Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

3 Votes
Ulikuwa ni usiku wa Jumamosi, uso wa dunia ikiwa umekumbatiwa vilivyo na giza nene. Laiti kama mtu angelitoka kutembea nje kwa usiku ule, pengine asingeweza kuona hata kile kilichokuwa hatua moja...
2 Reactions
2 Replies
397 Views
Upvote 3
6 Votes
“Zungu la wazungu nyayo zako uvungu wangu, usikanyage vumbi baba simama begani kwangu kichwa kiguse mawingu, baba hauna baya, baba ukifa hauozi, mbinguni njia yako ni ya lami na dhambi zako...
4 Reactions
1 Replies
431 Views
Upvote 6
3 Votes
Umaskini ni tatizo kubwa katika maeneo mengi ya dunia. Hauathiri watu binafsi na familia pekee bali jamii nzima. Kuna njia nyingi tofauti za kuondokana na huo umaskini. Lakini mojawapo ya njia...
2 Reactions
1 Replies
464 Views
Upvote 3
4 Votes
Uwajibikaji na utawala bora ni sehemu katika kila jamii. Kwa Tanzania vipengele hivi ni muhimu kwa utendaji mzuri wa serikali na nyanja mbalimbali kama elimu, huduma ya Afya, na miundombinu. Nchi...
2 Reactions
4 Replies
650 Views
Upvote 4
3 Votes
Utawala bora na uwajibikaji, ni usimamizi sahihi unaozingatia sheria na haki kwa usawa kati ya viongozi na raia, ili kuondoa uvunjifu wa haki za watu na matumizi mabaya ya mali za uma, mfano...
2 Reactions
1 Replies
440 Views
Upvote 3
7 Votes
Habari ndugu msomaji, Leo nimekuletea makala hii lengo ni kutoa ufafanuzi juu na taharuki kubwa kwa wanaume juu ya hofu ya kuwa na upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na maumbile madogo yasiyokizi...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Upvote 7
3 Votes
Yapata kama miaka mitano hapo nyuma baada ya Kijana mmoja jasiri, mkakamavu, shupavu na mwenye bidii katika maisha ya Kila siku aliyejulikana Kwa jina la Kunze kupitia changamoto ya ubaguzi wa...
1 Reactions
1 Replies
306 Views
Upvote 3
2 Votes
Uwajibikaji ni neno pana hasa pale unapoangalia upande wa utendaji wake Kwa haki madhubuti kwani serikali italaumiwa hasa pale itakapokuwa na mfumo mbovu wa utawala Kwa wananchi wake, mfano; ajira...
1 Reactions
1 Replies
338 Views
Upvote 2
2 Votes
Mimi ni mwanazuoni kutoka chuo Fulani, niko na maendeleo mazuri sana kielimu, ninaona nuru kila siku. Lakini haya yote yametokana na jitihada kubwa za wazazi wangu na malezi bora kutoka kwa walimu...
1 Reactions
1 Replies
422 Views
Upvote 2
2 Votes
Uzalendo na uwajibikaji ni mambo ambayo yanapaswa kwenda sambamba kwani moja likilegalega, jingine huenda mrama. Ili kujenga uzalendo wa dhati na wa kudumu katika nchi hii, ni lazima uzalendo huo...
1 Reactions
3 Replies
519 Views
Upvote 2
2 Votes
UWAZI: NGUVU YA DEMOKRASIA YA KWELI Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Makala hii inajikita katika kuchambua umuhimu wa uwazi katika kukuza demokrasia ya kweli. Kwa kuzingatia suala hili muhimu...
1 Reactions
1 Replies
397 Views
Upvote 2
3 Votes
Nawasalimu Kwa jina la Muungano wa Tanzania.Ni matumaini yangu kuwa mmejibu Kazi iendelee. Katika makala hii leo napenda kuzungumzia vitu ambavyo vinafanya uchumi wa nchi kuimarika bila kusahau...
1 Reactions
1 Replies
817 Views
Upvote 3
1 Vote
Hapo mwanzo kipindi bado nakaa kijijini nilitamani sana siku nikimaliza elimu yangu ya sekondary basi nikasomee elimu ya juu katika jiji la Dar es Salaam kwani mama yangu Rebeka Kilomba...
1 Reactions
2 Replies
365 Views
Upvote 1
1 Vote
Ukilinganisha na watu kutoka mataifa mengine ya Afrika Mashariki na Kati, watanzania sio wavivu kama inavyodhaniwa. Kinachokosekana tu ni mpango madhubuti na endelevu wa kuhimiza uwajibikaji...
1 Reactions
1 Replies
358 Views
Upvote 1
1 Vote
Utawala bora ni mfumo wa utawala unaolenga kuwahudumia wananchi kwa uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji. Inalenga kujenga serikali imara, yenye nidhamu, na inayotekeleza sera na mipango kwa...
1 Reactions
1 Replies
786 Views
Upvote 1
2 Votes
Bunge limetunga sheria mbalimbali za kodi ili kwamba kila mtu mwenye kipato halali aweze kulipa kodi, hivyo kuchangia mapato ya serikali. Lakini jambo moja la kusikitisha sana ni kwamba wanasiasa...
1 Reactions
1 Replies
401 Views
Upvote 2
1 Vote
UTANGULIZI. Uchumi wa kati ni hali ya nchi kupiga hatua ya maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kitamaduni,hivyo nchi huweza kujiimarisha yenyewe katika sekta muhimu za uzalishaji mali...
1 Reactions
1 Replies
612 Views
Upvote 1
2 Votes
Mabadiliko katika Nyanja Mbalimbali. linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za Elimu, Uchumi, Kilimo, Utawala, Afya, Sayansi na Teknolojia. Linalochochea mabadiliko katika nyanja za Elimu...
1 Reactions
1 Replies
382 Views
Upvote 2
2 Votes
Uwajibikaji na utawala bora ni kanuni muhimu za utawala wa umma ambazo zinahakikisha kua watendaji wa umma wanafanya kazi kwa uwazi na uaminifu kwa manufaa ya wananchi . Kuna sababu kadhaa ambazo...
1 Reactions
2 Replies
567 Views
Upvote 2
3 Votes
UMUHIMU WA UWAJIBIKAJI KATIKA MAENDELEO YA JAMII: JINSI WANANCHI WANAVYOWEZA KUCHANGIA NA UCHAMBUZI WA VIWANGO VYA UWAJIBIKAJI KATIKA SEKTA TOFAUTI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uwajibikaji...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…