Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

0 Votes
Nikisukumwa na uhalisia katika jamii za kitanzania. Imekuwa ni desturi kutazama ajira kama mkombozi pekee baada ya kuhitimu ngazi fulani ya elimu hususani katika fani mbalimbali. Hii inatengeneza...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Upvote 0
0 Votes
Lugha ya Kiswahili, ni lugha inayokua kwa kasi ikiwa ni miongoni mwa lugha zenye wazungungumzaji wengi duniani. Ni lugha inayozungumzwa sana kwenye nchi za Afrika mashariki na baadhi ya nchi...
1 Reactions
0 Replies
602 Views
Upvote 0
0 Votes
1. Utangulizi Utawala bora ni mfumo wa kisiasa, kiuchumi, kitamaduni na kijamii unaofuata kanuni za kisheria uliojaa uwazi, uwajibikaji na uwazi wenye kuleta tija katika jamii. Katika andiko hili...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Upvote 0
2 Votes
Ilikuwa ni siku yenye mawingu mepesi sana na sauti za ndege zilikuwa zikisikika kutoka katika viunga vya chuo ambacho Katarina alikuwa akisoma. Siku hiyo ilikuwa ndiyo siku ambayo wanachuo wengi...
2 Reactions
1 Replies
340 Views
Upvote 2
1 Vote
  Mara nyingi, tunapozungumzia afya, tunawaza tu juu ya upatikanaji wa huduma za matibabu na jinsi ya kudumisha afya yetu binafsi. Hata hivyo, afya ni zaidi ya hilo, Ni muhimu kutambua kwamba...
1 Reactions
3 Replies
691 Views
Upvote 1
1 Vote
Uwajibikaji ni mada ambayo imezungumziwa kwa kina katika nyanja mbalimbali za kijamii. Inahusisha uwajibikaji wa watu binafsi, makundi na hata serikali katika nyanja tofauti. Nyanja kuu za...
1 Reactions
1 Replies
448 Views
Upvote 1
2 Votes
watu wengi katika ulimwengu wa kisasa wamezoea kufanya vitu kimazoea upelekea kupoteza ufanisi wa kazi na hata maendeleo yake kudumaa. hii kutokana na kufanya vitu vile vile kila siku bila...
2 Reactions
2 Replies
718 Views
Upvote 2
1 Vote
Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni masuala muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika Tanzania. Kwa muda mrefu, nchi yetu imekabiliwa na changamoto katika nyanja...
1 Reactions
1 Replies
541 Views
Upvote 1
0 Votes
Katika nchi yetu ya tanzania kumekuwa na ukosefu wa uwajibikaji kwenye nyanja nyingi sana kuanzia jinsi ya kupata ajira mpaka kazi inavyofanyika,kwa mfano mtu anaaniriwa kwa kufanyiwa usahili na...
0 Reactions
1 Replies
370 Views
Upvote 0
1 Vote
Usichomoe! "Nimekwambia usichomoe kabla haijafika mwisho, aya irudishe alafu upunguze sauti kidogo saivi ni usiku tusisumbue majirani" Muda wote huo baba...
1 Reactions
1 Replies
604 Views
Upvote 1
2 Votes
KUTIMIZA WAJIBU WETU KWA PAMOJA: KUUNGANISHA SEHEMU NDOGO ZA WEMA KWA AJILI YA UTAWALA BORA Imeandikwa na: Mwl.RCT...
1 Reactions
3 Replies
420 Views
Upvote 2
12 Votes
Ni mda mrefu hata sasa waalimu wa shule za msingi na sekondari wanatumia njia ya kutuma ripoti ya matokeo au karatasi yenye matokeo ya Mwanafunzi, Shule baadhi waalimu huwakusanya wanafunzi na...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Upvote 12
3 Votes
Fingerprint ni nini? Kwa kiswahili (alama za vidole) ni alama au michoro inayopatikana kwenye vidole vya binadamu na zina maelezo ya kina ambazo hudumu katika maisha ya mtu na hivyo kuzifanya...
2 Reactions
5 Replies
955 Views
Upvote 3
4 Votes
MUOMBE MUNGU SANA TAFUTA PESA KWA BIDII: ayo mengine ACHANA nayo kwanza. Maisha yamebadilika Sana, nakumbuka wakati na kua, nyumbani kwetu, kulikua na desturi kuwa siku ya juma pili huwezi...
3 Reactions
3 Replies
746 Views
Upvote 4
0 Votes
Salaam watanzania wenzangu. Nimepata shauku ya kuandika juu ya swala la malezi bora kwa watoto wetu kama msingi mzuri wa jamii bora ya kesho na baadae. MABADILIKO YANAYO WEZA KULETWA NA MAUDHUI...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Upvote 0
1 Vote
Baada ya kumaliza stashahada ya sheria mwaka 2020 wakati nasubiri matokeo kutoka ili niweze kuendelea na elimu ya juu zaidi, nilikuwa na miezi kadhaa ya kusubiri kuanza kujisajili na shahada na...
1 Reactions
0 Replies
658 Views
Upvote 1
0 Votes
Utawala Bora unahitaji uwajibikaji kutoka kwa serikali kwa watu wake. Ili kuhakikisha kuwa watu wanalindwa, serikali inahitaji kufanya kazi kwa uwazi na kutenda kwa haki. Ni muhimu kuweka mifumo...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Upvote 0
2 Votes
Ulimwengu wa sasa umegubikwa na changamoto nyingi zinazohusu maendeleo na demokrasia. Utawala bora ni mojawapo wa masuala yanayotiliwa mkazo na kusisitizwa na jamii mbalimbali duniani. Dhana hii...
2 Reactions
1 Replies
489 Views
Upvote 2
1 Vote
UONGOZI UNAOTOKANA NA UTUMISHI: HUFAFANUA UKWELI NA KUSHUKURU Imeandikwa na: Mwl.RCT Picha | Kwa hisani ya equita(dot)ie UTANGULIZI Kila wakati tunapofikiria juu ya uongozi, mara nyingi...
1 Reactions
0 Replies
459 Views
Upvote 1
0 Votes
Mnamo mwaka 2018 ni kiwa kwenye daladala nikiwa narudi nyumbani,ndani ya gari kulikuwa na watu wakilalamika juu ya kiongozi katika taasisi fulani,Watu hao walikuwa wanalalamika sana wakisema"Yule...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom