Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

1 Vote
Hii ni kampuni ambayo ilikufa kutokana na utawala wao mbovu hasa kwa walio juu yaani mkurugenzi na mameneja kwani walikuwa wakiwaendesha sana wenzao wa chini waliokuwa wafanyakazi wenzao ambapo...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Upvote 1
2 Votes
Tarehe 5 ya mwezi Juni kila mwaka dunia huadhimisha siku ya mazingira duniani, lengo kuu la kuadhimisha siku hii ni kufahamu kwa undani umuhimu wa kutunza na athari zinazotokana na uharibifu wa...
1 Reactions
2 Replies
722 Views
Upvote 2
2 Votes
MAENDELEO YA KWELI: KUHUSISHA NA KUWEZESHA WANANCHI Imeandikwa na: MwlRCT Maendeleo ya kweli ni mchakato unaohitaji ushiriki wa wananchi wote. Ili kufikia maendeleo haya, ni muhimu kuhusisha na...
1 Reactions
4 Replies
398 Views
Upvote 2
2 Votes
Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa...
1 Reactions
1 Replies
730 Views
Upvote 2
2 Votes
Uwajibikaji ni maamuzi ya kutenda kitendo kwa ufasaha na ufanisi kwa muda fasaha na kwa nia na utayali wa kufanya kitendo kwa mfano tukazungumzia swala la uwajibikaji kwenye nyanja tofauti kama...
1 Reactions
1 Replies
327 Views
Upvote 2
3 Votes
Kilimo ni sekta muhimu yenye kuleta mapinduzi makubwa kwenye nchi yetu mapinduzi hayo kama VIWANDA, BIASHARA ZA NDANI NA NJEE, ELIMU BORA, UJUZI, NA AFYA KWA JAMII. Uwajibikaji ungekuwa kama...
2 Reactions
1 Replies
443 Views
Upvote 3
3 Votes
MWANAMKE UVUMILIVU BIBI! TUKOMESHE TABIA ZA KUVUMILIA NA KUHALALISHA VITENDO VYA UKATILI. Nenda “Kicheni pati” utasikia sifa kuu ya mwanamke ni uvumilivu, “sendi ofu” mwanamke kuvumilia, kwa...
1 Reactions
2 Replies
911 Views
Upvote 3
2 Votes
SAFARI YA MABADILIKO: JINSI RAIA WALIVYOLETA UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA JAMII YAO Imeandiikwa na: Mwl.RCT Katika mji mdogo uliopo kando ya mto, kulikuwa na jamii ya watu waliokuwa...
1 Reactions
1 Replies
944 Views
Upvote 2
3 Votes
Tunaishi kwenye ulimwengu wa maendeleo ya sayansi na tekinoloji, ni wakati sahihi wa serikali kuchukua uhamuzi juu ya somo la tehema kuwa somo mama, hili litasaidia kuchochea mhamko wa ulewa...
1 Reactions
1 Replies
298 Views
Upvote 3
3 Votes
Katika enzi ambayo ina sifa ya kuongezeka kwa mahitaji ya uwazi na utendakazi wa maadili, dhana za uwajibikaji na utawala bora zimekuwa msingi wa kuleta mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali...
2 Reactions
1 Replies
453 Views
Upvote 3
2 Votes
Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni mada muhimu katika maendeleo ya jamii na taifa lolote. Kwa kuwa na uwajibikaji thabiti na utawala bora unaoheshimu sheria, nchi inaweza kuendeleza...
1 Reactions
1 Replies
646 Views
Upvote 2
3 Votes
Muktasari: Kilimo ni sekta muhimu sana nchini Tanzania, ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa taifa na ajira za wananchi. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, sekta hii ya...
1 Reactions
1 Replies
762 Views
Upvote 3
2 Votes
Utawala bora na uwajibikaji; Ni mamlaka na haki ya kuongoza kwa kufuata taratibu za kikatiba, na kujitoa katika kufanya mambo yote yaliyo majukumu anayotakiwa kufanya kiongozi au mtu yeyote aliye...
1 Reactions
1 Replies
635 Views
Upvote 2
2 Votes
Tunatamani Kila kitu kiwe bora na chenye manufaa, tupate viongozi bora, utawala bora na viongozi wanao wajibika kwenye majukumu yao ipasavyo pasipo kutegea lakini tumesahau kila kitu kizuri...
2 Reactions
1 Replies
803 Views
Upvote 2
2 Votes
Utawala bora na uwajibikaji ni misingi muhimu katika uongozi na utawala wa serikali, mashirika, na taasisi nyingine zinazohusika na utoaji wa huduma kwa umma. Utawala bora unahusisha taratibu...
1 Reactions
1 Replies
773 Views
Upvote 2
3 Votes
Ilikuwa usiku wa manane nikiwa nimelala ghafla nikapokea simu kutoka kwa mfanyakazi wa taasisi moja isiyo ya kiserikali ambayo mimi nilikuwa nikifanya kazi ya kujitolea akanambia”nipo mbali na...
1 Reactions
4 Replies
624 Views
Upvote 3
1 Vote
Ni matamanio ya kila nchi kuwa na maendeleo ya kiasi cha juu sana hata kufikia hatua ya kujitegemea. Hivyobasi,ili nchi iweze kupata maendeleo hayo inapaswa kuwa na viongozi wazuri...
1 Reactions
1 Replies
383 Views
Upvote 1
1 Vote
Kondoo wawili walikuwa wakitokea pande tofauti za mto. Mmoja akitokea kusini na mwingine kaskazini, na kila mmoja alihitaji kuvuka ili kuelekea upande wa pili. Walipoufikia ule mto, kwa bahati...
1 Reactions
1 Replies
479 Views
Upvote 1
3 Votes
Mwili wa mwanadamu una viungo mbalimbali muhimu baadhi ya viungo muhimu zaidi ni Ubongo, moyo, mapafu, ini na figo. Kila kiungo kinafanya kazi kutokana na ufasihi wa kiungo kingine cha mwili ndo...
2 Reactions
1 Replies
461 Views
Upvote 3
1 Vote
Habari wanajukwaa! Ni wazi kuwa ustawi ulio imara wa binadamu unategemea kwa kiasi kikubwa mazingira, ikiwa mazingira ni mazuri na bora basi ustawi na maendeleo ya maisha ya mwanadamu huwa yenye...
1 Reactions
1 Replies
547 Views
Upvote 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…