Uharibifu Wa Taifa Huanzia Nyumbani Kwa Watu Wake
Mwandishi: MwlRCT
UTANGULIZI
Je, unajua jinsi msemo wa wahenga “uharibifu wa taifa huanzia nyumbani kwa watu wake” unavyoakisi hali ya sasa ya...
Haujambo mwafrika, haujambo mtanzania?
Katika jukwaa la stori za mabadiliko, ninayo furaha kubwa kuwasalimu kwa jina la mtanzania na muwe na amani hata milele Amina.
Niko na wazo langu, ambalo...
Kwenye nchi Kuna baadhi sekta inatakiwa zibadilike kimuundo na uendeshaji, na viongozi wetu hususani watunga sheria hawako tayari kuunda mifumo inayochochea uwajibikaji (viongozi wengine siyo...
Mahojiano ya ajira (Interviews) ni mchakato wa kawaida katika upatikanaji wa ajira ambapo waajiri hutathmini uwezo na sifa za waombaji kupitia mifumo mbalimbali ikiwemo upimaji wa maarifa kupitia...
Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanahitaji mambo muhimu kama ifuatavyo: Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi bora. Utawala bora na uwajibikaji vipo ndani ya siasa safi na uongozi bora...
Tanzania ni nchi ambayo imebarikiwa vyanzo vingi vya maji na ardhi kubwa na yenye rutuba Kutokana na ufinyu wa ajira juu ya vijana wetu waliomaliza vyuo na kubaki majumbani wakisubiri ajira...
Tanzania, nchi nzuri iliyoko Afrika Mashariki, inasifika kwa wanyamapori wa aina mbalimbali na maajabu ya asili. Hata hivyo, licha ya utajiri wake wa asili, Tanzania inakabiliwa na changamoto...
Utangulizi:
Mbinu za usafi wa mazingira zisizo na vumbi zina jukumu muhimu katika kuhakikisha afya ya umma na kuunda mazingira safi. Katika miji kama Dar es Salaam, ambapo ukuaji wa haraka wa miji...
Utangulizi:
Rais Julius Nyerere, ambaye mara nyingi anaitwa Baba wa Taifa la Tanzania, aliacha alama isiyofutika katika utawala wa nchi wakati wa uongozi wake. Uongozi wake ulijikita katika...
Utangulizi
Waalimu Forum (Agosti 25, 2021), inaeleza maana ya Ushoga na Usagaji:
Ushoga ni nini? Kwa muktadha huu, ina maana tofauti na ile ya Urafiki (hasa kwa wanawake), ni ile hali ya...
Utangulizi:
Siasa, utawala, na uwajibikaji ni vipengele muhimu vya taifa lolote, vinavyocheza jukumu muhimu katika kuunda uhusiano wake wa kidiplomasia na nchi nyingine. Katika muktadha wa...
1.Tukumbuke
Miaka ya kwanza baada ya uhuru wa Tanganyika chini ya uongozi wa Julius Nyerere yalikuwa na changamoto na mafanikio katika suala la uwajibikaji na utawala bora. Hapa ni muhtasari wa...
Kipindi ambacho watoto wanatoka shuleni wakiwa katika mabasi yao kuelekea nyumbani tunawatengenezea mfumo wa kuwaweka bize kuangalia katuni au sinema zinazowafurahisha wakati huo zinawapa maadili...
Takwimu nyingi sana zimefanyika kuonesha idadi ya wasomi wenye sifa za kupata ajira zimeongezeka kwa kasi kubwa sana mwaka hadi mwaka na hii imepelekea awsomi kuwa wengi sana mitaani huku idadi ya...
Tanzania ni nyumbani kuna baadhi ya bandari za ajabu ambazo zina jukumu muhimu katika uchumi wa nchi. Bandari hizi hutumika kama lango kuu la biashara ya kimataifa, zikitumika kama viingilio vya...
Kutenganisha taka kutarahisisha urejelezaji na ushughulikiaji salama wa taka ili kuokoa mazingira
Taka ni tatizo kubwa. kila mwaka kuna kiwango kikubwa cha taka kinaingia katika mazingira. Hali...
Tangu kuingia kwa ugonjwa wa ukimwi mwanzoni mwa miaka ya 80 harakati za kupambana na ugonjwa huu ni kubwa na mapambano yanaongezeka kasi kadri miaka inavyoenda. Ukweli ulio mchungu mpaka hii leo...
Usafi wa mazingira ni kipengele cha msingi cha maendeleo ya binadamu na una jukumu muhimu katika kudumisha afya ya umma na uendelevu wa mazingira safi. Nchini Tanzania, nchi inayopatikana Afrika...
Utawala bora ni mfumo wa utawala ambao unazingatia uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji wa wananchi utawala wa sheria na uwiano wa madaraka. Utawala bora unahakikisha kuwa viongozi wanatekeleza...