Wanafunzi wengi wanapokwenda chuo, huwa na mitazamo chanya kabisa juu ya maisha yao ya chuo yatakavyokuwa ikiwa ni pamoja na ndoto hadithi za ndugu na jamaaa marafiki waliowahi kuwa wanachuo kabla...
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani.
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezimungu muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.
Naam nimeamua kuandika hili andiko ili tuweze...
Na Didas Patrick
Rais wa kwanza wa Afrika Kusini Nelson Mandela aliwahi kusema, nanukuu, "Elimu ndio silaha pekee na yenye nguvu unayoweza kuitumia kuibadilisha dunia".
Katika historia ya dunia...
Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo...
Niwasalimu vijana walioko vyuoni, kwa kuwaandikia vitu muhimu ambavyo ni matuamaini yangu kila mmoja wenu atahitaji kuvifanya kabla hajamaliza masomo.
.
Ni muhimu mimi kuyazungumza haya kwa sababu...
I have been risen from the family where I had neither brother nor sister to ask about the university, from where I need Tsh. 2000/= to travel toward where there were stationeries and internet...
Siyo hiki tunachokalia wengi, ni kile kizito wanachokalia wale wachache tunaowapa ruhusa ya kukaa juu yake. Kiti kinakuja na furushi zito, kinakutaka uwe tayari kuvuja damu na jasho, usimame imara...
Uongozi wa mtandao maarufu wa Jamii Forums (JF) umebuni shindano la Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change) kwa wanachama wake. Awamu ya kwanza ya shindano hili itaanza Julai...
Nyanja: Maendeleo ya Jamii.
Utangulizi.
Katika dunia ya leo ya ushindani mkubwa katika kila jambo, dhana ya ubunifu imedhihiri kuchukuwa nafasi kubwa sana katika kutafuta faida na manufaa ya...
Tai ni ndege pekee mwenye uwezo wa kuishi miaka 70. Lakini kabla ya kufikia umri huo lazima afanye maamuzi magumu yanayomuumiza na kumchukua muda mrefu.
Akifikia umri wa miaka 40 makucha yake...
Katika taifa letu la Tanzania, watanzania tumejijengea utaratibu wa kushirikiana katika maswala mbalimbali ndani ya jamii zetu kama kuchangiana harusi, kutoa rambi rambi kwenye misiba na kujenga...
Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia inayoratibu mtandao wa JamiiForums na kuhamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora.
Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Umeme ni nishati muhimu sana katika karne hii ya leo. Shughuli nyingi za majumbani, viwandani, ofisini na sehemu zingine, zinategemea sana nishati hii ili kufanya...
Ilikuwa jioni moja tulivu mwalimu Nyerere alipokutana na mwalimu kashasha (mchambuzi mahiri wa mpira wa miguu). hii ni mara ya tatu wanakutana tangu kuwasili kwa mwalimu kashasha kwenye jumba la...
Jamani kwakweli minniwambie tu ukweli ni kua ikitokea nimeshinda hizo hela kutoka story of change zitanisaidia sana kujiajiri maana hapa nilipo sielewi kesho yangu ikoje ukiona nnafaa kushinda...
NHIF IBADILI SHERIA JUU YA WATEGEMEZI
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ni mpango wa Bima ya afya wa kisheria ulioanzishwa kwa Sheria ya Bunge Na.8 ya mwaka 1999 ili kuwezesha upataji wa huduma za...
IMPORTANCE OF CANCER EDUCATION IN TANZANIA.
Introduction
Cancer is a generic term for a large group of diseases that can affect any part of the body. Other terms used are malignant tumours and...
Utangulizi.
Nadhani sisi sote ni wafuasi wa imani fulani maishani.Either iwe ya kidini ama ya kifikra zaidi(scientific). Na hizi Beliefs system ndizo sana sana zinatuongoza maishani mwetu juu ya...
Umuhimu wa Ardhi kwako kijana:
Salaam ndugu wana jukwaa la “Stries of change”. Ujumbe wangu wa leo kwenu wana jukwaa utabeba “story” ihusuyo ARDHI. Jukwaani hapa nitajikita Umuhimu wa ardhi...
It is without doubt a fact, that renewable natural resource is a thread that holds together the social economic fabric of the African continent. With almost 55% of the global renewable natural...