KUCHOCHEA USAWA WA AJIRA: WAHITIMU MASKINI WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE SOKO LA AJIRA.
KWA KUIGA MFANO WA TASAF
UTANGULIZI:
Katika juhudi za kujenga jamii yenye usawa na maendeleo, ni muhimu...
TITLE: APPLICATION YA SIMU KWA AJILI YA KUTATUA TATIZO LA UPATIKANAJI WA MTANDAO WA SIMU VIJIJINI (NETWORK CHALLENGE APPLICATION SOLVER)
UTANGULIZI
Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo...
Elimu ni utaratibu unaotumika kurithishana ujuzi kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine ambappo mfumo huu unaweza kuwa rasmi mfano ile elimu inayotolewa katika taasisi mbalimbali za elimu kama...
Tanzania nchi ya amani, taifa lenye watu wapendwa amani, ukarimu, taifa lililoundwa na Mungu Kwa mapenzi yake, uoto wa asili, wanyama wa mwituni na wafugwao, misitu mikubwa ya asili, mito...
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Kuna mabadiliko mengi yanayoweza kufanyika katika maeneo mbalimbali kama afya, elimu, kilimo...
MABADILIKO KULETA UTAWALA BORA
Mabadiliko, ni hali ya kutoka hatua moja ya chini kwenda juu kuna aina nyingi za mabadiliko ila kuu ni mosi binafsi yaani mtu mmoja mmoja na pili mabadiliko...
Utawala bora na uwajibikaji ni nguzo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Kuweka mifumo imara inayohakikisha viongozi wanawajibika kwa wananchi wao na kusimamia...
Ili maendeleo yawepo ndani ya nchi viongozi wanatakiwa wawe kitu kimoja bila kujali siasa, udini, ukabila, pia upendeleo.
Nchi inapaswa kuwa na viongozi waliowadilifu, wenye kujituma na wenye...
Katika kijiji kidogo cha Arabika, wanakijiji walikabiliwa na ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji kutoka kwa viongozi wao. Lakini wakati Imran alipochaguliwa kuwa diwani mpya, alianza kuleta...
Katika dunia yetu iliyogubikwa na changamoto nyingi, uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana. Uwajibikaji unahusisha kuwajibika kwa matendo yetu, na utawala bora unahusu uongozi...
Kuimarisha uwazi na upatikanaji wa habari: Serikali na taasisi za umma zinapaswa kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha uwazi na upatikanaji wa habari kwa umma. Hii inaweza kujumuisha kuchapisha...
Kuimarisha uwazi na upatikanaji wa habari: Serikali na taasisi za umma zinapaswa kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha uwazi na upatikanaji wa habari kwa umma. Hii inaweza kujumuisha kuchapisha...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ukuaji wa kasi wa vyombo vya habari na majukwaa ya kidijitali, hivyo kuwapatia wananchi wake fursa ya kupata habari isiyo na kifani. Ingawa...
Kwa nchi kama Tanzania ambayo ipo katika nchi zinazoendelea duniani inahitajika jitihada kubwa kutoka kwa viongozi wetu katika kujenga uchumi wa nchi yetu hasa kupitia katika nyanja kuu ya uchumi...
1.Historia ya ukuaji wa teknolojia
Teknolojia ni utumiaji wa maarifa ya sayansi kwa ajili ya kubuni, kuunda, kuboresha na kutumia zana, vifaa, mifumo, na michakato ya kufanyia kazi ili kuchangia...
Teknolojia ni moja ya nyenzo ya maendeleo duniani kote karne hii ya 21, jamii yenye kukimbizana na kasi ya ukuaji wa kiteknolojia ni jamii iliyoamua kuifata njia sahihi ya maendeleo. Maendeleo ni...
Utawala bora ni dhana inayohusu mwenendo mzuri wa uongozi wa kisiasa, usimamizi wa umma, na maamuzi ya serikali. Lengo lake ni kuhakikisha kuwa serikali inafanya kazi kwa uwazi, uwajibikaji...
Nakumbuka kipindi chote cha miaka kumi na mitano,nilipokuwa miongoni mwa wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,miswada mingi ya sheria ilipokuwa ikiletwa bungeni tena mingine kwa...
Katika nchi isiyo mbali sana, mbegu za mabadiliko zilipandwa ili kukuza jamii bora na yenye uwajibikaji zaidi. Dunia ilishuhudia ongezeko la maendeleo ya teknolojia, na jamii moja yenye maono...
Ubakaji ni hali ya mwanaume kumuingilia mwanamke Kwa kutumia uume wake na kuweza kuupenyeza katika uke bila ridhaa ya mwanamke. Sheria za nchi pamoja na za kimataifa zinapinga na zinakataza hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.