Mwongozaji
Ni muda umepita sasa tangu sherehe hii ianze, watu wanaendelea kushangilia na kupiga makofi ya nderemo kwa taifa lao. Watu wengi wametamba na kujivunia taifa na uhuru wao, mwongozaji...
KUWAWEZESHA WAZEE NA WATU WENYE ULEMAVU: JINSI YA KUHESHIMU HAKI NA USTAWI WAO KATIKA JAMII
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Muktadha: Wazee na watu wenye ulemavu ni sehemu muhimu ya jamii yetu...
Milongo zaidi ya 2 imepita tangu maono ya Tanzania tunayoyatumia hadi leo kupita. Kama watu walijaribu kuitabiria Tanzania ingekuwaje mwaka 2023, ingawa walidhani kuwa mengine wamekosea na pengine...
Ardhi ni rasilimali hitajika katika nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa. Mahitaji ya ardhi yakuwa kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu na shughuli za kiuchumi. Serikali ya Tanzania...
Akili ya mwanadamu
Kuna nadharia mbalimbali zinazotoa tafsiri ya akili. Leo nitazungumzia tafsiri ya akili kwa muktadha wa kitheolojia. Akili ni nini? Akili ni uwezo wa ki Mungu ambao umewekwa...
Michezo ni moja ya sekta muhimu duniani inatoa ajira kwa watu tofauti tofauti; wachezaji, makocha, wauza vifaa vya michezo na ajira nyingine nyingi kwenye michezo ambazo ziwezi kuzitaja zote
Ili...
Mabadiliko na mageuzi ya kiutendaji yanayowekwa na kusimamia utawala bora katika kutoa huduma sehemu mbalimbali ni wazi zinaboresha uwezo na ufanisi wa utelekezaji mzuri katika kutoa huduma husika...
Utangulizi
Tanzania, kama nchi nyingine duniani, inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya afya. Katika juhudi za kuboresha huduma za afya na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata upatikanaji...
Utangulizi.
Utawala bora na uwajibikaji ni mada muhimu katika nyanja mbalimbali nchini Tanzania. Kama nchi inayotaka kuendelea, ni muhimu kuelewa jinsi utawala bora na uwajibikaji unavyoweza...
Utangulizi.
Katika miaka ya hivi karibuni, suala la uwajibikaji na utawala bora limekuwa likichukua nafasi kubwa katika mijadala ya kisiasa nchini Tanzania. Uwajibikaji na utawala bora ni mambo...
I. Utangulizi
Sekta ya teknolojia ina jukumu muhimu katika maendeleo ya Tanzania, ikiwa ni pamoja na kuchochea ukuaji wa uchumi, kuongeza ajira, kuchochea maendeleo na kuboresha huduma za umma...
Utangulizi
Sekta ya kilimo ni uhai wa Taifa. Ni sekta muhimu sana nchini Tanzania, ambayo inachangia sehemu kubwa ya pato la taifa, ajira kwa wananchi wengi na usalama wa chakula. Hata hivyo...
Utangulizi:
Ufisadi umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, na umekuwa ukisababisha athari kubwa kwa maendeleo na ustawi wa taifa. Ili kukabiliana na changamoto hii, kuna haja ya kutafuta njia mpya...
Utangulizi
Neno “Utawala Bora na Uwajibikaji” huonekana kulenga shabaha yake katika utendaji wa uongozi na mamlaka za “juu” katika Taifa, Bara na Dunia kwa ujumla; na mtazamo huu ndio kikwazo...
Hivi ndivyo ambavyo T.A.I atavyolikomboa Taifa na Ndoto ya Tanzania.
Mfalme Suleiman kama hadithi za vitabu vya Imani vituelezavyo, alikuna ni mfalme wa kale kuwahi kuishi na kutambulika kuwa...
Habari ndugu msomaji karibu katika makala hii
Hii ni hadithi iliyokuwa nzuri na ya kusisimua ambayo mzee mwangosi alitushrikisha siku moja tukiwa kundi la vijana watano katika kijiwe cha kahawa...
Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu,
Tambua kuwa hapo Mwanzo Bwana Mungu hakuweka uadui kati ya mwanamume na nyoka yaani shetani, hivyo kinachoendelea kati yao Bwana ndiye anajua. Kwani wapo...
JINSI APPLICATION YA SIMU INAVYOWEZA KUTATUA TATIZO LA AJIRA - CAREER APPLICATION
Utangulizi
Upatikanaji wa ajira umekuwa ni changamoto kubwa kwa mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania. Hii ni...
STORY OF CHANGE
Katika maada yangu ya mabadiliko mimi napenda kuzungumzia suala zima la iman,kuwa na imani na viongozi tuliowachagua/ wanao tuongoza ni jambo lingine lakini suala zima la iman...
Mabadiliko katika teknolojia yanaweza kuchangia sana katika kuchochea utawala bora na uwajibikaji. Hapa chini ni baadhi ya mifano ya mabadiliko hayo na jinsi yanavyoweza kutekelezwa:
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.