Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

5 Votes
Jina langu naitwa DON YRN. Mwaka 2012 nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne katika mkoa mmoja wapo ndani ya nchi yetu. Matokeo ya mtihani hayakuweza kufikia kiwango cha mimi kuingia kidato cha...
4 Reactions
4 Replies
951 Views
Upvote 5
2 Votes
Kila asubuhi ninapoamka, macho yangu hushuhudia uzuri wa asili. Kuna miti yenye majani mabichi, maua yenye rangi za kuvutia, na viumbe wa ajabu wakiruka hewani au kutembea kwa miguu yao. Mazingira...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 2
2 Votes
Uhuru wa vyombo vya habari ni haki ya uhuru wa kujieleza, kutafuta, kupokea, na kutoa habari bila kuingiliwa au kubughudhiwa na serikali au vyombo vingine vya mamlaka. Maana yake ni kwamba vyombo...
2 Reactions
2 Replies
444 Views
Upvote 2
7 Votes
Daladala ni njia muhimu ya usafiri katika kisiwa cha Zanzibar. Hata hivyo, upatikanaji wa daladala unaweza kuwa na usumbufu mkubwa nyakati za jioni kutokana na msongamano mkubwa wa abiria. Katika...
2 Reactions
5 Replies
508 Views
Upvote 7
3 Votes
Kuchochea Mabadiliko Kupitia Hatua Zinazofaa Uwajibikaji wa mazingira ni jukumu letu sote kuhakikisha tunachukua hatua sahihi kwa ajili ya ulinzi na uhifadhi wa mazingira yetu. Ni wakati wa...
2 Reactions
2 Replies
265 Views
Upvote 3
2 Votes
Utawala bora ni msingi muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Moja ya changamoto kubwa katika kufikia utawala bora ni janga la rushwa, ambalo huzuia ukuaji wa kiuchumi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
3 Votes
Utawala dhaifu Utawala dhaifu ni utawala ambao haujajikita katika njia moja ya kiutawala ambayo ni imara na ya haki, ndani ya utawala kuna itikadi na misimamo tofauti,ndani ya serikali hakuna...
3 Reactions
2 Replies
395 Views
Upvote 3
2 Votes
Kutoka katika fukwe za Bahari ya Hindi hadi katika kilele cha mlima Kilimanjaro, Tanzania imejawa na utajiri wa asili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye upeo mkubwa. Lakini katikati ya haya yote...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
2 Votes
NAWAZA MENGI SANA NGOJA NISEME KITU ILI KILETE MABADILIKO KIDOGO Bandari zote hapa nchini zinaingiza Sh. Bil.795.226 kwa mwaka lakini TPA wanatumia asilimia 99% kwa upigaji tu (Kwa mujibu wa...
2 Reactions
5 Replies
529 Views
Upvote 2
3 Votes
Sera ya Taifa ya TEHAMA ya Tanzania (2016) inasasisha mkakati wa serikali wa 2003. Inalenga kuimarisha uongozi na kukuza mtaji wa watu katika nyanja hii, huku ikipanua utoaji wa mtandao wa...
3 Reactions
5 Replies
281 Views
Upvote 3
2 Votes
Ujasiriamali ni stadi inayomuwezesha mtu kubuni na kuanzisha miradi mbalimbali ya uzalishaji mali kulingana na fursa zilizopo katika mazingira yake.Kuna aina nyingi za ujasiriamali kama vile kuuza...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 2
4 Votes
Katika miaka ya hivi karibuni, taasisi ya TAKUKURU nchini Tanzania imejitahidi kufanya kazi kwa bidii katika kuhakikisha kuwa uwajibikaji na utawala bora vinakuwa vipaumbele kwa viongozi na...
1 Reactions
7 Replies
518 Views
Upvote 4
2 Votes
Tukiwajibika kwenye madini na Tehama, Tanzania itasonga mbele Abeid Othman Kwa mujibu wa kamusi kuu ya Kiswahili toleo la pili la mwaka 2017, neno uwajibikaji linatokana na kitendo wajibika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Upvote 2
4 Votes
Ni majonzi makubwa yamekighubika kijiji kizima cha Mukalinze.Wanakijiji wote, wanaume na wanawake ni kama tumepoteza sababu ya kuyafurahia maisha kwa pigo lilokipiga na kukijeruhi vibaya kijiji...
1 Reactions
6 Replies
882 Views
Upvote 4
30 Votes
Mabadiliko yanayoweza kufanyika katika sekta ya Sayansi na Teknolojia ili kuchochea utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika kuhakikisha maendeleo na mafanikio ya sekta hii. Hapa chini...
28 Reactions
11 Replies
781 Views
Upvote 30
2 Votes
UTANGULIZI Bunge ni miongoni mwa mhimili katika mihimilimikuu mitatu ya serikali baada ya serikali na mahakama na chombo kinachofanya kazi ya kutunga sheria pamoja na kuisimamia serikali...
2 Reactions
2 Replies
256 Views
Upvote 2
2 Votes
Jamii inatarajia kuona maendeleo katika kila eneo hasa kwa vizazi vijavyo.Wazazi wanajitahidi kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora na mahitaji muhimu ya kila siku,hata wale wenye kipato cha...
1 Reactions
1 Replies
335 Views
Upvote 2
1 Vote
MFUMO WA ELIMU YA TANZANIA: NAMNA GANI TUWAJIBIKE? Mfumo wa elimu ni muundo au miundo ya jinsi elimu imepangwa, imeendeshwa, na kusimamiwa katika nchi au eneo fulani. Inajumuisha kanuni, sera...
1 Reactions
1 Replies
359 Views
Upvote 1
2 Votes
Kwa mujibu wa ripoti ya Tasisi ya Utafiti na Kupunguza umaskini Tanzania(REPOA) ya 2019, wasomi milioni moja huzalishwa kwa mwaka alhali idadi ya ajira zinazozalishwa serikalini na katika sekta...
1 Reactions
3 Replies
385 Views
Upvote 2
2 Votes
Ni usiku wa manane ambao siwezi kuusahau katika maisha yangu,binti wa miaka kumi na saba akiwa na damu nyingi mapajani alikata roho akiwa wodini,jaribio la kutoa mimba kiharamu lilishindikana na...
2 Reactions
4 Replies
259 Views
Upvote 2
Back
Top Bottom