Ulikuwa ni usiku wa Jumamosi, uso wa dunia ikiwa umekumbatiwa vilivyo na giza nene. Laiti kama mtu angelitoka kutembea nje kwa usiku ule, pengine asingeweza kuona hata kile kilichokuwa hatua moja...
“Zungu la wazungu nyayo zako uvungu wangu, usikanyage vumbi baba simama begani kwangu kichwa kiguse mawingu, baba hauna baya, baba ukifa hauozi, mbinguni njia yako ni ya lami na dhambi zako...
Umaskini ni tatizo kubwa katika maeneo mengi ya dunia. Hauathiri watu binafsi na familia pekee bali jamii nzima. Kuna njia nyingi tofauti za kuondokana na huo umaskini.
Lakini mojawapo ya njia...
Uwajibikaji na utawala bora ni sehemu katika kila jamii. Kwa Tanzania vipengele hivi ni muhimu kwa utendaji mzuri wa serikali na nyanja mbalimbali kama elimu, huduma ya Afya, na miundombinu. Nchi...
Utawala bora na uwajibikaji, ni usimamizi sahihi unaozingatia sheria na haki kwa usawa kati ya viongozi na raia, ili kuondoa uvunjifu wa haki za watu na matumizi mabaya ya mali za uma, mfano...
Habari ndugu msomaji, Leo nimekuletea makala hii lengo ni kutoa ufafanuzi juu na taharuki kubwa kwa wanaume juu ya hofu ya kuwa na upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na maumbile madogo yasiyokizi...
Yapata kama miaka mitano hapo nyuma baada ya Kijana mmoja jasiri, mkakamavu, shupavu na mwenye bidii katika maisha ya Kila siku aliyejulikana Kwa jina la Kunze kupitia changamoto ya ubaguzi wa...
Uwajibikaji ni neno pana hasa pale unapoangalia upande wa utendaji wake Kwa haki madhubuti kwani serikali italaumiwa hasa pale itakapokuwa na mfumo mbovu wa utawala Kwa wananchi wake, mfano; ajira...
Mimi ni mwanazuoni kutoka chuo Fulani, niko na maendeleo mazuri sana kielimu, ninaona nuru kila siku. Lakini haya yote yametokana na jitihada kubwa za wazazi wangu na malezi bora kutoka kwa walimu...
Uzalendo na uwajibikaji ni mambo ambayo yanapaswa kwenda sambamba kwani moja likilegalega, jingine huenda mrama. Ili kujenga uzalendo wa dhati na wa kudumu katika nchi hii, ni lazima uzalendo huo...
UWAZI: NGUVU YA DEMOKRASIA YA KWELI
Imeandikwa na: Mwl.RCT
Utangulizi: Makala hii inajikita katika kuchambua umuhimu wa uwazi katika kukuza demokrasia ya kweli. Kwa kuzingatia suala hili muhimu...
Nawasalimu Kwa jina la Muungano wa Tanzania.Ni matumaini yangu kuwa mmejibu Kazi iendelee.
Katika makala hii leo napenda kuzungumzia vitu ambavyo vinafanya uchumi wa nchi kuimarika bila kusahau...
Hapo mwanzo kipindi bado nakaa kijijini nilitamani sana siku nikimaliza elimu yangu ya sekondary basi nikasomee elimu ya juu katika jiji la Dar es Salaam kwani mama yangu Rebeka Kilomba...
Ukilinganisha na watu kutoka mataifa mengine ya Afrika Mashariki na Kati, watanzania sio wavivu kama inavyodhaniwa. Kinachokosekana tu ni mpango madhubuti na endelevu wa kuhimiza uwajibikaji...
Utawala bora ni mfumo wa utawala unaolenga kuwahudumia wananchi kwa uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji. Inalenga kujenga serikali imara, yenye nidhamu, na inayotekeleza sera na mipango kwa...
Bunge limetunga sheria mbalimbali za kodi ili kwamba kila mtu mwenye kipato halali aweze kulipa kodi, hivyo kuchangia mapato ya serikali. Lakini jambo moja la kusikitisha sana ni kwamba wanasiasa...
UTANGULIZI.
Uchumi wa kati ni hali ya nchi kupiga hatua ya maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kitamaduni,hivyo nchi huweza kujiimarisha yenyewe katika sekta muhimu za uzalishaji mali...
Mabadiliko katika Nyanja Mbalimbali.
linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za Elimu, Uchumi, Kilimo, Utawala, Afya, Sayansi na Teknolojia.
Linalochochea mabadiliko katika nyanja za Elimu...
Uwajibikaji na utawala bora ni kanuni muhimu za utawala wa umma ambazo zinahakikisha kua watendaji wa umma wanafanya kazi kwa uwazi na uaminifu kwa manufaa ya wananchi .
Kuna sababu kadhaa ambazo...
UMUHIMU WA UWAJIBIKAJI KATIKA MAENDELEO YA JAMII: JINSI WANANCHI WANAVYOWEZA KUCHANGIA NA UCHAMBUZI WA VIWANGO VYA UWAJIBIKAJI KATIKA SEKTA TOFAUTI
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Uwajibikaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.