UTANGULIZI
Katika makala hii utaweza kujifunza juu ya shujaa huyu mwenye nguvu asiyeweza kutumia silaha zake, tena ni kipofu.
Shujaa ni neno lililotumika kuwakilisha bara ambalo lina vyanzo vingi...
UTANGULIZI
Ukarimu ni mfano mmojawapo wa kete wanayotumia wanasiasa na viongozi wa serikali kusisitiza Watanzania kuuenzi utamaduni wa Mtanzania. Kimsingi ni malengo yetu sote tuufikie ustaarabu...
UTANGULIZI:
"Kutakuwa na amani ulimwenguni tu wakati kuna amani kwenye familia." - Mahatma Gandhi
Mahatma Gandhi, kiongozi wa uhuru wa India na mwanaharakati wa amani, anatoa wito kwa amani katika...
Katika katiba ya shirika la afya duniani, afya imefafanuliwa kama hali ya ustawi kamili wa kimwili, kiakili na kijamii na si tu kutokuwepo kwa ugonjwa. Yamkini, Afya pia haitazamiwi kama hali ya...
Rushwa inaweza kufafanuliwa kama matumizi mabaya ya mamlaka ya umma nakutumia kwa faida binafsi. Wakati utawala bora unahusu utumiaji wa mamlaka kupitia michakato ya kisiasa na kitaasisi ambayo ni...
Nawatakia kheri-wote-wanaoipenda Tanzania na demokrasia duniani kote.Tangu kupatikana kwa uhuru, muungano hadi leo hii, tumepitia mapito mengi wote walioandikwa na ambao hawajaandikwa mbarikiwe...
Tanzania Tanzania, nakupenda Tanzania. Nchi yangu nzuri, nakupenda Tanzania. Kimbilio la wanyonge, nakupenda Tanzania. Uliyezengukwa na misitu tele, nakupenda Tanzania. Mito shazi na bahari...
Mpira wa miguu umechuka nafasi kubwa katika kupanua wigo wa vijana wengi kupata ajira ukihusisha vijana wa kike na vijana wa kiume napa nchini ambapo wengine wamepata nafasi ya kucheza soka nje ya...
Mshumaa uendao kuzima na kupelekea giza nene kwenye nchi yetu ya Tanzania,ni nani wa kuwasha mshumaa huu? Na je ni nani wa kuleta nuru mpya kwenye nchi? Na nini kifanyike kufanya mshumaa huu...
Duniani yapo magonjwa mengi sana ambayo yalitokea na kupotea na mengine bado yanaendelea. Na magonjwa mengine yanatisha watu wa rika zote na watu wa vyeo mbalimbali. Lakini Mimi napenda...
Elimu ni maarifa na ujuzi anaokuwa mtu kuhusu jambo fulani, hivyo kusaidia katika kufanya kazi Fulani kwa ufanisi na matokeo ya kazi hiyo kuwezesha mtu kuinua hali yake ya kimaisha.
Elimu ni...
Kabla ya uhuru Nchi nyingi za Afrika na Asia zilikua zinalingana katika maendeleo. Tofauti tunazoziona hivi Sasa ni matokeo ya viongozi waliokuwepo madarakani.
Viongozi ambao walikua na maono...
Huku mitaani idadi ya vijana wasio na ajira ni kubwa na inazidi kuongezeka Kila uchao. Tatizo ni kubwa na linazidi kuongezeka kwa Kasi,ajira ndio msingi wa kipato na kipato ndio msingi wa maisha...
Kwanza kabisa naomba nieleze Kwa ufupi ni kivipi nchi nyingi za Ulaya zimeweza kuwa vinara katika maendeleo ya uchumi, majeshi, miundombinu ya usafiri, usalama n.k tofauti na nchi za Africa...
Katika Nchi yenye maendeleo, walianza na maendeleo ya watu. Uboreshaji wa ustawi wa watu huleta maendeleo endelevu.
Hivyo ili uwe kiongozi bora lazima uboreshe maisha ya unao waongoza. Utawala...
Utangulizi:
Katika sekta yoyote, uwajibikaji na uongozi bora ni mambo muhimu katika kuhakikisha ufanisi na mafanikio ya shirika. Kuchochea mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ni jambo la...
Ushirikiano wa Tanzania na DP World, kampuni inayoongoza duniani kwa bandari yenye makao yake makuu Dubai, inatoa fursa nyingi kwa nchi kuimarisha maendeleo yake ya kiuchumi na miundombinu. Kwa...
Utangulizi:
Katika sekta yoyote, mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana katika kuendeleza ufanisi na mafanikio. Katika andiko hili, tutajadili mbinu zinazoweza kuchochea...
Kichwa Cha
Andiko:
Utasaidia kuongeza uwajibikaji na kuboresha utawala bora katika sekta yoyote kwa kuzingatia hatua zifuatazo:
1. Kuunda mfumo wa uwajibikaji: Fanya uhakiki wa muundo wako wa...
Utangulizi:
Katika kuimarisha uwajibikaji na utawala bora katika sekta yoyote, mabadiliko madhubuti yanahitajika. Makala hii inaelezea jinsi mambo manne yanayohusiana yanavyoweza kuchochea...