Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

1 Vote
Habari za wakati huu waungwana Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza uongozi na timu nzima ya Jamii forum kwa kutupatia tena nafasi ya kuandika juu ya mambo mbalimbali juu ya...
1 Reactions
0 Replies
311 Views
Upvote 1
1 Vote
SIASA INAPOHARIBU MIJADALA YA KITAIFA Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mpana sana kuhusiana na Bandari, Mjadala huu umeibuka baada ya kupatikana kwa taarifa kuwa Serikali ya Tanzania kupitia...
1 Reactions
0 Replies
890 Views
Upvote 1
6 Votes
Utangulizi Bunge mkononi litakuwa ni bunge/mkutano utakaompa nafasi kila mwananchi kuwa mbunge. Bunge hili litakuwa kwa njia ya mtandao, na mshiriki ataweza kushiriki kupitia sim janja ya mkononi...
3 Reactions
10 Replies
509 Views
Upvote 6
0 Votes
Kwanza, Asante sana Jamii Forums kwa jukwaa la Stories of Change naweza kusema ni sauti ya mafanikio ya jamii nzima. Pili, ningependa kuwaalika ndugu jamaa na marafiki, na umma wa watanzania...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Upvote 0
0 Votes
Hivi chanzo hasa cha uchafu ni nini? Maana bila kujua ugonjwa ulipo utahangaika sana kumeza dawa lakini wapi... Kuna sababu nyingi lakini kubwa hasa ninayoiona kwa nchi yetu ni kutolipa...
0 Reactions
0 Replies
320 Views
Upvote 0
5 Votes
Ni miaka mingi imepita toka nikupe dhamana ya kuniwakilisha mimi mwanachi wa kawaida maneno yako matamu yalinipa faraja nikahisi kweli haya ni matunda ya uhuru wangu, Haukusita kunipa ahadi nyingi...
4 Reactions
20 Replies
819 Views
Upvote 5
5 Votes
UTANGULIZI. Licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali, wazazi, jamii, Asasi za kiraia, wadau wa Elimu, na taasisi za kidini katika kuhakikisha suala la malezi linakuwa jukumu la kila...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 5
0 Votes
Vijana wengi wakitanzania hasa wasomi wamekua vibarakaa kutokana na kwamba wengi wao wapo kimaslahi zaidi. Hivyo basi wamejikuta wanakosa uzalendo na nchi yao, kila kinachofanyika ambacho sio...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Upvote 0
3 Votes
Nilipopata habari za mpango wa serikali ya Tanzania wa kupitia upya mtaala wa elimu, nilipata faraja na matumaini. Kuna matarajio makubwa yalianza kujijenga kichwani mwangu – matarajio ya...
3 Reactions
1 Replies
414 Views
Upvote 3
1 Vote
Utangulizi: Katika kujenga uchumi unaonendana na mabadiliko ya karne ya ishirini na moja, Tanzania imepiga hatua kubwa katika maendeleo yake ya kijamii na kiuchumi. Hata hivyo, ili kuendeleza...
1 Reactions
1 Replies
224 Views
Upvote 1
2 Votes
katika ulimwengu wa sasa mtu anapofika umri wa miaka 30 nakuedelea uwa ujiwekea ukomo wa kufanya jambo farani ata liwe na manufaa makubwa. Uwa anakuambia umri ushaenda au kwa sasa siwezi...
2 Reactions
2 Replies
581 Views
Upvote 2
2 Votes
Tatizo la ajira kwa vijana limekuwa moja kati ya matatizo makubwa sana yanayosumbua jamii zetu. Tatizo hili limekuwa chanzo cha matatizo mengine mengi kama vile uporaji (panya road), ulevi...
2 Reactions
3 Replies
623 Views
Upvote 2
0 Votes
Kwa hakika ni jambo la kukatisha tamaa kwa siku za hivi karibuni kutazama mikutano ya vyama vya siasa nchini Tanzania yenye hoja zilezile za kizamani na zisizodumu . Hakuna ujasiri, hakuna ari na...
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Upvote 0
3 Votes
ELIMU NI MSINGI BORA WA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZA KIJAMII ,KISIASA NA KIUCHUMI KUPITIA MFUMO WA ELIMU TANZANIA ELIMU ni maarifa yanayopatikana kwa njia ya kujifunza au kusikiliza kutoka kwa mtu...
2 Reactions
1 Replies
407 Views
Upvote 3
1 Vote
Ni Dhahiri kuwa binadamu amebarikiwa uwezo asilia wa kung’amua mambo na kufanya maamuzi . Uwezo huo ni utashi. Utashi aghalabu hutegemea pia maarifa/stadi alizonazo mtu husika ili kufanya maamuzi...
1 Reactions
1 Replies
311 Views
Upvote 1
3 Votes
Utangulizi Kila kitu kina kanuni ambazo zisipofuatwa au kuzingatiwa kitu hicho hakiwezi kufanikiwa au kuwepo. Kwa mfano, mwili wa binadamu una kanuni ambazo zikikiukwa inazweza kupelekea mwili...
2 Reactions
2 Replies
488 Views
Upvote 3
1 Vote
Leo, nimesimama mbele yenu si kama burudani tu,kama upepo wa mabinti wakisudan waliopo pale Muhimbili la hasha bali kama binadamu mwenzenu ambaye ameshuhudia mafanikio na msiba wa uwepo wetu...
1 Reactions
3 Replies
402 Views
Upvote 1
2 Votes
Naandika nikiwa nimeketi nyuma kabisa ya darasa lenye zaidi ya wanafunzi mia moja, wote tukingoja shahada miezi kadhaa ijayo. Mbele kidogo yupo fundi wa mpira na medali zake, na mbele kabisa...
2 Reactions
7 Replies
976 Views
Upvote 2
8 Votes
UTANGULIZI Tumekuwa tukishuhudia ajali nyingi nchini Tanzania zinazokea mara kwa mara ambapo kupitia ajali hizo wapendwa wetu huweza kupoteza maisha, wengine huweza kupata vilema vya kudumu...
5 Reactions
6 Replies
3K Views
Upvote 8
2 Votes
Katika zama hizi za vijana tujiajiri! Dhana korofi na swali tatanishi limekua ni kwa jinsi gani serekali inaweza kukabiliana na suala tambuka la ukosefu wa ajira. Kwa kurahisisha wengi huishia...
1 Reactions
2 Replies
511 Views
Upvote 2
Back
Top Bottom