Uwajibikaji na utalawa bora ni muhimu sana katika kuchochea kilimo kukua. Hapa kuna mambo muhimu ambayo yanapaswa kuzingatiwa katika kuchochea na kuleta mabadiliko chaja katika sekta ya kilimo...
Na zaidi pia Haipo Dhana ya Kujiua kwa Makusudi, kila siku ni taharuki na hamaki katika mazingira yanayotuzunguka. Watu wengi wana nadhalia zao na nadhalia hizo huchochea jamii kuishi na taharuki...
SIKILIZENI WANANCHI: NGUVU YA MAONI KATIKA KULETA MABADILIKO
Imeandikwa na: MwlRCT
Utangulizi
Katika ulimwengu wa leo, sauti za wananchi zina nguvu kubwa katika kuleta mabadiliko katika jamii...
1. TATIZO LINALOIKUMBA TIMU YA TAIFA YA MPIRA WA MIGUU TANZANIA.
Kiujumla timu ya taifa ya Tanzania imekuwa na muendelezo wa kiwango kibovu ambapo kizazi cha kuanzia miaka ya 1990 hakijawahi...
Utangulizi
Uwajibikaji waweza kuwa ni njia ambayo inaweza kuleta chachu ya mabadiliko na maendeleo katika jamii. Uwajibikaji waweza kufanywa na mtu mmoja au zaidi na pia unaweza kuhusisha kikundi...
Utangulizi
Binadamu tumeumbwa na tabia ya “kushangaa”. Tunayoyaona au kuyasikia kwa mara ya kwanza yanatushangaza. Tunaposikia au kuona jambo ambalo hatuna taarifa zinazolihusu, ni kawaida...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vitendo vya kikatili lakini pia kumekuwa na matukio mengi ya watu kujitoa uhai, kitu ambacho kinaleta taharuki kubwa katika jamii na nchi...
Afadhali mwaka jana kidogo,robo fainali ya kombe la shirikisho ilitupa mdomo,lakini msimu huu umekuwa mchungu sana japo klabu bingwa tulifika robo fainali ila Utopolo wamefanya vitu vingi sana...
KUTOKA UGONJWA HADI FURSA.
Mwaka 2018 nikiwa na umri wa miaka 20 niligundulika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya ini (Hepatitis B) baada ya kuchangia damu katika Mpango wa Taifa wa Damu...
Kama ilivyo kwa kila nchi kuwa na sheria na kanuni zake ambazo ni ngumu kukuta kwa nchi nyingine basi hata jamii ina tamaduni zake ambazo zilikuwepo tangu hapo zamani enzi za mababu na mabibi zetu...
Ili kuchochea uwajibikaji kwenye nyanja ya kilimo na ufugaji nchini Tanzania, hatua muhimu zinahitajika kuchukuliwa. Uwajibikaji unahusisha uwazi, kushirikisha wadau wote, na kuweka mfumo wa...
1. Udhibiti wa Mfumuko wa Bei:
Mfumuko wa bei unaweza kuathiri thamani ya fedha. Serikali inapaswa kuwa na sera na mikakati madhubuti ya kupunguza mfumuko wa bei ili kudumisha thamani ya fedha...
UTANGULIZI
Andiko hili ni maalum kwa vijana wote wapambanaji wenye ndoto ya kurejesha, amani, furaha ya familia iliyopotea, dhiaka, dharau na kulipa madeni wazazi wetu waliyokopa pindi...
Utawala Bora ni namna ya kuwaongoza watu katika namna inayofaa,kwa kutumia rasilimali za taifa husika ili kuleta maendeleo katika taifa Hilo. Utawala Bora huchochewa zaidi pale anapokuwepo...
Tangia Jamii forum ianze miaka 17 iliyopita, mpaka leo bado ina watumiaji laki 6 na kidogo tu. Hii idadi ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watanzania wenye uwezo wa kumiliki simu janja.
Hii...
Kupunguza idadi ya mama pekee nchini Tanzania ni suala linalohitaji juhudi za muda mrefu na mikakati mbalimbali. Hapa kuna mawazo kadhaa juu ya jinsi ya kusaidia kupunguza idadi hiyo:
Elimu na...
Katika kijiji cha Shujaa, utawala bora ni ndoto ya muda mrefu. Kila siku, wananchi wanakabiliwa na ufisadi, uonevu, na ukosefu wa uwajibikaji kutoka kwa viongozi wao. Lakini mmoja kati yao...
Kituo cha Polisi kilichopo Wilaya ya Shinyanga hasa Polisi dawati la jinsia kwa kushirikiana na maafisa ustawi wa jamii wameendelea kuchukua rushwa na kuwanyima wananchi maskini haki zao hasa...
Tanzania imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi za misitu ambazo zina uwezo wa kuchangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa nchi. Sekta ya misitu, ikitumiwa na kusimamiwa ipasavyo, inaweza kutumika...
Kuleta utawala bora katika nyanja ya uchumi wa Tanzania ni muhimu kwa maendeleo endelevu na ustawi wa nchi. Utawala bora unahusisha uwajibikaji, uwazi, ushiriki wa wananchi, utawala wa sheria, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.