Singapore kama moja ya nchi zilizo mstari wa mbele kwenye utunzaji wa mazingira duniani, imewahi kuwa na mikakati kadhaa ya kutunza usafi wa mazingira katika miji yake, huku kampeni ya mwanzo...
Andiko kwa Wizara ya Michezo: Kuboresha Uwajibikaji na Utawala Bora
Natumai andiko hili litaleta chachu katika hali njema na hamasa ya kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya michezo nchini...
Maisha yanaenda kwa Kasi na Kila kitu kinabadalika, muda mwingine nakaa nakutafakari je tuendako ni sahihi ?
Je, ni kheri kurudi miaka ya zamani au kwenda mbele bila kujua kinachotusubiri? au ni...
Tanzania, kama taifa linaloendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi. Kujenga mfumo imara wa uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana kwa maendeleo endelevu na ustawi wa nchi yetu.
HAYA NI...
Ilikuwa majira ya kiangazi saa Saba mchana, mbingu ilionekana na uhaba mkubwa wa mawingu hali iliyopelekea jua kuwa Kali sana kuliko ilivyozoeleka. Joto lilikuwa Kali sana kiasi ya kwamba Machinga...
UWAJIBIKAJI KWA WANAOHITAJI ZAIDI: JE, JAMII INAPIMWA KWA JINSI INAVYOWATENDEA?
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Uwajibikaji wa jamii kwa wanaohitaji zaidi ni suala muhimu sana. Kila mmoja wetu...
Katika kuboresha uwanda wa sheria na haki nchini Tanzania, kuna mawazo na mapendekezo muhimu ambayo yanaweza kuchukuliwa ili kuimarisha mfumo wa kisheria na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote...
HAKUNA DEMOKRASIA INAYOWEZA KUJENGWA BILA UKOSOAJI WENYE TIJA KWA WALE WALIO MADARAKANI
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI: Demokrasia ni mfumo wa utawala ambao unategemea uwajibikaji, usawa na...
Bunge Langu:
Jina lake lilikuwa Dec_Rapha. Alikuwa mwanaume jasiri mwenye sauti ya ujasiri na moyo wa kujitolea. Kwa miaka mingi, alishuhudia jinsi Bunge la Daqwaan lilivyokuwa likisimamiwa na...
Soko la ajira hivi sasa ulimwenguni kote linakabiliwa na ushindani mkubwa, kwani nafasi ni chache na wenye uhitaji ni wengi. Tanzania kama zilivyo nchi nyingi duniani tunakabiliwa na tatizo la...
Elimu ni ufunguo wa maendeleo binafsi na maendeleo ya jamii kwa ujumla. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi katika kutoa elimu bora, hasa katika mazingira magumu mjini na vijijini. Hali hii inaweza...
Kichwa cha habari: Ajiralink.com - Kuunganisha Vijana na Fursa za Ajira na Ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo.
Kwa kuzingatia vigezo na masharti yaliyotolewa, naomba kutoa andiko kuhusu...
An Extensive 5 Year Reforms Program for the Youth - Panya Road
Hata Wafungwa Wanaweza Kufaidika Kwenye Programu Hii.
Tuwatumie Panya Road, Kuimarisha Uchumi kwa Kutoa Mafunzo ya Uzalishaji...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi. Hakika, katika safari yangu hapa duniani, nimekua najiuliza maswali mengi sana...
Andiko langu linagusia uboreshwaji wa shule za vipaji ziwe katika vipaji vyote na sio katika uwezo wa akili darasani tu. Mathalani, kuwepo na shule za;
1. Vipaji vya sanaa kama wachongaji...
ELIMU NI MSINGI WA MAISHA BORA
Katika kijiji cha Kalimani, watu walikuwa hawana ufahamu wa umuhimu wa elimu. Wazazi hawakupeleka watoto wao shule, na badala yake, waliwafundisha jinsi ya kufanya...
Utalii; Ni kitendo cha mtu au kundi la watu kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la burudan, biashara, kujifunza au makusudi mengine (Wikipedia, 2023). Utalii kwa Tanzania...
JINSI USHIRIKI WA RAIA UNAVYOWEZA KUBORESHA UTAWALA BORA KATIKA JAMII YAO
Imeandikwa na: MwlRCT
Picha | Kwa hisani ya rifs-potsdam
UTANGULIZI
Ushiriki wa raia na utawala bora ni dhana mbili...
UTANGULIZI
Bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni moja ya bandari kubwa na muhimu zaidi barani Afrika, imekuwa chanzo cha fursa na maendeleo kwa Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na mazungumzo kuhusu...
UONGOZI WA KWELI: UWAJIBIKAJI, KUJENGA MTAZAMO MZURI WA UONGOZI, NA KUWASAIDIA WAFANYAKAZI KUJIFUNZA NA KUKUA KIUTENDAJI
Imeandikwa na: MwlRCT
Picha | Kwa hisani ya superbeings
UTANGULIZI
Mada...