Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

1 Vote
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ongezeko la mahitaji ya uwajibikaji na utawala bora. Kama taifa linalopigania maendeleo ya kijamii na kiuchumi, ni muhimu kukuza mazingira...
1 Reactions
1 Replies
263 Views
Upvote 1
1 Vote
Katika mfumo bora wa uongozi na uendeshaji wa mamlaka utawala bora ni muhimu kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa na huduma sawa na zenye tija. Katika taifa letu wimbi la uongozi m bovu katika...
1 Reactions
1 Replies
449 Views
Upvote 1
1 Vote
Maji na Umeme vimekuwa vitu muhimu katika maisha ya binadamu pia kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Gharama ya Maji na Umeme ni kubwa sio tu katika usambazaji yaani serikari pia kwa mtu...
1 Reactions
1 Replies
481 Views
Upvote 1
1 Vote
Elimu ni ujuzi anaopokea mtu kutoka Kwa we ye uekewa zaidi juu ya jambo fulani Kuna aina tatu za elimu 1. Elimu rasmi hii ni ule ujuzi tunaoupata kutoka a mfumo maalumu wa serikali mfano shule...
1 Reactions
1 Replies
588 Views
Upvote 1
1 Vote
Wazazi wa kitanzania hawajibiki kwenye malezi ya watoto ambao sio wa kwake mfano: mtoto anaweza kuwa anafanya kosa aisha wanapigana na kuna watu wazima wanawaona na wasiwajaripie kwa kua sio...
1 Reactions
1 Replies
382 Views
Upvote 1
1 Vote
Ahsante kocha Nabi! Ahsante Bernard Morrison! Ahsante Jonas Mkude! Ahsante Kali Ongala! Ahsante Abdallah Shaibu! Ahsante Erasto Nyoni! Ahsante Cleophace Mkandala! Ahsante Dickson Ambundo! Ahsante...
1 Reactions
1 Replies
737 Views
Upvote 1
1 Vote
Malezi Bora ya Watoto Nchini Tanzania: Kuleta Mabadiliko Chanya Utangulizi Malezi bora ya watoto ni suala muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo. Nchini Tanzania, kuna umuhimu...
1 Reactions
1 Replies
996 Views
Upvote 1
1 Vote
Utawala bora na Uwajibikaji! Hivi ni vitu gani? Nani hawajibiki? Je utawala siyo bora? Nani ni mtawala? Mtawala ndiye hawajibiki? Au anayetawaliwa hawajibiki? Kipi kinaathirika zaidi ikiwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Upvote 1
1 Vote
Abstract: Accountability and good governance are crucial factors in the gold mining sector in Geita, Tanzania. This sector significantly contributes to the country's economy while providing...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 1
1 Vote
Mabadiliko ya uchumi wa Tanzania yanahitaji kuzingatia uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha maendeleo endelevu na kuvutia uwekezaji. Insha hii inachunguza changamoto na masuluhisho...
1 Reactions
1 Replies
308 Views
Upvote 1
2 Votes
MADA: Kuwa na Macho Kama Tai: Jukumu la Sekta Binafsi na Asasi za Kiraia katika Kushirikiana na Serikali na Jamii kwa Ajili ya Kuimarisha Utawala Bora. Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Makala...
1 Reactions
1 Replies
513 Views
Upvote 2
5 Votes
Kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita maneno "utawala" na "utawala bora" yametumika katika muktadha wa kuhamasisha maendeleo. Utawala mbaya unatajwa kuwa kisababishi cha maovu yote ndani ya jamii...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 5
3 Votes
Utangulizi: Utawala bora ni msingi wa jamii inayofanya kazi vizuri na yenye ustawi. Inajumuisha kanuni kama vile uwazi, uwajibikaji, utawala wa sheria, na ushiriki wa raia. Ingawa kanuni hizi ni...
2 Reactions
3 Replies
616 Views
Upvote 3
1 Vote
Kwa miaka mingi kumekuwa na hali duni katika sekta ya michezo nchini na hii ikijumuisha michezo yote ikiwemo mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa mikono, mchezo wa ngumi, michezo ya madola...
1 Reactions
2 Replies
469 Views
Upvote 1
1 Vote
Kazi ni nini? (Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu). Kazi ni utumiaji wa nguvu,juhudi, maarifa katika jambo au jitihada, bidii, utendaji. Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka na wimbi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 1
3 Votes
Kumekuwako na hali ya kujitokeza kwa matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto, upotofu wa maadili pamoja na vifo vya wanafamilia, mke, mume, Watoto ama wanandugu wakati mwingine bila sababu...
1 Reactions
3 Replies
589 Views
Upvote 3
2 Votes
Katika jamii zetu za Kiafrika hasa Tanzania elimu ni kitu ambacho kimepewa umuhimu tangu mtoto anapofikisha miaka miwili anapelekwa shule za chekechea kuanza kusoma. Wazazi wengi wamekuwa na dhana...
2 Reactions
1 Replies
344 Views
Upvote 2
1 Vote
Moja ya mambo muhimu tunayopaswa kuyafahamu kwa kila Muafrika haswa nchi zinazotaka kujitoa katika dimbwi la umasikini, ni lazima lizingatie umuhimu wa kuwaamsha kifkra vijana ili kuwaza zaidi...
1 Reactions
1 Replies
189 Views
Upvote 1
1 Vote
KUWEKA MISINGI BORA YA UONGOZI KWA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII Imeandikwa na:Mwl.RCT *** Utangulizi: Katika ulimwengu wa leo, maendeleo na ustawi wa jamii ni mada muhimu sana. Uongozi una jukumu...
1 Reactions
1 Replies
743 Views
Upvote 1
1 Vote
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoendelea kukua kiuchumi duniani na afrika kwa ujumla.Aidha nchi mbalimbali kama vile Nigeria,Afrika kusini,Ethiopia na Kenya ni nchi zenye uchumi mkubwa kusini...
1 Reactions
1 Replies
607 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom