Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

26 Votes
Michezo ni ajira! Lakini ni ukweli usio na shaka kua hatuna dira maalumu inayoweza kukuza sekta hii. Badala yake kumekua na siasa na mipango ya zimamoto badala ya maandalizi ya muda mrefu...
16 Reactions
16 Replies
941 Views
Upvote 26
3 Votes
Katiba ya nchi yetu inatambua lugha ya kiswahili kama lugha rasmi ya taifa la Tanzania, bado inashangaza sana kuona mikataba ya kazi inaandikwa kwa lugha ya kingereza tu, kwa kutumia jicho la...
2 Reactions
2 Replies
404 Views
Upvote 3
2 Votes
MIKATABA YENYE USAWA: JINSI YA KULINDA MASLAHI YA NCHI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI: Mikataba ni sehemu muhimu ya uhusiano kati ya nchi na nchi, au kati ya nchi na makampuni. Mikataba...
2 Reactions
2 Replies
974 Views
Upvote 2
1 Vote
Ili tuendelee kuilinda amani ya nchi yetu, Kwanza kabisa viongozi wa nchi wanatakiwa wawe waadilifu, waaminifu pia wawe na hofu ya MUNGU kwa lolote wanalolifanya ili kuwatumi wananchi...
1 Reactions
1 Replies
298 Views
Upvote 1
1 Vote
Sekta ya elimu ni moja ya nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na Tanzania haijatengwa katika hilo. Kuleta mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora katika sekta hii ni hatua muhimu...
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Upvote 1
5 Votes
Mada: Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania Mwandishi: MwlRCT Utangulizi Biashara za mtandaoni ni biashara zinazotumia intaneti kuuza au kununua bidhaa au huduma...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 5
1 Vote
Katika kijiji cha Dhahabu, kijiji kilichajaa fursa nyingi za kibiashara na kilimo, ina ardhi yenye rutuba na mimea mingi ama kweli jina lake linaakisi uzuri wa kijiji hiko, japokuwa nyumba zao...
1 Reactions
1 Replies
297 Views
Upvote 1
1 Vote
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Kuna mabadiliko mengi yanayoweza kufanyika katika maeneo mbalimbali kama afya, elimu, kilimo...
1 Reactions
1 Replies
278 Views
Upvote 1
2 Votes
Umeme Vijijini Tanzania: Mafanikio, Changamoto na Matarajio Mwandishi: MwlRCT Utangulizi Umeme ni nguzo ya maendeleo. Umeme unawezesha wananchi wa vijijini kufanya shughuli za kiuchumi, kijamii...
2 Reactions
1 Replies
491 Views
Upvote 2
5 Votes
MATUMIZI YA MITA KWENYE MITUNGI YA GESI Utangulizi Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye hifadhi kubwa ya gesi asilia. Ripoti mbalimbali zinaonyesha kwamba Tanzania inakadiriwa kuwa na gesi asilia...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Upvote 5
0 Votes
Tanzania ni nchi ambayo ina utajili wa ardhi na ardhi yetu ina asilimia 80% ya kuzalisha mazao yenye tija kwa nchi pamoja na familia zetu. Nchi yetu ingeweka mipango sahihi wa kuwasaidia vijana...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Upvote 0
2 Votes
Maendeleo ya teknolojia yameathiri kila sekta, kuanzia jinsi tunavyoshirikiana na watu wengine hadi jinsi tunavyofanya kazi, na hata jinsi tunavyopata taarifa na kuzitunza au kuzichakata taarifa...
2 Reactions
4 Replies
960 Views
Upvote 2
0 Votes
Tanzania, pamoja na eneo kubwa la kijiografia na uchumi unaokua, imetambua umuhimu wa sekta ya usafirishaji kwa maendeleo yake kwa ujumla. Mtandao wa vifaa unaofanya kazi vizuri ni muhimu kwa...
0 Reactions
0 Replies
391 Views
Upvote 0
0 Votes
Sekta ya ELIMU ni sekta nyeti sana kwani ndiyo chanzo Cha wataalamu mbalimbali nchini watakaotumika katika sekta nyingine. Kufuatia umuhimu wake yafuatayo ikiwa yatazingatiwa tutegemee mabadiliko...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Upvote 0
3 Votes
Utangulizi Katika mambo magumu katika nchi nyingi zinazoendelea hasa za Bara la Afrika, ni kujiuzulu au kwa maneno mengine, kuachia ngazi kwa viongozi katika nafasi wanazozishikilia pale ambapo...
1 Reactions
1 Replies
466 Views
Upvote 3
4 Votes
Utangulizi Baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, nikimaanisha wale waliofikia kiwango cha kumiliki makampuni makubwa na/au viwanda vikubwa, wana tabia ya kuwameza wafanyabiashara wadogowadogo, kwa...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 4
6 Votes
ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Serikali za mitaa ni chombo cha utawala wa umma, kilichopewa madaraka ya kuamua na kuendesha shughuli zake katika sehemu ndogo ya nchi au Taifa. Hizi ni...
5 Reactions
6 Replies
614 Views
Upvote 6
6 Votes
Utangulizi Nimesoma machapisho mbalimbali kuhusiana na utajiri wa Afrika, nikagundua Bara la Afrika ni Tajiri kuliko mabara yote duniani. Tumebarikiwa kwa Ardhi kubwa yenye rutuba; na yenye...
6 Reactions
7 Replies
618 Views
Upvote 6
2 Votes
Utawala bora na haki za binadamu vinahusiana sana. Kanuni za haki za binadamu hutoa seti ya maadili ya kuongoza kazi ya serikali na watendaji wengine wa kisiasa na kijamii. Pia hutoa seti ya...
1 Reactions
4 Replies
394 Views
Upvote 2
3 Votes
Mada: Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi? Mwandishi: MwlRCT 1. Utangulizi: Makala hii inaangazia suala la uwazi na uwajibikaji wa...
3 Reactions
4 Replies
366 Views
Upvote 3
Back
Top Bottom