Ninashauri serikali ije na mkakati mahususi kuwajengea uwezo watendaji wa serikali za mitaa,
Kupitia nguvu ya uhamasishi, ushauri na usimamizi wao wananchi unufaika na utekelezaji wa miradi kadhaa...
Uwepo wa vyoo bora ni muhimu sana katika shule ili kuhakikisha mazingira salama na afya kwa Wanafunzi ili kuwezesha suala la ufundishaji na ujifunzaji. Hata hivyo katika shule jumuishi changamoto...
Utapeli wa kimapenzi kwa sasa umeshamiri katika jamii yetu. Vijana wengine wanachukulia kama imekua fasheni. Katika jamii ya sasa imekuwa ngumu kujua yupi mwenye mapenzi ya kweli au uongo. Yupi...
UTANGULIZI
Kuna fasihi pana ambayo inaunga mkono kwamba urasimishaji wa ardhi utawapa wamiliki wa ardhi manufaa ambayo ni pamoja na: dhamana ya kupata mikopo; kuongeza motisha ya kuwekeza kwa...
Na DON YRN.
Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums?, matumaini yangu tupo salama katika ujenzi wa Taifa letu. Lengo langu kutoa mada hii siyo kuleta uchonganishi au kuchafuliana biashara...
MOYO WA SIMBA: KUIMARISHA UJASIRI NA UADILIFU KATIKA MAAMUZI YAKO
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Maamuzi ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunafanya maamuzi madogo na makubwa...
KULINDA HAKI ZA KIKATIBA: JUKUMU LA SERIKALI KATIKA KUWALINDA WANANCHI WAKATI WA MAANDAMANO YA AMANI
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Suala la maandamano na haki za wananchi ni jambo muhimu...
MAAJABU YA NG'WANA MALUNDI
---
Mwandishi:Saadala Muaza
Utangulizi:
Mwanamalundi ni miongoni mwa watu waliokuwa maarufu sana katika jamii ya wasukuma mnamo karne ya 19.Jamii ambayo kwa kipindi...
Wamasai ni miongoni mwa makabila maarufu katika manila takribani 150 yanayopatikana nchi Tanzania katika kanda za mikoa ya kanda za juu kusini hususani mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, jamii ya...
NAKATAA KUWA MTUMWA, SASA NAJITUMA!
Mchana huu ulivyoangaza jua lake kwa ghadhabu, nilisimama kwenye kona ya barabara, nikisimuliwa na mazingira yaliyoniathiri kwa muda mrefu. Maisha ya mjini...
UTANGULIZI
Suala la usalama wa abiria ndani ya vyombo vya usafiri ni muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele zaidi tofauti na jinsi ambavyo limekuwa likisimamiwa na mamlaka husika (Road traffic...
Mabadiliko yanayoweza kufanyika katika sekta ya afya ili kuchochea utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi. Hapa chini...
Mamba anajulikana kwa kuwa na machozi ya kinafiki sana, unaweza muona analia machozi yanatoka kumbe ana zuga.
Sasa na sisi kwenye Kupambana na uharibifu wa Mazingira ni bora tukaacha unafiki kama...
Kwa Hapa nchini Tanzania ambayo Ili kuwa na mfumo wa kijamaa, kutoka TANU mpaka CCM.
CCM Bado Ina urafiki na nchini ambazo zilikuwa na mfumo wa kijamaa kama washirika wake wakaribu. Na china...
Mabadiliko yanayoweza kufanyika katika sekta ya michezo ili kuchochea utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika kuhakikisha maendeleo na mafanikio ya sekta hii. Hapa chini, nitaelezea...
UTANGULIZI.
Hatupaswi kulalama kuhusu ajenda ya uchumi wa viwanda na mchango wa kisekta ikiwa tunu ya utamaduni ya muziki adhimu wa Singeli haujengewi mpangokazi mahsusi ili kuboresha katika...
Mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali umekuwa na changamoto kubwa nchini kwetu. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea...
UTANGULIZI
Dunia ya sasa na inakoelekea kuna kukua na kuenea kwa sayansi na teknolojia kwakuwa ina umuhimu sana katika kuleta mafanikio na maendeleo, mambo mengi yanatatuliwa kupitia teknolojia...
Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) ulianza kufanya kazi Julai, 2001 kwa waajiriwa wa serikali kuchangia 3% ya mishahara yao na mwajiri kuchangia 3%. Mpaka kufikia Desemba 2019, mfuko wa Bima ya afya...