Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

0 Votes
Uwajibikaji ni ile hali ya kukubali majukumu kwa ukweli, uwazi na kuzingatia maadili kwa ajili ya wengine. Uwajibikaji ni dhana pana, ikianza na mtu mmoja mmoja hadi kufikia jamii nzima. Ni kitu...
0 Reactions
0 Replies
371 Views
Upvote 0
1 Vote
TANZANIA TAJIRI, ILIYOKUMBATIA WAKWASI WACHACHE MAFUKARA WENGI. Utangulizi: Makala hii itazungumzia mchango wa viongozi wetu juu ya kulinda rasilimali na utajiri uliomo ndani ya nchi yetu ya...
0 Reactions
2 Replies
419 Views
Upvote 1
0 Votes
Utalii, Teknolojia, Uadilifu, na Uwazi: Mabadiliko ya Kweli kwa Tanzania Tanzania, kama taifa lenye utajiri wa kipekee wa rasilimali za asili na utamaduni wake mzuri, ina fursa ya kipekee...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Upvote 0
0 Votes
Utawala bora ni lengo linalotamaniwa na kila jamii inayotamani maendeleo na ustawi. Ni msingi wa uongozi unaojali haki, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika mchakato wa maamuzi...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Upvote 0
0 Votes
Neno "usimamizi wa taka ngumu" linamaanisha ukusanyaji, matibabu na utaratibu wa utupaji wa taka ngumu. Taka ngumu ni nyenzo isiyo ya kioevu, isiyo na mumunyifu kuanzia taka ya manispaa hadi taka...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Upvote 0
1 Vote
1.KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO KUPITIA STENDI ZA MABASI Utaratibu wa stendi za mabasi uboreshwe katika maeneo yafuatayo:- A) Wenye mabasi mengi wapewe vipaumbele kwanza kwenye ugawaji wa vizimba...
1 Reactions
0 Replies
472 Views
Upvote 1
0 Votes
TEKNOLOJIA TATU MUHIMU ZINAZOWEZA KUTUSAIDIA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO NA KUTULETEA MAENDELEO. TEKNOLOJIA NI NINI? Neno Teknolojia au kwa kiingereza technology ni neno ambalo limetokana na lugha...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Upvote 0
18 Votes
Utangulizi Ilikuwa ni majira ya saa 12 za asubuhi, baada ya kutoka zangu msalani, niliamua kusikiliza taarifa ya habari kutoka shirika la Utangaazaji la Ujerumani (DW Swahili) kama ilivyokuwa...
16 Reactions
26 Replies
1K Views
Upvote 18
1 Vote
Naanza kwa kuwashukuru waandaaji wa jukwaa hili la stories of change, kutoka jamii forum, kwa kuendelea kuwaleta wananchi karibu na serikali ili kujibu hoja zinazoibuka huku nami nikihoji nani...
1 Reactions
0 Replies
315 Views
Upvote 1
0 Votes
Ni matumaini yangu uheri mzima wa afya msomaji na mfuatiliaji wa jukwaa hili la "stories of change" Naam katika ustawi wa taifa lolote lile ni lazima afya za watu wake ziwe bora, ikiwa afya zao...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Upvote 0
0 Votes
Utangulizi: Ndani ya makala hii viongozi na watanzania wote wataweza kutambua sababu za kwa nini Tanzania inaweza kutokomeza tatizo la kukata kwa umeme ovyo ovyo. Tanzania ni nchi ambayo ni...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Upvote 0
0 Votes
Imekua kawaida sana, kwa vijana wengi pengine hata wazee ambao kwa namna fulani bado hawajafanikiwa kimaisha, kutumia hali ya kisiasa na kiuchumi kama kikwazo cha wao kutofikia malengo yao...
1 Reactions
0 Replies
331 Views
Upvote 0
0 Votes
Unakumbuka, siku moja baada ya ajali ya moto katika soko la kariakoo, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliunda kamati ya siku saba kubaini chanzo chake? Tukio hilo lililotokea Julai 11, mwaka 2021 na...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Upvote 0
0 Votes
MAJUKWAA YA VIJANA Kumekuwa na wimbi kubwa la mikutano, makongamano na mabaraza ambayo huandaliwa kwa ajili ya kutatua changamoto za vijana hususani katika sekta ya ajira na kujiajiri. Mabaraza...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Upvote 0
0 Votes
UTANGULIZI. Suala la Uwajibikaji na utawala bora limekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania.viongozi wa serikali,watumishi wa umma, wafanyakazi na hata wananchi wote wanalalamikiwa.swali la...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Upvote 0
2 Votes
DHAMIRA ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kutaka kumaliza matumizi ya kupikia Kuni na mkaa, inaonyesha wazi haitafanikiwa kwa muda waliojipa wa hadi kufikia mwaka 2032 iwapo hawatabadilisha mbinu...
2 Reactions
0 Replies
263 Views
Upvote 2
0 Votes
Njia rahisi ya kufanikiwa kwa watu wasio na uwezo wa kujiongoza wenyewe ni kuongozwa mfanowake naufananisha na Mbuzi au ng'ombe ukimpa uhuru atakula majani hata yale ya akiba ya chakula cha kesho...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Upvote 0
0 Votes
ELIMU BILA MATENDO IMEKUFA Imani bila matendo imekufa! Haya unaweza kuyaona kupitia(Kwa nini imani bila matendo imekufa?). Haya ni maneno yanayopatikana katika biblia. Ni maneno yanayo tutaka...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Upvote 0
1 Vote
Kulingana na kuwepo kwa changamoto nyingi sana zinazoikumba jamii ya kitanzania kuhusu gharama za bando na kuwepo kwa kutoeleweka namna ipi itumike ili kuwezesha upatikanaji wa gharama nafuu za...
1 Reactions
0 Replies
557 Views
Upvote 1
1 Vote
Nimezaliwa mwaka 2013 katika wilaya ya Muleba na kulelewa na bibi yangu kipenzi, Bi.Khadija. Bi.Khadija alipenda sana kusoma na muda mwingi aliutumia kusoma vitabu vilivyoelezea utawala bora na...
0 Reactions
2 Replies
496 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom