MKATABA WA BANDARI NA DP WORLD: ATHARI ZA KIMKATABA KWA UCHUMI WA TANZANIA NA UWAJIBIKAJI WA SERIKALI KWA WANANCHI WAKE - JE, NI FAIDA AU HASARA?
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
A. Muktadha wa...
Kumekuwa na mkanganyiko tati ya mkusanya MAPATO na mfanya biashara, kwakila mmoja kumuona mwenzake nimkosefu na mwisho wasiku husababisha mapoto kushuka, bila kujua wote wanafanya kazi moja...
Katika jamii yetu, imekuwa ni kawaida kwa watoto kuwa na tabia mbaya katika makuzi yao. Na mara nyingi, lawama huenda kwa mama. Hii ni kwa sababu mama ndiye anayeshughulikia malezi ya watoto zaidi...
Teknolojia ni matumizi ya maarifa, mbinu, mchakato, zana, na vifaa ili kubuni, kujenga, na kutumia bidhaa au huduma kwa lengo la kutatua matatizo, kuboresha maisha, na kufikia malengo ya...
UTANGULIZI
Biashara haramu ya usafirishaji binadamu ni kitendo cha kusafirisha binadamu kwa njia ya nguvu, tishio,kulazimishwa, kudangaywa au utekaji nyara kwa kusudi la dhuluma. Hujumuisha...
Mfumo wa elimu nchini kwetu Tanzania umekuwa ukienda tofauti sana na soko letu la ajira hii inatokana na kauli mbiu ya kwamba alieshiba hamtambui kwenye njaa
Wito wangu na maoni yangu katika...
Kushuka kwa bei ya mahindi nchini ni suala ambalo linahitaji ufumbuzi wa haraka ili kuepuka athari kubwa kwa wakulima na jamii kwa ujumla. Wakulima wanapata hasara kubwa kutokana na kupungua kwa...
Tanzania ina fursa ya kutekeleza masuluhisho mbalimbali ya kiteknolojia ili kuendeleza jamii yake na kukuza utawala bora. Suluhu hizi zinaweza kuleta mabadiliko chanya kwa sekta tofauti, kama vile...
Kama taifa huru muumba wetu alikiunda kipande hiki,kama sehemu tu ya dunia yetu nzuri.
Taifa hili tukufu linaaminika kuwa ni makazi ya mwanzo ya binadamu wa kale,mabaki ya watu wa kale yaliyopo...
KUPUNGUZA UMASKINI: NJIA YA KUJENGA MUSTAKABALI BORA KWA TAIFA
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Umaskini ni changamoto kubwa inayoikabili taifa letu. Licha ya juhudi za serikali na mashirika...
UTAWALA BORA KATIKA NCHI ZA KIAFRIKA: CHANGAMOTO, FURSA NA MIFANO YA DUNIA
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Muktadha: Utawala bora ni suala muhimu katika maendeleo ya jamii yoyote. Katika nchi...
Kupunguza ongezeko la watu kwenye mji wa Dar es Salaam kunaweza kuhitaji hatua za muda mrefu na za kina za kushughulikia masuala ya msingi yanayosababisha ongezeko hilo. Hapa kuna mawazo kadhaa...
Elimu ya yoga.
Yoga ni elimu ambayo inahusisha viungo vya mwili pamoja na pumzi. Yoga ni moja ya somo muhimu sana katika nchi za Asia, elimu hii inafaa kwa kila rika, ukizingatia katika...
MAANA YA KICHWA CHA HABARI
Natumia neno Ithibati nikiwa na maana ya Kibali cha uchapaji wa kitabu. Tunaweza kuwa pia na neno "Uthibitisho", ambapo kwa Kilatini kuna neno "Imprimatur". (Rejea...
Tunaishi kwenye Jamii ambayo Madoktari hawajali afya,Elimu ni ndoto za vigogo na sheria hupotosha haki. Viongozi wa Dini na Serikali wamejiziba Mdomo hakuna wa kutusemea, na Vyombo vya habari...
NAMNA ILIVYO SASA
Mfumo wetu wa Rufaa katika Hospitali za Tanzania, unategemea tu Barua ya Daktari mwenye hadhi ya kuandika Rufaa, na akishaandika, humkabidhi mgonjwa kwenda Hospitali...
Moja ya eneo ambalo limekuwa utambulisho kwa jamii husika hapa nchini, ni mila na desturi ambazo zinaweza kutofautisha kati ya jamii fulani na jamii nyingine.
Takwimu zinaonyesha kuwa Tanzania...
Kuzaliwa mjini, sehemu ambayo imetawaliwa na usasa inaweza kuonekana ni bahati kwa wengi. Hii ni kwa sababu ya urahisi wa kupata vitu vingi ikiwemo huduma, taarifa na kadhalika. Lakini kwangu mimi...
ASIYEJUA HAKOSI LAKINI ANAPOJUA NDIPO HUKOSEA
Imeandikwa na: MwlRCT
Utangulizi: Usemi huu wa "Asiyejua hakosi lakini anapojua ndipo hukosea" unamaanisha kuwa watu wanaweza kuwa na uhakika katika...
Siasa, uongozi, na utawala ni mada ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzungumza juu yake kwa sababu zinahusisha masuala magumu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hata hivyo, mada hizi zina umuhimu mkubwa...