Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Tafiti zinaonesha kuwa wajawazito wako katika hatari zaidi ya kuambukizwa vizusi vya #Corona.
Aidha wajawazito walio na Korona wapo katika hatari ya kuathiriwa zaidi na kupelekea madhara mengine...
Kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuwa janga la kidunia na kupelekea taharuki, hii mada itajumuisha viunganishi 'LINKS' zenye mada muhimu mbalimbali kuhusu ugonjwa huo
TANZANIA
1 -...
Tukianza na EPIDEMIC hii ni hali ya ugonjwa ambao huathiri idadi kubwa ya watu ndani ya jamii flani, nchi au eneo. Mfano: Kipindupindu, Chikungunya na Ebola
PANDEMIC ni pale ugonjwa unapotoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.