Utangulizi.
Uwajibikaji na utawala bora ni mada muhimu katika nyanja ya elimu nchini Tanzania. Kuna changamoto kadhaa zinazoathiri uwajibikaji na utawala bora katika mfumo wa elimu. Hata hivyo...
Hapo zamani za kale, kulikuwa na mji mdogo uitwao Brightville. Mji huo ulikuwa na mfumo mzuri wa elimu, lakini viongozi wa mji huo walikuwa na wasiwasi kuhusu ukosefu wa utawala bora na...
UTANGULIZI.
Elimu ni msingi wa maendeleo ya jamii yoyote kiuchumi, kijamii pamoja na kisiasa. Maendeleo yoyote ya jamii hutegemea na kiwango cha ubora wa elimu tolewa nchi husika, kumekuwa na...
Ujuzi wa masomo ya kijamii ni taaluma ambayo inajumuisha masomo mbalimbali yanayozingatia utafiti wa jamii ya binadamu, miundo ya kijamii, taasisi za kijamii tabia na mienendo katika jamii na...
Mapinduzi-ya mawasiliano ya watu-wengi miaka 50 iliyopita yaliwasilisha ulimwengu kutumia TV zetu, lakini ilikuwa safari ya kwenda tu tulichoweza kufanya ni kukodolea macho kioo na kuangalia tu...
PENYE UZIA PENYEZA RUPIA: JINSI MSEMO WA KISWAHILI UNAVYOATHIRI UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA JAMII
Imeandikwa na: MwlRCT
1. UTANGULIZI
Msemo wa "Penye uzia penyeza rupia" unatokana na...
Mimi ni mwalimu na ningependa kutoa mapendekezo ya uboreshaji wa huduma zinazotolewa na walimu Kwa Wanafunzi hasa Kwa shule za serikali ili kuongeza ufaulu na kufikia malengo ya serikali.
Moja:-...
Utangulizi
Maana ya Bima
Bima ni mfumo wa ulinzi au fidia ambao unamuwezesha mtu au shirika kulinda mali zao au kujilinda dhidi ya hatari au hasara ambazo zinaweza kutokea. Kuna aina mbalimbali za...
UNYENYEKEVU SIO UTUMWA, UNYENYEKEVU NI BUSARA KATIKA UONGOZI; MSIZARAU SAUTI ZA WATU, MSIZARAU VILIO VYA WATU, WASIKILIZENI
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Katika makala hii tutaangazia kauli ya...
Mwaka 1993 kwenye Fainali ya CAF Kwa Sasa Shirikisho kwenye uwanja wa Uhuru timu ya Simba ilipoteza Kwa kupigwa magoli mawili dhidi ya Stella Club d'Adjame ya Ivory Coast, hali iliyopelekea Rais...
Tulikuwa tupo chuoni katika darasa la kozi yetu, kama ilivyo chuoni lazima kuwe na wawakilishi wa darasa"(cr's)ili kuliwakilisha darasa kwenye uongozi wa chuo lakini katika uongozi wao hawa...
NENO LA MUNGU LINASEMA: "Kila mtu na aitii MAMLAKA iliyo KUU; kwa maana HAKUNA MAMLAKA ISIYOTOKA KWA MUNGU; na ile iliyopo umeamriwa na MUNGU. Hivyo amwasiye mwenye MAMLAKA hushindana na AGIZO LA...
NENO LA MUNGU LINASEMA: "Mkamate sana ELIMU, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni UZIMA wako." (Mithali 4:13)
Swali ni je! Unadhani Elimu uliyo nayo sasa ndiyo hii tuliyoambiwa tuikamate...
SANAA, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU ndiyo MAMA na CHANZO cha SAYANSI kwani pasipo SANAA, UBUNIFU NA TEKNOLOJIA; SAYANSI hukosa uhai hivyo ni lazima iwe dhaifu, isiyozaa matunda, inayozaa matunda dhaifu...
Ulimwengu wa sasa umejaa wanadamu wenye mitaji ya fedha lakini waliokosa mawazo ya UBUNIFU; kwani zinaibuka kampuni, biashara, kazi na huduma nyingine kila siku lakini ni zilezile za kuigana...
Katika miaka ya hivi karibuni, kumeibuka mijadala kuhusu viumbe vya ajabu visemekavyo ni vyenye akili nyingi kuliko wanadamu ambavyo vinasaidia watu wa mataifa makubwa kufanya mambo makubwa...
Kwa takriban karne 21 sasa Bara la Afrika limekuwa likitegemea Teknolojia kutoka Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, Ujerumani, Uingereza na baadhi ya Mataifa ya Asia Magharibi. Kwa hili naomba...
Habari za wakati huu ndugu zangu wote.
Kufanya kazi kwa bidii ni jambo muhimu sana ambalo sote tunahitaji maishani mwetu. Haiwezekani kufikia malengo fulani makuu bila kufanya kazi kwa bidii...
UTANGULIZI:
Elimu ni ujuzi, maarifa au utaalamu anaopata mtu kutoka kwa mtu, mashine au uzoefu kutoka katika mazingira aliyopitia.
Hata hivyo elimu inaweza kuwa Rasmi au isiyo rasmi. Elimu rasmi...
Nawashangaa wanaopiga kelele; viongozi wetu wabadhirifu, wala rushwa, wanaingia mikataba isiyo ya maana kama enzi za ukoloni za kubadilisha dhahabu na vipande vya jiwe na kadhalika, tunawalaumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.