakubaliana na Mimi ya kwamba wanafunzi hupata wakati mgumu Sana wakiwa wanaenda mashuleni siku za wiki hasa hasa...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Upvote 8
33 Votes
Hello ,Mimi ni daktari mafunzoni ,karibu katika uzi wangu. Punde tu baada ya wapenzi wawili kukutana kimwili wengi wazo la kwanza kuja kichwani ikiwa hawajapanga kuwa na mtoto huwa ni P2(morning...
20 Reactions
48 Replies
19K Views
Upvote 33
2 Votes
Sakata la chanjo ya UVIKO-19 linazidi kupata sura mpya kila kukicha huku uamuzi wa kuchanjwa ama kutochanjwa ukizidi kuwa na sintofahamu nyingi. Nia ya Makala hii leo sio kushawishi watu kuchanjwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 2
29 Votes
Elimu ya kutunza pesa wengi wetu imetushinda. Hakuna umasikini mbaya kama kujutia maisha yaliyopita, kama ungetumia pesa vizuri ungefika mbali. Hii elimu ni muhimu kuwafundisha watoto. Wakipata...
25 Reactions
17 Replies
4K Views
Upvote 29
13 Votes
UTANGULIZI Pamekuwa na mijadala na minong’ono mingi juu ya kuporomoka kwa uelewa wa lugha ya kiingereza. Tafiti mbalimbali zimefanywa na watu pamoja na taasisi mbalimbali zikionyesha kushuka kwa...
14 Reactions
13 Replies
3K Views
Upvote 13
3 Votes
Maana ya baadhi ya maneno Application Mfumo ambao hutumika kwa shughuli husika Android application Mfumo unaofanyakazi kwenye simu zinazotumia OS ya android Apple application Mfumo...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 3
2 Votes
JE, NINA WEZA KUTUMIA JUISI BADALA YA MATUNDA? Inashauriwa kula tunda halisi badala ya kunywa juisi ya matunda halisi,kwani matunda yana nyuzinyuzi kwa wingi na hivyo husaidia kuongeza makapi mlo...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 2
7 Votes
Hakuna njia panya ya kwenda mahali pa thamani. Ndugu zangu sikuzote mafanikio yanakuja kwa kujituma kwa bidii sana unatakiwa ujitoe ili ufanikiwe Mafanikio ni kutembeakutoka kutofaulu hadi...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Upvote 7
8 Votes
Habari zenu wanajamii forum? Leo nataka nigusie swala la ndoa hususani matayarisho yanayofanywa kabla ya kuingia huko. Ndoa ni muungano wa mume na mke katika mwili na roho. Wawili hawa wanapokaa...
7 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 8
7 Votes
Habari ewe mwanadamu. Ninamshukuru Mungu kwaajili yako, pole pia kama upo katika magumu yoyote kwa fikra na macho ya kibinaadamu. Moja kwa moja niende kwenye kusudi la kuanzisha nyuzi hii ambayo...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Upvote 7
8 Votes
Nawasalimu wote mliopo kwenye Mtandao huu wenye Uhuru wa kujieleza. Nimechukua fursa hii kuja na Mada ya kuomba sayansi ya kilimo kurudishwa Mashuleni kuanzia elimu ya msingi Hadi Sekondari...
8 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 8
4 Votes
SIRI YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YA BINADAMU NA: NESTER REUBEN 'Unazo nguvu za kujidhuru au kutojidhuru mwenyewe kama utachagua kutokuwa na furaha hakuna mtu anayeweza kukufanya ufurahi'' Angalia...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
Upvote 4
Back
Top Bottom