UTANGULIZI
DP World ni kampuni ya kimataifa inayojihusisha na uendeshaji wa bandari na miundombinu ya usafiri wa baharini. Jina "DP" linasimama kwa "Dubai Ports" kwa kuwa kampuni hiyo ilianzishwa...
RASILIMALI ZA UMMA
Rasilimali zinazoonekana za umma ni rasili¬mali zinazoshikika (kama vile miundombinu ya kuonekana, majengo, vifaa, mali na mali¬asili) ambazo zinamilikiwa na/au kusimamiwa na...
Kwa yanayotokea nimejifunza kuwa, HADITHI AMBAYO NI MUHIMU KWAKO, NI MUHIMU KWETU PIA
Uhuru-wa-kujieleza na ufahamu wa vyombo-vya-habari na habari una uhusiano wa ndani.Ujuzi wa vyombo-vya-habari...
Utangulizi.
Kwa miaka mingi sana vijana wakiume walikua wakipewa kipaumbele katika nyanja tofauti tofauti lakini mambo yalianza kubadilika pale matukio ya unyanyasaji wa ulipoongezeka hasa kwa...
Fursa za uwekezaji
Teknolojia ya mbao na bidhaa zisizo za mbao zinatupa fursa nyingi za uwekezaji kama Taifa. Mianzi nchini kwetu ni kitu cha kawaida lakini ni malighafi inayotumika kuongeza...
Ili maisha bora yaendelee kila kiumbe kinchopumua kinahitaji chakula kwanza ndipo mambo mengine yaweze kuendelea. Lakini siyo chakula tu bali inahitajika kutambua kwanza usalama wa hicho chakula...
Utangulizi
Uwajibikaji ni ile hali ama kitendo cha mtu kutimiza majukumu yake yanayompasa kufanya bila kuwepo na shuruti ya aina yoyote. Katika huu ulimwengu wa sasa inamfaa kila mtu awe...
Uwajibikaji na Utawala Bora
Mapendekezo ya Kubadilisha Mfumo
Utangulizi : Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kukuza demokrasia na maendeleo endelevu katika nchi yoyote. Katika...
Utangulizi : Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kuboresha sekta ya elimu ya Tanzania. Ili kuleta mabadiliko chanya, ni muhimu kufanya marekebisho katika mfumo wa elimu ili kuongeza...
NJOZI NJEMA ILA USINGIZI HAUISHI.
Katika nchi ya Tanzania tangu tulivyoingia kwenye mabadiliko ya mfumo wa kidunia tulibeba dhana kwamba elimu ni mojawapo wa msingi wa ukombozi wa fikra kati yetu...
FALSAFA YA JULIUS NYERERE: UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KAMA MSINGI WA MAENDELEO YA KIJAMII KATIKA AFRIKA
Imeandikwa na: Mwl.RCT
I. Utangulizi
Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana katika...
Shukuru umeiona tena hii weekend.
Shukuru safari zako za wiki zilikua salama.
Shukuru kwa ulichojaaliwa kupata kwa wiki, hata kama ni kidogo.
Shukuru kwa kuwa upo salama sasa, japo sjui unasoma...
Uchumi wa nchi yetu utegemee zaidi kilimo kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania basi sekta hii ipewe bajeti nzuri kwa ajili ya wakulima (mikopo) na kupunguza garama za pembejeo mfano mbolea...
Nimeanza na swali hili ambalo lilikua ni wito kwa serikali zote Duniani kuhusu kusambaa kwa taka za plastiki katika mazingira yetu. Kiukweli taka za plastiki ni hatari Duniani kote si kwa binadamu...
UMENIFUNDISHA KUFUNDISHA
Jumatatu moja tulivu, wanafunzi wa darasa la tano waliingia darasani baada ya kutoka Paredi. Mwalimu mgeni machoni mwao akaingia darasani. Wanafunzi wote wakasimama na...
Mabadiliko kuhusu uwajibikaji au utawala bora katika nyanja mbalimbali kama elimu, afya, malezi, teknolojia, na sheria linaweza kuwa na athari kubwa katika kuboresha huduma na maendeleo katika...
Nchi yenye watu takribani milioni 70. inategemea maamuzi ya mtu mmoja. Ambaye kakalia kiti Cha utawala. pamoja na kuwa na jopo la washauri lililosheheni wasomi wenye shahada kubwa. Lakini Saini...
Mapinduzi ya viwanda yalileta mwamko mkubwa sana katika mataifa ya magharibi katika uzalishaji mali na kuudondosha mfumo wa “utumwa” baada ya kutengeneza zana bora za kiutendaji ambazo zilianza...
Tovuti za wizara ya elimu zimekua na muundo ule ule tangu awali zilipotengenezwa hadi leo, hakuna vyumba vipya ambavyo vinabeba maudhui mapya ya kutoa msaada kwa wanafunzi.
Wote tunajua...
Ni Kupunguza Wimbi la Kurejea Kwenye Uhalifu
Kila Mwaka, Tunaposheherekea Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania), Ambaye Pia ni Amiri...