Maadui wa Tanzania ni ujinga. Umaskini, na maradhi; kama ilivyosemwa na hayati Mwalimu J.K. Nyerere.
Serikali wakati wote inafanya kila namna ili kupambana na hawa maadui watatu.
Elimu ni nguzo...
Utangulizi
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa na ukuaji mkubwa wa uchumi, kuvutia wawekezaji kutoka nje na kukuza maendeleo. Hata hivyo, maendeleo katika sekta ya fedha hayawezi...
Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa na hii ni kutokana na wingi wa wanafunzi wanaohitimu kila mwaka huku serikali ikishindwa kutoa ajira kwa wahitimu wote, Katika kukabiliana na tatizo hili...
Ilikuwa ni usiku wa tarehe 30/3/2022. Muda wa saa 4:15 usiku ambapo mke wangu alipata uchungu na alikuwa tayari kwa ajili ya kujifungua. Usiku huo ulikuwa ni usiku usiosaulika katika maisha yangu...
Mwanamke
Sifa yake huruma
Japo kuwa anauma
Mjuvi wa tundama
Kisha anavutia
Machoni ukimtia
Vito utampatia
Ila ana nyuso mbili
Akigeuka tumbili
Usimjue awali
Ana nyingi zake siri
Tena ana...
1.1 Utangulizi
Katika kuhakikisha suala la utawala bora linatekelezwa hapa nchini, serikali imekuwa ikifanya juhudi za mageuzi ya kutumia teknolojia na kuanzisha mifumo ya Tehama, hii ikiwa ni...
Bunge ni sauti ya watu, bunge si sauti ya serikali kuu, bunge ni sauti ya taifa zima la leo na lijalo kwa vizazi, bunge ni dira ya sheria, sera na mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Serikali...
Utangulizi:
Sekta ya huduma za usafi ni muhimu sana katika kukuza afya na ustawi wa jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, kuna changamoto nyingi linapokuja suala la kupata huduma bora za usafi...
Shukrani
Asante sana Jamii Forums kwa jukwaa la Stories of Change naweza kusema ni sauti ya mafanikio ya jamii nzima.
Pia, ningependa kuwaalika ndugu jamaa na marafiki, na umma wa watanzania...
KUWA NA SIKIO LA KUFA: KUWA TAYARI KUSIKILIZA MAONI NA MALALAMIKO YA WENGINE
Mwandishi: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Katika ulimwengu wa leo, jamii zetu zinakabiliwa na changamoto nyingi. Kutokana na...
Tanzania ni miongoni mwa nchi za ulimwengu wa tatu. Kwa kawaida, nchi za ulimwengu wa tatu (nchi zinazoendelea) hukabiliwa na tatizo kubwa la umaskini kwa raia walio wengi. Kwa mujibu wa Benki ya...
Mabadiliko katika uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana katika kujenga jamii yenye maendeleo, demokrasia imara, na maisha bora kwa wananchi. Uwajibikaji na utawala bora hurejelea jinsi...
Ukosefu wa ajira umekua ni changamoto kubwa Katika nchi ya Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani.
Changamoto hii Kwa kiasi kikubwa imechangiwa Kwa kiasi kikubwa na mifumo mibovu ya elimu...
Katika kizazi cha Sasa hasa katika nchi za dunia ya tatu,neno elimu limekuwa likichukuliwa katika upande hasi kwa sababu ya kuwepo kwa wasomi wengi ambao wameweza kupata elimu lakini maisha yao...
UTANGULIZI
Tunamshukuru Mungu kwa neema alotupatia kua hai hadi sasa. Ni jambo lisilopingika kwamba, kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwa wahudumu wa Afya kutokujali wagonjwa na mara kadhaa...
Nchi yangu mwenyewe inanitesa mimi mwenyewe, kila mtu anapambana na Adui anaejifugia.
Watanzania wengi wenye kujitambua wanajitahidi Kupambania suala la malezi katika jamii lakini namna wanavyo...
Tanzania, nchi iliyobarikiwa kuwa na maliasili nyingi na uchumi wa aina mbalimbali, ina uwezo wa kuwa kikanda chenye nguvu ya kibiashara. Hata hivyo, kufikia usawa wa biashara katika masuala ya...
Tanzania inakabiliwa na tatizo la upungufu wa wafanyakazi (watumishi wa umma) katika mashirika na taasisi mbalimbali za serikali.
Kwa kutumia kada ya elimu peke yake, hadi kufikia Februari 2023...
Katika maisha Kila binadamu anaye hitaji kufanikiwa katika jambo, lengo au ndoto fulani ni lazima awe na sifa au tabia fulani katika kufanikisha jambo au lengo Hilo, na hii ndio tunaita safari...